Mwanamke ni chombo cha starehe(?)

Mwanamke ni chombo cha starehe(?)

Huwenda ulicho kisema kina ukweli ndani yake lakini bado hii kauli inaukakasi.

Yaani ukisema mwanamke ni chombo cha starehe kana kwamba hana kazi nyingine ila kukustarehesha wewe tu.

Kwani mkeo huwa hana lingine analo lifanya katika masaa ishirni na nne ila kukustarehesha wewe tu?
Hiyo kana kwamba hana kazi nyingine nimeisema wapi ?

Ikiwa maana ya starehe ni kuwa hana kazi nyingine maana hiyo ni kwa mujibu wa nani ?

Mtume alisema kuwa starehe ya dunia ni mke mwema,je hapa mtume alimaanisha kuwa mwanamke mwema hana kazi nyingine zaidi ya kustarehe na mumewe ?

Unasema ina ukakasi na mimi nimetolea maelezo bado una maelezo yako mfukoni mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafahamu kutatokwa povu kubwa sana na wwtu lakini ukweli huu acha tuubainishe.

Manamke ni kiumbe kilichoumbwa kwa ajili ya yetu ili tustarehe nao.mwanamke hakuumbwa ili aje atupe shida na dhiki bali atupe raha na furaha.

Ndio maana leo kuna makahaba wale lengo lao sio kuwapa dhiki wanaume bali kuwapa raha na starehe wanaume.

Ndio maana kuna mahari yanatoka ambayo hata mama wa mwanamke haruhusiwi kuichukua kwa nguvu kwa sababu yeye alishakula mahari yake kwa mumewee.

Ndio maana dini inayoelewa hii ikatoa ofa uwe na wawili watatu mpaka wanne.
Sasa tokea lini kitu cha starehe tuwekewe limit kwamba uwe nacho kimoja tu?

Mfano gari na watoto ni vitu vinatupa starehe na furaha kwetu kwa hiyo kama ambavyo unaruhusiwa kuwa na watoto na magari mengi basi pia ndo kuna ruhusa ya kuwa na wake wengi.

Kama ambavyo unaruhusiwa kula machungwa zaidi ya moja kwa sababu linakupa raha basi pia ndo kuna ruhusa ya kuwa na mke zaidi ya mmoja.

Mwanamke ni chombo cha kuitustarehesha na kutupa raha na wala sio chombo cha kutuudhi na kutupa dhiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoa mada utakuwa ulikulia mitaani (majalalani) mama yako alikuona hutamthamini akaamua kukutelekeza mapeeema ndio maana ata uzi wako umekosa mvuto, umejaa hasira, na utovu wa nidhamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo kana kwamba hana kazi nyingine nimeisema wapi ?

Ikiwa maana ya starehe ni kuwa hana kazi nyingine maana hiyo ni kwa mujibu wa nani ?

Mtume alisema kuwa starehe ya dunia ni mke mwema,je hapa mtume alimaanisha kuwa mwanamke mwema hana kazi nyingine zaidi ya kustarehe na mumewe ?

Unasema ina ukakasi na mimi nimetolea maelezo bado una maelezo yako mfukoni mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe unajua kuwa kauli ya mtume (swalla llahu alayhi wasallam) haikumaanisha hivyo sasa wewe huo ujasiri wa kumtaja mwanamke kuwa ni chombo cha starehe pasi na kubainisha kuwa anakazi nyingine umaitoa wapi?

Hebu rudia kuusoma vizuri Uzi wako
 
Wapi nimesema kuwa hana kazi nyingine ?

Na kwa ufahamu wa nani au kwa marejeo yapi umeyategemea yanayosema kuwa ukisema mwanamke chombo cha starehe basi automatic anakuwa hana kazi nyingine ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijasoma thread yako so najibu headline tu....

Na starehe siku zote ni gharama so muwe mnahonga kweli kweli, na mhonge kiroho safi.
Haya Lizzy unataka sh.ngap ukanipe starehe?
 
Wapi nimesema kuwa hana kazi nyingine ?

Na kwa ufahamu wa nani au kwa marejeo yapi umeyategemea yanayosema kuwa ukisema mwanamke chombo cha starehe basi automatic anakuwa hana kazi nyingine ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hukusema kwa kauli ya moja kwa moja

Kwani ulipo wataja makahaba katika mada yako ulimaanisha nini?

Na makahaba wanafanya kazi gani?
 
