Mwanamke usikubali kuolewa na wanaume hawa

Mwanamke usikubali kuolewa na wanaume hawa

Sio mbaya kuwa na vigezo, ili mtu upate mwenzako mnayeendana na mtakayevumiliana ni lazima uweke vigezo. Ila katika vigezo vyako kuna contradiction nyingi. Mfano hiyo ya kulala ghetto, vijana wengi wanaanzia huko hadi watulie na maisha inachukua mda, kuna wakati tumelala na house girls, ni ujana tu unasumbua. Inafikia umri mtu anaacha yote na kutulia.

Vigezo ni muhimu, ila angalia na mazingira ya mwafrika.
Kulala geto na vijana wengine sio mbaya,ubaya wake unakuja pale unapotaka kuwa na mwanamke halafu huna chumba chako mwenyewe,unawambia washikaji wako wakupishe ili ule mzigo hiyo ndo hapana,jikamilishe kwanza kuwa na chumba chako mwenyewe ndo uwe na wazo la kudate na mwanamke
 
Kitaani kwetu alikuwepo dada mrembo.
Toka tukiwa wadogo tulikuwa tunasikia wanasema anachagua wachumba ; yeye alitaka wale wenye pesa au wenye vyeo.

Sasa umri nao ukawa unayoyoma tu. Akagonga hadi 30+ . Sema tu hakuzaliaga home.

Ila alikuja kuolewa na mkulima mmoja hivi tena mbaba wa makamo; sema jamaa alikuwa hajawahi kuoa, Yaani tokea alivyoolewa hajawahi hata kurudi kwao, kwa aibu na alivyochoka na maisha.

Hata huyo 'time will tell '.
Huwa wanajitoa akili na kuringa sana ila ukifika umri elekezi 28+,30+ huwa wanapata tabu sana ...

Mimi nilishuhudia kwenye family yangu kabisa ..mtoto wa anko mzuri huyo .but alikuwa yuko selective kinoma ana taka Mr right mwenye pesa..hashikiki ..haambiliiki ..but ninavyoongea mpaka sasa ameolewa village moja hivi na mkulima(jina kapuni)
 
Dunia inaenda haraka hivi? sikujua kama na hawa wenzetu wana fursa ya kuchagua mwanaume.
 
Cha kushangaza kila mwanamke anataka PERFECT MAN wakati yeye tabia zake ni udangaji, mizinga, mikorogo, kutwa kuchat WhatsApp, kupenda vitu vya gharama pasipo sababu, anajiona video queen, hawa wa namna hii wataendelea kuumizwa tu.
 
Kama ni personal experience pole sana.
Nahisi kilomita zimeshagota mwisho.

Kina dada msifanye kiburi, wanaume ni tu wakimya na visasi vyetu ni vibaya sana.

usiwapotoshe wenzako vilevile, kila mtu ana akili yake, kuweka list ya vitu kama menu za hotelini haibadilishi ukweli kuwa wote (ME na KE) tuna tabia zilezile na tofauti.

Usiingize ktk mahusiano ukiwa na plan ya kutoka endapo yatashindikana (umejiandaa kufeli)

Usilipe kisasi katika mahusiano, kama umeshindwa kusamehe ni bora uvunje mahusiano kuliko kulipa kisasi. Kama umesamehe, samehe na kusahau na usikumbushe pale mtu anapokukosea kitu kingine.

Tumia akili na uruhusu moyo vilevile, akili na moyo haviwezi kukubaliana mara zote ijapokuwa vyote ni vya mtu mmoja. Tafuta kile ambacho kinamfanya mpenzi wako awe wa kipekee kati ya watu wote and focus on that. Kama bado unampenda mtu you'll fight for them ba kama umeshindwa mpe mtu reason za wewe kuvunja mahusiano. Usimuache mtu ktk mataa kienyeji, mwambie mazuri yake na mabaya yake ili kumsaidia ili hata akipata mahusiano mapya asije kuzingua tena.

Tofauti na hapo hii circle haitakaa iishe maana utaachwa utampata aliyeacha au kuachwa na hajui why, atafanya au utafanya the same mistake then mtaachana until unastukia una umri wa kuchukua mafao.
 
Nadra sana mwanaume wa dar kukosa ata kitu kimoja hpo
 
una chuki binafsi na baadhi ya watu tu ....angalau kujna ukweli ila kwingine ni kama unamgogoro na makundi fulani ya wanaume meneja wa BAR ANA shida gani kwa mfano ...title ya kazi sio issue
 
Hao wote ushapita nao? Mana una bonge la expirience
 
1,Hana kazi inayoeleweka ila anashindia baa,anavaa vizuri na anakula vizuri(Huyo ni jambazi au kibaka au tapeli)

2,Wakati wa sex anakuomba tigo(kimbia sana huyo si muoaji)

3,Wakati wa sex hakuridhishi hata kama ukimwambia bado mambo ni yale yale (Utakuja kuchepuka mbeleni )

4,Anashinda vijiweni,anajikomba kwa wanaume wenye pesa( Huyo hajajitambua)

5,Anapenda kukufuatilia fuatilia kwa kukugombeza bila sababu za msingi( Mbeleni huenda ukawa mtawa wa ndani)

6,Unamtambulisha kwa mashoga zako halafu anachukua namba zao ( Huyo ni kicheche huenda akabanjuka kwa mdogo wako akija kuwasalimia)

