Mwanamke usikubali kuolewa na wanaume hawa

Bibie, hakuna mtu mkamilifu. Hakuna anayeweza kufit asilimia mia,

Lazima uwe na vigezo vyako vikuu kadhaa ambavyo vikitimizwa, mengine unavumilia, la sivyo hutapata mweza maishani
 
1,Hana kazi inayoeleweka ila anashindia baa,anavaa vizuri na anakula vizuri(Huyo ni jambazi au kibaka au tapeli)

2,Wakati wa sex anakuomba tigo(kimbia sana huyo si muoaji)

3,Wakati wa sex hakuridhishi hata kama ukimwambia bado mambo ni yale yale (Utakuja kuchepuka mbeleni )

4,Anashinda vijiweni,anajikomba kwa wanaume wenye pesa( Huyo hajajitambua)

5,Anapenda kukufuatilia fuatilia kwa kukugombeza bila sababu za msingi( Mbeleni huenda ukawa mtawa wa ndani)

6,Unamtambulisha kwa mashoga zako halafu anachukua namba zao ( Huyo ni kicheche huenda akabanjuka kwa mdogo wako akija kuwasalimia)

7,Anapenda vibinti vidogo,unaye lakini unasikia ana kabinti mwanafunzi( Ndoani anaweza kumbaka mwanao mliozaa nae au kama wewe ni single mother mwanao wa kike atakuwa hatarini)

8,Analala ghetto moja na mwanaume mwenzie,(Huyo huenda ni shoga,unaanzaje kudate na mwanaume ambaye wanalala chumba kimoja na mwanaume mwezie,sio bure kuna ushoga humo ghetto)

9,Hana gari lakini kila baada ya saa kadhaa anapita na gari lingine,kila SAA anabadilisha gari( Hapo hakuna mwanaume)

10,Anafuatilia skendo za bongo movies na bongo fleva( Huyo kukupiga chini mbeleni sio kitu cha ajabu

11,Wakati mnadate anakwambia usibebe mimba na kila mara mnasex,ukamdanganyishia kuwa nina mimba akaanza kubadilika( Huyo si muoaji anakula ujana)

12,Kutoa hela ya matumizi mpaka umuombe(Hapo mbeleni huenda akakuachia majukumu ya familia)

13,Akiwa hana hela anakutafuta,mshahara ukitoka au akipata hela hakutafuti( Huyo akipata hela anatafuta wanawake wapya)

14,Mpo kwenye uchumba hataki kukuonyesha miradi yake ila unasikia tu kwa watu fulani anamradi fulani

15,Akupe mimba uzae ndo akuoe,mbeleni usipozaa je?( Ujiandae kufukuzwa)

16,Kampani au marafiki zake ni wanawake

17,Anaosha wanawake miguu

18,Anafanya kazi saluni za wanawake

19,Anapenda kutukana au matani yake ni kutukana

20,Meneja wa bar

21,Anavaa usharo,ananyoa usharo na anatembea usharo

22,Amewahi kudate na bar maid,house girl,madada poa( Huyo sio mwanaume wa kukuoa
Huu ni ushamba mtupu, kwanza hatuna mpango wa kuoa saivi
 
Endelea kuchagua tu tutaona mwisho wake

Kumbuka kila siku kuna watoto(wasichana) wazuri na wabichi wana zaliwa tena bikra alafu wewe huna bikra unaleta ujuaji

Sawa

Time will tell
Kitaani kwetu alikuwepo dada mrembo.
Toka tukiwa wadogo tulikuwa tunasikia wanasema anachagua wachumba ; yeye alitaka wale wenye pesa au wenye vyeo.

Sasa umri nao ukawa unayoyoma tu. Akagonga hadi 30+ . Sema tu hakuzaliaga home.

Ila alikuja kuolewa na mkulima mmoja hivi tena mbaba wa makamo; sema jamaa alikuwa hajawahi kuoa, Yaani tokea alivyoolewa hajawahi hata kurudi kwao, kwa aibu na alivyochoka na maisha.

Hata huyo 'time will tell '.
 
