kwahiyo nimeshakuwa mzee tena ??
Nani mwenzangu ? Jina ndio limenipeleka huko.
kwahiyo nimeshakuwa mzee tena ??
Poa.Unaposema nimelitumia vibaya kwa munasaba hasi,huo munasaba hasi na kutumia vibaya kwa mujibu wa nani na ilhali mimi nimeainisha makusudio katika maneno yangu ?
Unaponiambia neno "Chombo cha starehe" eti kuwa ni neno baya huo ubaya kwa mujibu wa mtazamo wa nani ?
Au na wewe umeathirika na fikra za kimagharibi wanaotumia maneno haya haya kwa ajili ya kukashifu?
Kwa ufupi hapa unataka kuleta janja janja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mleta mada umeleta mkanganyiko kidogo kutokana na kichwa cha mada kuna talbisi ndani yake.Nafahamu kutatokwa povu kubwa sana na wwtu lakini ukweli huu acha tuubainishe.
Manamke ni kiumbe kilichoumbwa kwa ajili ya yetu ili tustarehe nao.mwanamke hakuumbwa ili aje atupe shida na dhiki bali atupe raha na furaha.
Ndio maana leo kuna makahaba wale lengo lao sio kuwapa dhiki wanaume bali kuwapa raha na starehe wanaume.
Ndio maana kuna mahari yanatoka ambayo hata mama wa mwanamke haruhusiwi kuichukua kwa nguvu kwa sababu yeye alishakula mahari yake kwa mumewee.
Ndio maana dini inayoelewa hii ikatoa ofa uwe na wawili watatu mpaka wanne.
Sasa tokea lini kitu cha starehe tuwekewe limit kwamba uwe nacho kimoja tu?
Mfano gari na watoto ni vitu vinatupa starehe na furaha kwetu kwa hiyo kama ambavyo unaruhusiwa kuwa na watoto na magari mengi basi pia ndo kuna ruhusa ya kuwa na wake wengi.
Kama ambavyo unaruhusiwa kula machungwa zaidi ya moja kwa sababu linakupa raha basi pia ndo kuna ruhusa ya kuwa na mke zaidi ya mmoja.
Mwanamke ni chombo cha kuitustarehesha na kutupa raha na wala sio chombo cha kutuudhi na kutupa dhiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke aliye kusudiwa hapo ni yule atakaye kuwa mkeo na si kila mwanamkeAlaaa ?
Mtume wa Allah anasema
"Dunia ni starehe na bora ya starehe ni mwanamke. Mwema "
Kwa nini hapa starehe ya dunia bwana Mtume kaiambatanisha na mwanamke ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Naaam na talbis inahitaji ufafanuzi.Mleta mada umeleta mkanganyiko kidogo kutokana na kichwa cha mada kuna talbisi ndani yake.
Kichwa cha habari kina jumuisha kila mwanamke yeyote yule awe mkeo,mama yako,Dada yako,shangaz yako nk.
Na maelezo yako umemtaja mwanamke kwa nafasi yake moja tu kwako yaani mkeo maana ndiye unaye weza kustarehe naye na si mwingineyo.
Na hadithi ya uliyo stadilli nayo,mwanamke aliye kusudiwa hapo ni mke mwema
Hivyo kauli yako hii inatalbisi ndani yake.
Kwaninasiyekuwa mkeo si atakuwa mke wa mwingine na atampa starehe mtu mwingine na huyo Mtu atasema mke wangu nastarehe nae.Mwanamke aliye kusudiwa hapo ni yule atakaye kuwa mkeo na si kila mwanamke
Maana wanawake wana nafasi tofauti kwako.
Alafu mwanaume ndo anatiwa mimba ?
Hii ndjo point sasa.... Kwamba pesa ndio itakupa cha starehe kinachovutia u urudike kwa raha zako zote. Wanawake kweli chombo kizuri kwa starehe cha maingi ndalama
Na kuanzia leo mtuite chombo au vyombo!
Hapo nimevunja wapi nidhamu Mkuu ?Thread Ya Hovyo Kama Hili Janga Lililoipata Dunia Corona Virus Diseases 19,Weka Nidhamu, Heshima Kwa Wakina Mama
Unaandika Unapitiliza, Huna Mama Wewe Mwenyewe?
Watakuzonga shauri zako bossYes Muhammad agrees with you boi...indeed indeed
Mimi nimeoa na nina mke tunafurahia maisha.
Na nina imani namuhitajia yeye kuliko anavyoniitajia yeye.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh namhurumia gf/mke wako. Mwanaume mwenye mtazamo wa hiv ni hatari kwa afya
Sent using Jamii Forums mobile app
Inafikilisha..Kama yeye angekuwa chombo cha starehe kwa ajili yangu basi ndo ingebidi alipe mahari yeye.
Tunapotoa kitu kupata kitu maana yake unakihitajia mno.
Mwanaume anaweza kubaka hata kuku akiwa na nyege ila mwanamke ni ngumu kujibakisha kwa kuku.hii kuonesha mwanaume matamanio yake yako karibukaribu ya ovyo kuliko mwanamke.
Hivyo tunatoa mahari kwa sababu sisi ndo tunawahitajia sana wao kukidhi haja na starehe zetu kuliko wao wanavyotuhitajia sisi.
Ukitoa pesa kununua gari maana yake wewe ndo unashida zaidi na gari kuliko gari ilivyokuwa na shida na wewe.
Na kutoa sisi mahari kuwapa wanawake maana yake sisi tunawahitajia zaidi kuliko wao wqnavyotuhitajia sisi.
Sio kejeli ndo ukweli huo.ndio maana kuna wanawake wengi wanajiuza kwa ajili ya wanaume na ni ngumu kukuta wanaume wanajiuza kwa ajili ya wanawake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Waambie mkuu, halafu kuna wanawake mnapotombana anataka yeye awe juu wewe uwe chini Kama vile yeye ndiye anakutomba



Mbwembwe tu za mdomoni na mikono kutype , wa hivi huwa ni dhaifu, hawana misamamo, bendera fuata upepo,huwa wanazolewa kirahisi sana, ni wepesi sana kushikwa na mwanamke, tunaishi kwenye jamii tunawajua vizuuuriii😏😏😏 ndiyo maana mimi wale wanaoongea kwa ustaarabu sana ndio ninawahofia sana huwa ni makauzu, wanajiamini, hawashikiki kirahisi na hatari zaidi ni wafujaji wa kimyakimya wa tena huwa wanapiga kabisaa ukiambiwa huwezi amini, ila hawa wapiga kelele sina hata shaka, yaani sitikisiki!
Kabisa Wangari, kwa uzoefu kabisaa kwa kuona na kushika!! Ndio maana huwa napita nacheka tu.OGOPA MWANAMUME MPOLE
hawa ntilalila walaa