Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,694
Kabisa Wangari, kwa uzoefu kabisaa kwa kuona na kushika!! Ndio maana huwa napita nacheka tu.
🤣🤣bora kuolewa na kivuruge ujue moja..ila sio hawa wpole...uwiii🙌🙌🙌
Kabisa Wangari, kwa uzoefu kabisaa kwa kuona na kushika!! Ndio maana huwa napita nacheka tu.
Nanyi mwakubali kua ni chombo cha stareheKabisa Wangari, kwa uzoefu kabisaa kwa kuona na kushika!! Ndio maana huwa napita nacheka tu.
Wapi imeandikwa kuwa neno starehe lina utesaji ndani yake ?Kuwa na wake wengi inaruhusiwa lakini Kuna masharti si Kama wewe unavyosema kuwa eti mwanamke ni chombo Cha starehe huo ni wewe wasema.yule ni binadamu Kama wewe na hayo yametoka wapi.kila kinachofanywa Kati ya mme na mke kiwe tofauti na kinacho fanywa Kati ya mwanamke na mwanaume maana mme na mke ni upendo c starehe Kama unavyodhani,ktk upendo Kuna Mungu lakini ktk starehe hata shetani anaweza kuwepo maana si lazima kuwepo upendo.Inaonyesha wewe ni mnyanyasaji wa wanawake ,mwanamke akuzae wewe Leo awe wa starehe badala ya kumuheshimu na kumuenzi.asante Mungu kwa kumuumba mwanake na ukombozi kupitia kwake.AMINA
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi wanaume tunawahitaji zaidi wanawake.Lazima wewe umhitaji zaidi kwasababu alishagundua mume wangu anazo za kuvukia barabara tu!na hayo ndo maswahibu anayokumbana mkeo kipindi hiki..lazima umtegemee usipomtegemea kula yako tu itasumbua
Tatizo kuna chuki zilipandikizwa juu ya hili neno "chombo cha starehe" kuna watu walikuwa wanatumia hili neno kwa lengo la kukebehi,kwa hyo na mimi nikisema hivi naonrkana nakebrhi na kumshusha mwanamke.Wanawake bana tukisema ni chombo cha starehe hawataki wakidhani ni dharau.....
labda tutumie lugha ngumu....
ni chombo cha kukitumikisha....
Kiumbe ambae tumeambiwa tukifanyie wema na tumpe kati ya yale tuliyoruzukiwa mara tatu zaidi ya baba unakiita chombo cha Starehe ?
Nani alikutangulia katika kauli hizi za kifedhuli ?
Dini zote na Mila zinamkandamiza mwanamke, tena bora hata huo uislamu umempa heshima mwanamke, labda na wewe useme uikristo umempa heshima ipi mwanamke?
Msiwe wepesi wa kushambulia imani za wengine kwa hisia zenu binafsi.
Alaaa ?
Mtume wa Allah anasema
"Dunia ni starehe na bora ya starehe ni mwanamke. Mwema "
Kwa nini hapa starehe ya dunia bwana Mtume kaiambatanisha na mwanamke ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivyo kauli ya kusema mwanamke ni chombo cha starehe sio mutwlaq kwa kila mwanaume kuisema kama ulivyo iwasilisha,bali itakuwa kwa yule mwanamke unayeweza kumoa tu.Kwaninasiyekuwa mkeo si atakuwa mke wa mwingine na atampa starehe mtu mwingine na huyo Mtu atasema mke wangu nastarehe nae.
Sasa hapo si yule yule mwanamke au wewe ulielewa vipi uzi wangu ?
Uzi wangu unamgusa mwanamke,haina maana hata mama yangu nistarehe nae,mama yangu atastarehe na baba yangu.
Mimi nitastarehe na mke wangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia maneno yenye busara ndugu
Tatizo nauliza ni kwa mujibu wa marejeo gani ukimnasibisha mwanamke na starehe basi neno starehe lina maana ya kuwa kumkandamiza mwanamke ama kumshusha hadhi na kumnyima haki yake ?Akhuy
Jaribu kuelewa maandiko matakatifu
Lau Mtume wa Allah angesema hili tu kuhusu Mwanamke,Basi ungefaa kusema na kumaliza
Lkn
Mwanamke ametajwa kwa meengi juu ya ubora wake.
Nataraji utakuwa umeelewa Bro
Shukran
وبارك الله فيك
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaongea kujifurahisha tu na haikatazwi 🤣🤣Nanyi mwakubali kua ni chombo cha starehe
Huwenda ulicho kisema kina ukweli ndani yake lakini bado hii kauli inaukakasi.Tatizo nauliza ni kwa mujibu wa marejeo gani ukimnasibisha mwanamke na starehe basi neno starehe lina maana ya kuwa kumkandamiza mwanamke ama kumshusha hadhi na kumnyima haki yake ?
Au kosa langu kutumia neno chombo,kama ni hivyo je kutumia neno jiko na chuma cha ukweli ni fedheha ama sifa ?
Au kosa langu kutumia neno starehe ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo nauliza ni kwa mujibu wa marejeo gani ukimnasibisha mwanamke na starehe basi neno starehe lina maana ya kuwa kumkandamiza mwanamke ama kumshusha hadhi na kumnyima haki yake ?
Au kosa langu kutumia neno chombo,kama ni hivyo je kutumia neno jiko na chuma cha ukweli ni fedheha ama sifa ?
Au kosa langu kutumia neno starehe ?
Sent using Jamii Forums mobile app