Mbona masharti mengi sana kwa staili hii masingle maza watakuwa wengi sana
 
1,Hana kazi inayoeleweka ila anashindia baa,anavaa vizuri na anakula vizuri(Huyo ni jambazi au kibaka au tapeli)

2,Wakati wa sex anakuomba tigo(kimbia sana huyo si muoaji)

3,Wakati wa sex hakuridhishi hata kama ukimwambia bado mambo ni yale yale (Utakuja kuchepuka mbeleni )

4,Anashinda vijiweni,anajikomba kwa wanaume wenye pesa( Huyo hajajitambua)

5,Anapenda kukufuatilia fuatilia kwa kukugombeza bila sababu za msingi( Mbeleni huenda ukawa mtawa wa ndani)

6,Unamtambulisha kwa mashoga zako halafu anachukua namba zao ( Huyo ni kicheche huenda akabanjuka kwa mdogo wako akija kuwasalimia)

7,Anapenda vibinti vidogo,unaye lakini unasikia ana kabinti mwanafunzi( Ndoani anaweza kumbaka mwanao mliozaa nae au kama wewe ni single mother mwanao wa kike atakuwa hatarini)

8,Analala ghetto moja na mwanaume mwenzie,(Huyo huenda ni shoga,unaanzaje kudate na mwanaume ambaye wanalala chumba kimoja na mwanaume mwezie,sio bure kuna ushoga humo ghetto)

9,Hana gari lakini kila baada ya saa kadhaa anapita na gari lingine,kila SAA anabadilisha gari( Hapo hakuna mwanaume)

10,Anafuatilia skendo za bongo movies na bongo fleva( Huyo kukupiga chini mbeleni sio kitu cha ajabu

11,Wakati mnadate anakwambia usibebe mimba na kila mara mnasex,ukamdanganyishia kuwa nina mimba akaanza kubadilika( Huyo si muoaji anakula ujana)

12,Kutoa hela ya matumizi mpaka umuombe(Hapo mbeleni huenda akakuachia majukumu ya familia)

13,Akiwa hana hela anakutafuta,mshahara ukitoka au akipata hela hakutafuti( Huyo akipata hela anatafuta wanawake wapya)

14,Mpo kwenye uchumba hataki kukuonyesha miradi yake ila unasikia tu kwa watu fulani anamradi fulani

15,Akupe mimba uzae ndo akuoe,mbeleni usipozaa je?( Ujiandae kufukuzwa)

16,Kampani au marafiki zake ni wanawake

17,Anaosha wanawake miguu

18,Anafanya kazi saluni za wanawake

19,Anapenda kutukana au matani yake ni kutukana

20,Meneja wa bar

21,Anavaa usharo,ananyoa usharo na anatembea usharo

22,Amewahi kudate na bar maid,house girl,madada poa( Huyo sio mwanaume wa kukuoa
[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi tusi mdomoni **** Mamaa eeee
 
kwenye post kama hizi ndo unwaju wakaka wenye hela na wenye sent
 
Nijuacho masherti siku zote ni inversely proportion n AGE.... haya masherti uliyoyaweka ni ya walio below 28.... COME THIRTY to 35.... Hapo almost masherti ni SURA tu
 
Hongera sana kwa ushauri wako kwa wenzako na ni kweli, Tatizo
"MSHAURI MZURI HUWA NDIE MWENYE MATATIZO MENGI"

Wakiweza kuyafuata yoote kwa hii dunia ya leo panauwezekano mkubwa kukosa wa kukuoa.
jitahidini tu kwa kadri ya majaliwa mengine tunamwachia Mungu.
Ni kweli
Mfano kwenye wanaume 1000 mia tu ndiyo wanatafuta watu wa kuoa na katika hao mia 90 wana tabia namba 22 na wanawake wanaotafuta waume wa kuwaoa wako 1000 unategemea nini apo
 
Namba moja ni ema mbasha na namba nne ni Lemutuz[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]
 
Mleta uzi ni mbabaishaji anaongea ongea tu na nafikir hana experience na maisha.
 
Asante Jehova, anagalau hadi leo sina sifa hata moja kati ya zilizotajwa japo sijafuzu maana tabia nyingine tunajifunza ukubwani...
masanzakona njoo huku!
 
Kwani housigerl si binadaam nae anahitaji kuolewa acheni roho mbaya. Mbona wengine mama zetu wamefanya kazi za uhousegirl na leo tuna maisha mazuri acheni unafiki nyie Wana JF. Tena unaweza ukuashanga aliekuwa housigirl ana akili za maisha kuliko hata unavyotegemea
Tembea naye kwa kumuoa sio kwa ajili ya kukutolea madude yako humo ndani,halafu ukisha mwaga ndo unatafuta mwanamke asiye house girl ndo unataka umuoe,Hiyo hapana
 
Back
Top Bottom