Mwanamke usikubali kuolewa na wanaume hawa

Mwanamke usikubali kuolewa na wanaume hawa

1,Hana kazi inayoeleweka ila anashindia baa,anavaa vizuri na anakula vizuri(Huyo ni jambazi au kibaka au tapeli)

2,Wakati wa sex anakuomba tigo(kimbia sana huyo si muoaji)

3,Wakati wa sex hakuridhishi hata kama ukimwambia bado mambo ni yale yale (Utakuja kuchepuka mbeleni )

4,Anashinda vijiweni,anajikomba kwa wanaume wenye pesa( Huyo hajajitambua)

5,Anapenda kukufuatilia fuatilia kwa kukugombeza bila sababu za msingi( Mbeleni huenda ukawa mtawa wa ndani)

6,Unamtambulisha kwa mashoga zako halafu anachukua namba zao ( Huyo ni kicheche huenda akabanjuka kwa mdogo wako akija kuwasalimia)

7,Anapenda vibinti vidogo,unaye lakini unasikia ana kabinti mwanafunzi( Ndoani anaweza kumbaka mwanao mliozaa nae au kama wewe ni single mother mwanao wa kike atakuwa hatarini)

8,Analala ghetto moja na mwanaume mwenzie,(Huyo huenda ni shoga,unaanzaje kudate na mwanaume ambaye wanalala chumba kimoja na mwanaume mwezie,sio bure kuna ushoga humo ghetto)

9,Hana gari lakini kila baada ya saa kadhaa anapita na gari lingine,kila SAA anabadilisha gari( Hapo hakuna mwanaume)

10,Anafuatilia skendo za bongo movies na bongo fleva( Huyo kukupiga chini mbeleni sio kitu cha ajabu

11,Wakati mnadate anakwambia usibebe mimba na kila mara mnasex,ukamdanganyishia kuwa nina mimba akaanza kubadilika( Huyo si muoaji anakula ujana)

12,Kutoa hela ya matumizi mpaka umuombe(Hapo mbeleni huenda akakuachia majukumu ya familia)

13,Akiwa hana hela anakutafuta,mshahara ukitoka au akipata hela hakutafuti( Huyo akipata hela anatafuta wanawake wapya)

14,Mpo kwenye uchumba hataki kukuonyesha miradi yake ila unasikia tu kwa watu fulani anamradi fulani

15,Akupe mimba uzae ndo akuoe,mbeleni usipozaa je?( Ujiandae kufukuzwa)

16,Kampani au marafiki zake ni wanawake

17,Anaosha wanawake miguu

18,Anafanya kazi saluni za wanawake

19,Anapenda kutukana au matani yake ni kutukana

20,Meneja wa bar

21,Anavaa usharo,ananyoa usharo na anatembea usharo

22,Amewahi kudate na bar maid,house girl,madada poa( Huyo sio mwanaume wa kukuoa
hii namba 8 vijana wengi sana tumepitia sababu za kimaisha,na tulipotoka uko tukapokea na vijana wenzetu nao, hii ni sababu za kimaisha na kiuchumi ispokua tu kijana unaenda kwa mwenzako basi ukae kwa mda uende ukaanze life lako peke yako sio unanenepa tu gettoh la mwenzio.
 
No 14 tupo kwenye uchumba nikuoneshe miradi yangu ya nini na ili iweje... Hapo umefeli siwezi kukuonyesha miladi yangu kizembe zembe
 
Huwa wanajitoa akili na kuringa sana ila ukifika umri elekezi 28+,30+ huwa wanapata tabu sana ...

Mimi nilishuhudia kwenye family yangu kabisa ..mtoto wa anko mzuri huyo .but alikuwa yuko selective kinoma ana taka Mr right mwenye pesa..hashikiki ..haambiliiki ..but ninavyoongea mpaka sasa ameolewa village moja hivi na mkulima(jina kapuni)
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] akome!!!
 
1,Hana kazi inayoeleweka ila anashindia baa,anavaa vizuri na anakula vizuri(Huyo ni jambazi au kibaka au tapeli)

2,Wakati wa sex anakuomba tigo(kimbia sana huyo si muoaji)

3,Wakati wa sex hakuridhishi hata kama ukimwambia bado mambo ni yale yale (Utakuja kuchepuka mbeleni )

4,Anashinda vijiweni,anajikomba kwa wanaume wenye pesa( Huyo hajajitambua)

5,Anapenda kukufuatilia fuatilia kwa kukugombeza bila sababu za msingi( Mbeleni huenda ukawa mtawa wa ndani)

6,Unamtambulisha kwa mashoga zako halafu anachukua namba zao ( Huyo ni kicheche huenda akabanjuka kwa mdogo wako akija kuwasalimia)

