Hicho kidogo anakitoa wapi ikiwa hana kazi? Kahongwa au?Contradictions nyingi sana kwenye maelezo kwa mfano unaposema usioe hasiye na kazi , hapo hapo tena kuna statement kwamba Usioe kama hajapata mshahara anakutafuta ila akipata hakutafuti......Sasa hapa Kigezo sio Kazi tena bali ni Moyo wa Kutoa ambapo kuna wengine hawana kazi lakini wana Moyo wa kutoa hata kidogo alicho nacho.
Masharti na vigezo kuzingatiwa, sio unajibebea tu gube gube ili nawe uonekane una ndoa.Masharti kibao afu wasipoolewa wanajiona wana gundu.
Umemjibu kutoka moyoni?Wewe wasema,lakini sio lazima kuolewa
Ukiolewa nakuchangua gauni la harusi maana si kwa masharti hayo. Me nina kila sifa za mme bora na nina mke mzuri na watoto ila nikiwa na stress au mtu akinizingua nashusha matusi ya kufa mtu ndio hasira zinashuka. Imefikia kuna kipindi walinizingua ofisini nikaenda Bagamoyo man alone baharini nikatukana sana nilivyoridhika nikarudi home mweupee hasira zote kwishney.Ndoa inavunjika muda huo huo
Hizi sifa zote za wavulana na wanaume wa dar.
1,Hana kazi inayoeleweka ila anashindia baa,anavaa vizuri na anakula vizuri(Huyo ni jambazi au kibaka au tapeli)
2,Wakati wa sex anakuomba tigo(kimbia sana huyo si muoaji)
3,Wakati wa sex hakuridhishi hata kama ukimwambia bado mambo ni yale yale (Utakuja kuchepuka mbeleni )
4,Anashinda vijiweni,anajikomba kwa wanaume wenye pesa( Huyo hajajitambua)
5,Anapenda kukufuatilia fuatilia kwa kukugombeza bila sababu za msingi( Mbeleni huenda ukawa mtawa wa ndani)
6,Unamtambulisha kwa mashoga zako halafu anachukua namba zao ( Huyo ni kicheche huenda akabanjuka kwa mdogo wako akija kuwasalimia)
7,Anapenda vibinti vidogo,unaye lakini unasikia ana kabinti mwanafunzi( Ndoani anaweza kumbaka mwanao mliozaa nae au kama wewe ni single mother mwanao wa kike atakuwa hatarini)
8,Analala ghetto moja na mwanaume mwenzie,(Huyo huenda ni shoga,unaanzaje kudate na mwanaume ambaye wanalala chumba kimoja na mwanaume mwezie,sio bure kuna ushoga humo ghetto)
9,Hana gari lakini kila baada ya saa kadhaa anapita na gari lingine,kila SAA anabadilisha gari( Hapo hakuna mwanaume)
10,Anafuatilia skendo za bongo movies na bongo fleva( Huyo kukupiga chini mbeleni sio kitu cha ajabu
11,Wakati mnadate anakwambia usibebe mimba na kila mara mnasex,ukamdanganyishia kuwa nina mimba akaanza kubadilika( Huyo si muoaji anakula ujana)
12,Kutoa hela ya matumizi mpaka umuombe(Hapo mbeleni huenda akakuachia majukumu ya familia)
13,Akiwa hana hela anakutafuta,mshahara ukitoka au akipata hela hakutafuti( Huyo akipata hela anatafuta wanawake wapya)
14,Mpo kwenye uchumba hataki kukuonyesha miradi yake ila unasikia tu kwa watu fulani anamradi fulani
15,Akupe mimba uzae ndo akuoe,mbeleni usipozaa je?( Ujiandae kufukuzwa)
16,Kampani au marafiki zake ni wanawake
17,Anaosha wanawake miguu
18,Anafanya kazi saluni za wanawake
19,Anapenda kutukana au matani yake ni kutukana
20,Meneja wa bar
21,Anavaa usharo,ananyoa usharo na anatembea usharo
22,Amewahi kudate na bar maid,house girl,madada poa( Huyo sio mwanaume wa kukuoa
Tena sana
Unataka kuniambia kama hauna kazi(Kuajriwa) ndio utakuwa unabweteka tu kitaaani? Kuna Mbishe Mishe nyingi sana kitaani za kufanya ili mradi upate chochote kitu.Hicho kidogo anakitoa wapi ikiwa hana kazi? Kahongwa au?
Hongera sana kwa ushauri wako kwa wenzako na ni kweli, Tatizo
"MSHAURI MZURI HUWA NDIE MWENYE MATATIZO MENGI"
Wakiweza kuyafuata yoote kwa hii dunia ya leo panauwezekano mkubwa kukosa wa kukuoa.
jitahidini tu kwa kadri ya majaliwa mengine tunamwachia Mungu.
Hivi kumbe kuwa na kazi ni kuajiriwa[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Unataka kuniambia kama hauna kazi(Kuajriwa) ndio utakuwa unabweteka tu kitaaani? Kuna Mbishe Mishe nyingi sana kitaani za kufanya ili mradi upate chochote kitu.