7,Anapenda vibinti vidogo,unaye lakini unasikia ana kabinti mwanafunzi( Ndoani anaweza kumbaka mwanao mliozaa nae au kama wewe ni single mother mwanao wa kike atakuwa hatarini)

8,Analala ghetto moja na mwanaume mwenzie,(Huyo huenda ni shoga,unaanzaje kudate na mwanaume ambaye wanalala chumba kimoja na mwanaume mwezie,sio bure kuna ushoga humo ghetto)

9,Hana gari lakini kila baada ya saa kadhaa anapita na gari lingine,kila SAA anabadilisha gari( Hapo hakuna mwanaume)

10,Anafuatilia skendo za bongo movies na bongo fleva( Huyo kukupiga chini mbeleni sio kitu cha ajabu

11,Wakati mnadate anakwambia usibebe mimba na kila mara mnasex,ukamdanganyishia kuwa nina mimba akaanza kubadilika( Huyo si muoaji anakula ujana)

12,Kutoa hela ya matumizi mpaka umuombe(Hapo mbeleni huenda akakuachia majukumu ya familia)

13,Akiwa hana hela anakutafuta,mshahara ukitoka au akipata hela hakutafuti( Huyo akipata hela anatafuta wanawake wapya)

14,Mpo kwenye uchumba hataki kukuonyesha miradi yake ila unasikia tu kwa watu fulani anamradi fulani

15,Akupe mimba uzae ndo akuoe,mbeleni usipozaa je?( Ujiandae kufukuzwa)

16,Kampani au marafiki zake ni wanawake

17,Anaosha wanawake miguu

18,Anafanya kazi saluni za wanawake

19,Anapenda kutukana au matani yake ni kutukana

20,Meneja wa bar

21,Anavaa usharo,ananyoa usharo na anatembea usharo

22,Amewahi kudate na bar maid,house girl,madada poa( Huyo sio mwanaume wa kukuoa
Namba 8 asimilia kubwa za vijana wa kitanzania wanalala ghetto chumba kimoja kitanda kimoja masela kuanzia wawili hadi wanne
 
No 1. Anaweza kuwa dalali pia au usalma wa taifa. Usimdharau mtu usiyemjua kisa anashinda bar kama dudu baya.
 
Kulala geto na vijana wengine sio mbaya,ubaya wake unakuja pale unapotaka kuwa na mwanamke halafu huna chumba chako mwenyewe,unawambia washikaji wako wakupishe ili ule mzigo hiyo ndo hapana,jikamilishe kwanza kuwa na chumba chako mwenyewe ndo uwe na wazo la kudate na mwanamke
Well said
 
1,Hana kazi inayoeleweka ila anashindia baa,anavaa vizuri na anakula vizuri(Huyo ni jambazi au kibaka au tapeli)

2,Wakati wa sex anakuomba tigo(kimbia sana huyo si muoaji)

3,Wakati wa sex hakuridhishi hata kama ukimwambia bado mambo ni yale yale (Utakuja kuchepuka mbeleni )

4,Anashinda vijiweni,anajikomba kwa wanaume wenye pesa( Huyo hajajitambua)

5,Anapenda kukufuatilia fuatilia kwa kukugombeza bila sababu za msingi( Mbeleni huenda ukawa mtawa wa ndani)

6,Unamtambulisha kwa mashoga zako halafu anachukua namba zao ( Huyo ni kicheche huenda akabanjuka kwa mdogo wako akija kuwasalimia)

7,Anapenda vibinti vidogo,unaye lakini unasikia ana kabinti mwanafunzi( Ndoani anaweza kumbaka mwanao mliozaa nae au kama wewe ni single mother mwanao wa kike atakuwa hatarini)

8,Analala ghetto moja na mwanaume mwenzie,(Huyo huenda ni shoga,unaanzaje kudate na mwanaume ambaye wanalala chumba kimoja na mwanaume mwezie,sio bure kuna ushoga humo ghetto)

9,Hana gari lakini kila baada ya saa kadhaa anapita na gari lingine,kila SAA anabadilisha gari( Hapo hakuna mwanaume)

10,Anafuatilia skendo za bongo movies na bongo fleva( Huyo kukupiga chini mbeleni sio kitu cha ajabu

11,Wakati mnadate anakwambia usibebe mimba na kila mara mnasex,ukamdanganyishia kuwa nina mimba akaanza kubadilika( Huyo si muoaji anakula ujana)

12,Kutoa hela ya matumizi mpaka umuombe(Hapo mbeleni huenda akakuachia majukumu ya familia)

13,Akiwa hana hela anakutafuta,mshahara ukitoka au akipata hela hakutafuti( Huyo akipata hela anatafuta wanawake wapya)

14,Mpo kwenye uchumba hataki kukuonyesha miradi yake ila unasikia tu kwa watu fulani anamradi fulani

15,Akupe mimba uzae ndo akuoe,mbeleni usipozaa je?( Ujiandae kufukuzwa)

16,Kampani au marafiki zake ni wanawake

17,Anaosha wanawake miguu

18,Anafanya kazi saluni za wanawake

19,Anapenda kutukana au matani yake ni kutukana

20,Meneja wa bar

21,Anavaa usharo,ananyoa usharo na anatembea usharo

22,Amewahi kudate na bar maid,house girl,madada poa( Huyo sio mwanaume wa kukuoa
Xo bure kwa hayo yote mtaoleewa na vibab amtk tupige papuch za mahousegirl
 
Back
Top Bottom