E and E
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 1,204
- 1,053
Ndugu kwani wewe ukisikia kazi mawazo yako unayapeleka wapi? Sasa hicho kidogo unachosema kinapatikanaje, inapasa ujue kazi si lazima yenye mshahara, labda mtoa mada angeandika shughuli ya kufanya nadhani wewe ungemwelewa zaidi.Contradictions nyingi sana kwenye maelezo kwa mfano unaposema usioe hasiye na kazi , hapo hapo tena kuna statement kwamba Usioe kama hajapata mshahara anakutafuta ila akipata hakutafuti......Sasa hapa Kigezo sio Kazi tena bali ni Moyo wa Kutoa ambapo kuna wengine hawana kazi lakini wana Moyo wa kutoa hata kidogo alicho nacho.