Kwa uzi huu tu wewe hufai kuwamke wa mtu anayejitambua.1,Hana kazi inayoeleweka ila anashindia baa,anavaa vizuri na anakula vizuri(Huyo ni jambazi au kibaka au tapeli)
2,Wakati wa sex anakuomba tigo(kimbia sana huyo si muoaji)
3,Wakati wa sex hakuridhishi hata kama ukimwambia bado mambo ni yale yale (Utakuja kuchepuka mbeleni )
4,Anashinda vijiweni,anajikomba kwa wanaume wenye pesa( Huyo hajajitambua)
5,Anapenda kukufuatilia fuatilia kwa kukugombeza bila sababu za msingi( Mbeleni huenda ukawa mtawa wa ndani)
6,Unamtambulisha kwa mashoga zako halafu anachukua namba zao ( Huyo ni kicheche huenda akabanjuka kwa mdogo wako akija kuwasalimia)
7,Anapenda vibinti vidogo,unaye lakini unasikia ana kabinti mwanafunzi( Ndoani anaweza kumbaka mwanao mliozaa nae au kama wewe ni single mother mwanao wa kike atakuwa hatarini)
8,Analala ghetto moja na mwanaume mwenzie,(Huyo huenda ni shoga,unaanzaje kudate na mwanaume ambaye wanalala chumba kimoja na mwanaume mwezie,sio bure kuna ushoga humo ghetto)
9,Hana gari lakini kila baada ya saa kadhaa anapita na gari lingine,kila SAA anabadilisha gari( Hapo hakuna mwanaume)
10,Anafuatilia skendo za bongo movies na bongo fleva( Huyo kukupiga chini mbeleni sio kitu cha ajabu
11,Wakati mnadate anakwambia usibebe mimba na kila mara mnasex,ukamdanganyishia kuwa nina mimba akaanza kubadilika( Huyo si muoaji anakula ujana)
12,Kutoa hela ya matumizi mpaka umuombe(Hapo mbeleni huenda akakuachia majukumu ya familia)
13,Akiwa hana hela anakutafuta,mshahara ukitoka au akipata hela hakutafuti( Huyo akipata hela anatafuta wanawake wapya)
14,Mpo kwenye uchumba hataki kukuonyesha miradi yake ila unasikia tu kwa watu fulani anamradi fulani
15,Akupe mimba uzae ndo akuoe,mbeleni usipozaa je?( Ujiandae kufukuzwa)
16,Kampani au marafiki zake ni wanawake
17,Anaosha wanawake miguu
18,Anafanya kazi saluni za wanawake
19,Anapenda kutukana au matani yake ni kutukana
20,Meneja wa bar
21,Anavaa usharo,ananyoa usharo na anatembea usharo
22,Amewahi kudate na bar maid,house girl,madada poa( Huyo sio mwanaume wa kukuoa
Kwani housigerl si binadaam nae anahitaji kuolewa acheni roho mbaya. Mbona wengine mama zetu wamefanya kazi za uhousegirl na leo tuna maisha mazuri acheni unafiki nyie Wana JF. Tena unaweza ukuashanga aliekuwa housigirl ana akili za maisha kuliko hata unavyotegemea1,Hana kazi inayoeleweka ila anashindia baa,anavaa vizuri na anakula vizuri(Huyo ni jambazi au kibaka au tapeli)
2,Wakati wa sex anakuomba tigo(kimbia sana huyo si muoaji)
3,Wakati wa sex hakuridhishi hata kama ukimwambia bado mambo ni yale yale (Utakuja kuchepuka mbeleni )
4,Anashinda vijiweni,anajikomba kwa wanaume wenye pesa( Huyo hajajitambua)
5,Anapenda kukufuatilia fuatilia kwa kukugombeza bila sababu za msingi( Mbeleni huenda ukawa mtawa wa ndani)
6,Unamtambulisha kwa mashoga zako halafu anachukua namba zao ( Huyo ni kicheche huenda akabanjuka kwa mdogo wako akija kuwasalimia)
7,Anapenda vibinti vidogo,unaye lakini unasikia ana kabinti mwanafunzi( Ndoani anaweza kumbaka mwanao mliozaa nae au kama wewe ni single mother mwanao wa kike atakuwa hatarini)
8,Analala ghetto moja na mwanaume mwenzie,(Huyo huenda ni shoga,unaanzaje kudate na mwanaume ambaye wanalala chumba kimoja na mwanaume mwezie,sio bure kuna ushoga humo ghetto)
9,Hana gari lakini kila baada ya saa kadhaa anapita na gari lingine,kila SAA anabadilisha gari( Hapo hakuna mwanaume)
10,Anafuatilia skendo za bongo movies na bongo fleva( Huyo kukupiga chini mbeleni sio kitu cha ajabu
11,Wakati mnadate anakwambia usibebe mimba na kila mara mnasex,ukamdanganyishia kuwa nina mimba akaanza kubadilika( Huyo si muoaji anakula ujana)
12,Kutoa hela ya matumizi mpaka umuombe(Hapo mbeleni huenda akakuachia majukumu ya familia)
13,Akiwa hana hela anakutafuta,mshahara ukitoka au akipata hela hakutafuti( Huyo akipata hela anatafuta wanawake wapya)
14,Mpo kwenye uchumba hataki kukuonyesha miradi yake ila unasikia tu kwa watu fulani anamradi fulani
15,Akupe mimba uzae ndo akuoe,mbeleni usipozaa je?( Ujiandae kufukuzwa)
16,Kampani au marafiki zake ni wanawake
17,Anaosha wanawake miguu
18,Anafanya kazi saluni za wanawake
19,Anapenda kutukana au matani yake ni kutukana
20,Meneja wa bar
21,Anavaa usharo,ananyoa usharo na anatembea usharo
22,Amewahi kudate na bar maid,house girl,madada poa( Huyo sio mwanaume wa kukuoa
HahahaahHapo 22 hapo... nadhani unataka wanawake waolewe na Yesu.