Mwanamke una flat screen, nani akutake, buttocks injections on rise in US

Mwanamke una flat screen, nani akutake, buttocks injections on rise in US

Aliyepewa kapewa bana!f/screen hawana taste hata kwa kuwaangalia.kutwa kucha kuvaa suruali .Kuna wenye neema hata macho yanaona raaha kuwaangalia!hawa nguo zinabuniwa kwa ajiri yao....kila nguo inawapendeza
 
Mleta thread unamtukana muumba waziwazi,mbaya zaidi umesahau kwamba kila mguu na kiatu chake!
 
Kila MTU ni mzuri kwa jinsi Mungu alivomuumba ukaanze jichoma Choma kisa kumridhisha binadamu mbona mie na flat zangu zijapungukiwa kitu wadada nao wajiamini na miili yao.

Alafu si kila mwanaume anapenda #wiggle !! Wanawake mjiamini mi binafsi napenda Flat screen yani huwa wananipa maraha maana ni wepesi kugeuka na wanajua mambo si mchezo !! Hawasumbui wawapo kwenye mzani

MoreOver: #wiggle # wiggle Kama awaitavyo Jason Derulo wengi wao ndani hakuna kitu zaidi ya mi Maji na Ugogo tu !!!!!
 
Here Iam....
Flat screened
Nyamaless....
Tumiguu twa kati....
Tupaja ka twa kuku....
Vidole ka spoku za baiskeli....
Kanga upande mmoja nashona....
Kitenge kujifunga mpaka nikizungushe mara mbili....

Lakini ndo kwanza full kipupweeee, yangu yananiendea! Kama kupendwa napendwa na rika zote/jinsia zote......kwanini nijipe shida mtoto wa kike??? Eti kisa wezere??? Loh!
 
subiri nianzishe poll ya JF....tujue are they boob men or azz men....
 
Chamsingi jikubali ulivyo ushi kwa amani. Una flat screen au manundu ndivyo ulivyo umbwa na jipende hivyo hivyo. Mwisho wake ndo huo wa kuji inject na madhara ndio hao. Sio tu kwa wanawake, nje na wale wanao refusha mihogo yao? Tatizo wanadamu walio wengi hamjipendi mulivyo zaliwa. Kipenda roho jamani, preference yangu sio yako!
 
ningeshangaa usitie neno kwenye neema za allah!!! lol.

makalio makubwa ukizeeka yanaanguka kama matiti yanavyoanguka.
Matiti yanakuwa malapa na makalio yanakuwa malapa, utatishaje?
 
Here Iam....
Flat screened
Nyamaless....
Tumiguu twa kati....
Tupaja ka twa kuku....
Vidole ka spoku za baiskeli....
Kanga upande mmoja nashona....
Kitenge kujifunga mpaka nikizungushe mara mbili....

Lakini ndo kwanza full kipupweeee, yangu yananiendea! Kama kupendwa napendwa na rika zote/jinsia zote......kwanini nijipe shida mtoto wa kike??? Eti kisa wezere??? Loh!
wewe nakufahamu, unavuta tela kubwa sana.
 
Back
Top Bottom