Hukusema kwa kauli ya moja kwa moja

Kwani ulipo wataja makahaba katika mada yako ulimaanisha nini?

Na makahaba wanafanya kazi gani?
Ndo mana nikakuuliza wapi nimeseema kuwa wanawake kazi yao ni hiyo tu kwa kauli isiyokuwa ya moja kwa moja kama ulivyosema?

Na kwa ufahamu wa nani au kwa marejeo yapi umeyategemea yanayosema kuwa ukisema mwanamke chombo cha starehe basi automatic anakuwa hana kazi nyingine ?

Unanigeuzia maswali ilhali na mimi nakuuliza maswali.

Nimewataja makahaba kuonesha ya kuwa ni Ngumu mwanaume kujiuza barabarani kwa ajili ya mwanamke lakini kwa wanawake ni rahisi kuonesha ya kuwa wanaume wananunua starehe na wanawake wanatafuta pesa wale makahaba.

Sijui kitu gani huelewi mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oohh kwahiyo kwako wewe vitu vyote vinavyouzwa ni hadi viwe barabarani ?? Kwamba hata bidhaa haramu nazo huwa zinapangwa barabarani ndiyo zinauzwa na kwamba hakuna biashara zinazofanyika kwa siri ??
Wewe kama una maana yako ya kujiuza basi ni juu yako.

dhahabu haiwezi kuwa chumbani imewekwa ukasema inauzwa,lazima iwepo sehemu husika na matangazo husika.

Wale wa barabarani wenye bei maalumu ndo wanajiuza kwa mujibu wa mimi.

Kama wewe una maana yako basi sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafahamu kutatokwa povu kubwa sana na wwtu lakini ukweli huu acha tuubainishe.

Manamke ni kiumbe kilichoumbwa kwa ajili ya yetu ili tustarehe nao.mwanamke hakuumbwa ili aje atupe shida na dhiki bali atupe raha na furaha.

Ndio maana leo kuna makahaba wale lengo lao sio kuwapa dhiki wanaume bali kuwapa raha na starehe wanaume.

Ndio maana kuna mahari yanatoka ambayo hata mama wa mwanamke haruhusiwi kuichukua kwa nguvu kwa sababu yeye alishakula mahari yake kwa mumewee.

Ndio maana dini inayoelewa hii ikatoa ofa uwe na wawili watatu mpaka wanne.
Sasa tokea lini kitu cha starehe tuwekewe limit kwamba uwe nacho kimoja tu?

Mfano gari na watoto ni vitu vinatupa starehe na furaha kwetu kwa hiyo kama ambavyo unaruhusiwa kuwa na watoto na magari mengi basi pia ndo kuna ruhusa ya kuwa na wake wengi.

Kama ambavyo unaruhusiwa kula machungwa zaidi ya moja kwa sababu linakupa raha basi pia ndo kuna ruhusa ya kuwa na mke zaidi ya mmoja.

Mwanamke ni chombo cha kutustarehesha na kutupa raha na wala sio chombo cha kutuudhi na kutupa dhiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo hata mamako anakustaresha?
 
Oohh kwahiyo kwako wewe vitu vyote vinavyouzwa ni hadi viwe barabarani ?? Kwamba hata bidhaa haramu nazo huwa zinapangwa barabarani ndiyo zinauzwa na kwamba hakuna biashara zinazofanyika kwa siri ??
Wapi nimesema vitu vyote vinavyojiuza hadi viwe barabarani?

Mimi nazungumzia makahaba hawa tunaowaona kila siku wapo barabarani wanajiuza kama kuna wengine huko wanajiuza hawapo barabarani sio tatizo kwa kuwa wanajiuza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anaongea kujifurahisha tu na haikatazwi 🤣🤣
Ukweli kila mtu anaujua kubishana haina haja, ila wa hivi ni watamu sana huwa wanalialia kifuani, ooh usiniacheee nakupenda sanaaa, ukiniacha ntakufaaa🤷🏼‍♀️
Ngoja nijiwekw kwako uone kama ipo siku nitalilia hvo mkuu.
 
Mke wangu akinikalia juu lazima akojoe bao. Hii inategemea sana na uzito wake, kama ni heavy duty kuzidi wewe, style hiyo haifai, yaani utajuta
Ila mi napenda sana kumtomba akiwa kifo cha mende ndo napata bao muruwaaaa!
Waambie mkuu, halafu kuna wanawake mnapotombana anataka yeye awe juu wewe uwe chini Kama vile yeye ndiye anakutomba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom