Mwanamke ni chombo cha starehe(?)

Mwanamke ni chombo cha starehe(?)

Ndio mkuu.

Ila shida kubwa ni kuwa kuna watu wametangulia kuonesha kuwa neno "mwanamke ni chombo cha starehe" kuwa ni fedheha.

Ila mimi siwezi kufuata mawwzo yao
Vitabu vyetu vitakatifu vinabainisha hoja yako mkuu..mfano kimoja kuna mahali kinasema Adamu alionekana mpweke ndipo aliumbwa yule mwanamke kwa ubavu wake..Aliumbwa Mwanamke kwa tafsiri ya kumstarehesha mwanaume...Angeumbwa Mwanaume mwingine bado wote wangekuwa wapweke...Au siyo Mzee Baba...

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaposema nimelitumia vibaya kwa munasaba hasi,huo munasaba hasi na kutumia vibaya kwa mujibu wa nani na ilhali mimi nimeainisha makusudio katika maneno yangu ?

Unaponiambia neno "Chombo cha starehe" eti kuwa ni neno baya huo ubaya kwa mujibu wa mtazamo wa nani ?

Au na wewe umeathirika na fikra za kimagharibi wanaotumia maneno haya haya kwa ajili ya kukashifu?

Kwa ufupi hapa unataka kuleta janja janja.
Kijana naona umeamua kubishana kwenye hamna.

Ubaya wa maana huendana na munasaba. Iko hivi kwa ujumla wa maana na tukienda mbali zaidi, hapo umesifia kimaana tu ila kiuhalisia hamna maana, huo ni upande chanya.

Lakini, tamko hilo hilo umelitumia vinaya kwa munasaba hasi, na hicho ni kitendi cha dhulma na udhalilishaji na hakina uhalisia vile vile.

Lakini, ajabu hujaona tofauti kati ya matumizi ya hizo kauli zako mbili, kisha unanitaka mimi niwe muelewa wakati wewe hata ulicho kiandika unashindwa kukimaizi. Hii ajabu huwa naiona humu jf.

Hakuna kitu ambacho hakiendi bila ya lugha, na maana ya kisheria ndio huwa ina nguvu sana kuliko maana ya kilugha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe kama una maana yako ya kujiuza basi ni juu yako.

dhahabu haiwezi kuwa chumbani imewekwa ukasema inauzwa,lazima iwepo sehemu husika na matangazo husika.

Wale wa barabarani wenye bei maalumu ndo wanajiuza kwa mujibu wa mimi.

Kama wewe una maana yako basi sawa.
Mbona dunia ya sasa wapo wanaume wengi wanaojiuza kwa wanawake ili wapate hela ?? Au mmeshakariri kwamba mtu kujiuza ni hadi ajipange barabarani ??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hapo wapi nimesema mke mmoja hatoshelezi Mkuu ?

Hiyo kauli sikuisema na ina maana oana hasa ndo mana nakataa sikuisema.
Nanukuu "Ndio maana dini inayoelewa hii ikatoa ofa uwe na wawili watatu mpaka wanne.
Sasa tokea lini kitu cha starehe tuwekewe limit kwamba uwe nacho kimoja tu?"

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom