Mwanamke ni Unadhifu sio nguo nzuri tu na mekapu

Mwanamke ni Unadhifu sio nguo nzuri tu na mekapu

Spear

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2008
Posts
507
Reaction score
32
Leo hii ikiwa kwapa linaloonekana na kila mtu limeachiwa lina titirika mijasho hali kama hiyo ,jee hizo sehemu za geza ulole zitakuwaje?

_DSC0053.JPG
 
Mbutu bado ngangali tokea nikiwa mtoto sinza mpaka leo bado yupo tu anatingisha roho za watu na siyo kuwapa watu presha kama yule tumjuaye kwa jina la Wema
 
Hapa nikiongelea kikwapa cha huyo wa kulia mwafulani atakuja na kuniuliza kama nina fetish.
 
mmmmh jamani inategemea hilo jasho limetokaje labda ametembea kwa miguu muda mrefu
 
Nimtazamo wako tu hakuna bin adam asiye sweat
 
Mmependeza, BIG UP SANA DADA ZETU. ALL THE BEST KATIKA KAZI ZENU
 
mvua inaweza kunyesha kaskazini ilhali kusini kukawa kukavu kabisa yaaaaani mpaka ukame ukatokea
 
Ndugu SPEAR mbona wewe hivi?
Hujaonja joto ya jiwe nini? Hao madada hasa Luiza hilo jasho mi linanitoka uden........

Na hilo kissable mouth, mwaaaa
 
Jasho ni kawaida kila mtu kwa jinsi mwili wake ulivyo, lakini kuna kitu watu wengi hawajakiona!

Hebu mcheki huyo demu wa kushoto kabisa kiunoni ni kama shanga zimemzidi hebu angalia vizuri utaona kama moja imeondoka kwenye kundi la wenzake jamani! Uongo?
 
Chuki binafsi hizo kwani wewe jasho halikutoki...au unadhani si binadamu kama wewe... Tena hii ni moja ya picha nzuri niliyowahi kuona Luiza amependeza na yuko professional
 
Jasho ni kawaida kila mtu kwa jinsi mwili wake ulivyo, lakini kuna kitu watu wengi hawajakiona! Hebu mcheki huyo demu wa kushoto kabisa kiunoni ni kama shanga zimemzidi hebu angalia vizuri utaona kama moja imeondoka kwenye kundi la wenzake jamani! Uongo?
huyo ni mke wa mzungu.
 
Back
Top Bottom