Mwanamke una flat screen, nani akutake, buttocks injections on rise in US

Mwanamke una flat screen, nani akutake, buttocks injections on rise in US

Mimi pendega hii shepu teehe teheee teehe
 

Attachments

  • 1406234736942.jpg
    1406234736942.jpg
    39.1 KB · Views: 2,098
Halafu hii habari ipo BBC news sasa hivi Husninyo njoo tuangalie, Simplicity mchokozi sana aisee ngoja waje
 
Last edited by a moderator:
Maini ndo mpango mzima aise..mimi bila mwanamke kuwa na maini ata..
 
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maadili!! Yani mtu yupo radhi akose kula ili atengeneze ------! Hahahaaaa, halafu nimecheka baada ya kusikia kuna wale wanaofanyiwa ivo na madoctor fake halafu ------ yao yanaonekana kama mtu wa miaka themanini, mwishowe tutasikia hata visimi wanafanyiwa plastick surgery.
 
Kwani wamependa? Ebu acheni ufal.a

Tena bora umesema wewe maana Mimi ningepata na ban kabisa, Watu wengine sijui wanawazaga nini,hao wenye mat..ako makubwa ndio wanaongoza kunuka,naistoshe walio kosa ma.ta.ko wameolewa wameacha Dada zako wenye mata..ko wamedoda hawajaolewa wanakazi yakuliwa nukta,hawakupenda kuwa hivyo,nakesho njoo useme walemavu hawana wakuataka.
 
Back
Top Bottom