7,Anapenda vibinti vidogo,unaye lakini unasikia ana kabinti mwanafunzi( Ndoani anaweza kumbaka mwanao mliozaa nae au kama wewe ni single mother mwanao wa kike atakuwa hatarini)

8,Analala ghetto moja na mwanaume mwenzie,(Huyo huenda ni shoga,unaanzaje kudate na mwanaume ambaye wanalala chumba kimoja na mwanaume mwezie,sio bure kuna ushoga humo ghetto)

9,Hana gari lakini kila baada ya saa kadhaa anapita na gari lingine,kila SAA anabadilisha gari( Hapo hakuna mwanaume)

10,Anafuatilia skendo za bongo movies na bongo fleva( Huyo kukupiga chini mbeleni sio kitu cha ajabu

11,Wakati mnadate anakwambia usibebe mimba na kila mara mnasex,ukamdanganyishia kuwa nina mimba akaanza kubadilika( Huyo si muoaji anakula ujana)

12,Kutoa hela ya matumizi mpaka umuombe(Hapo mbeleni huenda akakuachia majukumu ya familia)

13,Akiwa hana hela anakutafuta,mshahara ukitoka au akipata hela hakutafuti( Huyo akipata hela anatafuta wanawake wapya)

14,Mpo kwenye uchumba hataki kukuonyesha miradi yake ila unasikia tu kwa watu fulani anamradi fulani

15,Akupe mimba uzae ndo akuoe,mbeleni usipozaa je?( Ujiandae kufukuzwa)

16,Kampani au marafiki zake ni wanawake

17,Anaosha wanawake miguu

18,Anafanya kazi saluni za wanawake

19,Anapenda kutukana au matani yake ni kutukana

20,Meneja wa bar

21,Anavaa usharo,ananyoa usharo na anatembea usharo

22,Amewahi kudate na bar maid,house girl,madada poa( Huyo sio mwanaume wa kukuoa
Subiri ufikishe miaka 30+
 
Hapo mwisho namba 22 umezingua.Nikwambie tu kua machoni kwa mwanaume wanawake wote ni sawa.Sifa ya kwanza ni awe mwanamke alafu ndo sifa na vigezo vingine vinafuata.Hizo ulizotaja ni kazi tu ambazo kimsingi hazihusiani na mwanamke bora au mbovu.Wako wanawake wanaofanya hizo kazi na wanajielewa sana.Ni maisha tu wamekua hapo.
 
Wanaume ambao hawajawahi kula bar maid,bek 3 na Dada poa wapo vijijini nazani pia huwezi kuolewa na Wa kijijin,hyo namba 8 ya kulala ghetto moja unataka watu wasiwe wanasaidiana kmaisha
 
Dunia inaenda haraka hivi? sikujua kama na hawa wenzetu wana fursa ya kuchagua mwanaume.
Ina maana wanawake wanatakiwa wakubali kuolewa na wanaume wa aina yoyote ile hata kama hao wanaume hawana sifa nzuri?
 
Mbona kuna wanaume wanataka wanawake wapole, wanyenyekevu, wavumilivu, waaminifu, wacha Mungu na wenye akili ya maisha lakini unakuta hao wanaume ni malaya, walevi, wababe, wanyanyasaji hiyo imekaaje hapo?
Cha kushangaza kila mwanamke anataka PERFECT MAN wakati yeye tabia zake ni udangaji, mizinga, mikorogo, kutwa kuchat WhatsApp, kupenda vitu vya gharama pasipo sababu, anajiona video queen, hawa wa namna hii wataendelea kuumizwa tu.
 
Hiyo namba nane wengi tumepitia na tunaendelea kupitia mana tukikaa peke yetu hamkawii kuhamia na kuforce ndoa mara umeacha chupi mara kitenge mwisho wa siku nguo zote
 
Masharti meeengi
image.jpeg
 
Namba 8

Mimi nina jamaa zangu mpka saizi wako ghetto moja na wana kaa wa 2 wana changia kodi so unataka kuniambia ni mashogaa. UNAZENGUA

Na wana date mademu kama kawaida na wanaishi poa tu. Na nyumba ni kubwa ya kila mtu kujinafasi.
 
Juzi niliandika humu Mkuu mitandao nayo inawajaza ujinga mwingi baadhi ya wanawake wasiojitambua hadi wasionekane ni wife material. Itaendelea sana kula kwao baadhi ya hawa wanawake kama wasipotia akili kichwani.

Contradictions nyingi sana kwenye maelezo kwa mfano unaposema usioe hasiye na kazi , hapo hapo tena kuna statement kwamba Usioe kama hajapata mshahara anakutafuta ila akipata hakutafuti......Sasa hapa Kigezo sio Kazi tena bali ni Moyo wa Kutoa ambapo kuna wengine hawana kazi lakini wana Moyo wa kutoa hata kidogo alicho nacho.
 
Back
Top Bottom