Mwanamke una flat screen, nani akutake, buttocks injections on rise in US

Miye sijaona popote ma-ta-ko makubwa yalipowasaidia hao wenye nayo, tena ndio wanaoongoza kwa msoto humu mitaani maana huishia kugongwa tu! lkn pia pia hakuna tofauti ya utamu kati yao na hao mnaowaita flat screen.
 
Ukijikubali mbona maisha yanakuwa mazuri na ya amani... Kwani hayo maini yanaongeza nn cha ziada kulinganisha na asienacho..?!!
 
Ha ha Flat Screen si ndio mpango mzima siku hizi au bado kuna watu bado wanataka kichogo?
 
bora mie nna cha uchokozi. cc Kaizer.

flat-booty-21-1.jpg

Nilikuwa siamini nilipoona watu aina hiyo hasa wenye flat booty hasa nchi za magharibi hawa wazungu na waspanish, nikalazimika akili yangu ikubali kuwa ndio maumbile waliyojaliwa na Mungu. Unaweza kuwaonea huruma na kuona kama wamepungukiwa na kitu kisicho kawaida. Tumbo, kifua na kichwa vimejaa, lakini ukija kuanzia kiunoni na hadi miguuni utawaonea huruma. Waafrika wengi tumeumbika vizuri jamani. Tujue Mungu hawezi kukujalia vizuri vyote mtu mmoja na ndio hali halisi.
 
Tena wazungu ndo usiseme flat screen majanga ila Waafrica wengi wamejaliwa mashape sema.wachache ndo flat screen.ila majority wamejaaliwa
 
Back
Top Bottom