Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,262
- 18,251
Pathetic.naona unatekelez mawaidha kuitetea dini yenu ipasavyo .all the best!
Pathetic.naona unatekelez mawaidha kuitetea dini yenu ipasavyo .all the best!
🚮Pathetic.
Sipendi kuvaa nguo na kikoti dah..najionaga mluguru ghafla😉!
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 yaani kuna watu mnachekesha. We jamaa umenichekesha mpaka nime screenshot comment yako dah 😂😂😂😂😂😂Waambie mkuu, halafu kuna wanawake mnapotombana anataka yeye awe juu wewe uwe chini Kama vile yeye ndiye anakutomba
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 yaani kuna watu mnachekesha. We jamaa umenichekesha mpaka nime screenshot comment yako dah 😂😂😂😂😂😂
Hahaha Mng'ato yule chidhi sana 😅🤣🤣🤣🤣! Mie niliwah screen shot comment ya mng'ato..mpk leo hua nacheka ingawa sina!
Alisema tausi za Ikulu zimepoteza mvuto coz zinapewa kiporo cha ugali na udaga🤣🤣🤣🤣
Unaposema mwanamke ni chombo cha starehe unaeleweka, ukiongeza na magari haieleweki sana maana gari ni usafiri. Je watoto ni kwa vipi wanakuwa chombo cha starehe?Nafahamu kutatokwa povu kubwa sana na wwtu lakini ukweli huu acha tuubainishe.
Manamke ni kiumbe kilichoumbwa kwa ajili ya yetu ili tustarehe nao.mwanamke hakuumbwa ili aje atupe shida na dhiki bali atupe raha na furaha.
Ndio maana leo kuna makahaba wale lengo lao sio kuwapa dhiki wanaume bali kuwapa raha na starehe wanaume.
Ndio maana kuna mahari yanatoka ambayo hata mama wa mwanamke haruhusiwi kuichukua kwa nguvu kwa sababu yeye alishakula mahari yake kwa mumewee.
Ndio maana dini inayoelewa hii ikatoa ofa uwe na wawili watatu mpaka wanne.
Sasa tokea lini kitu cha starehe tuwekewe limit kwamba uwe nacho kimoja tu?
Mfano gari na watoto ni vitu vinatupa starehe na furaha kwetu kwa hiyo kama ambavyo unaruhusiwa kuwa na watoto na magari mengi basi pia ndo kuna ruhusa ya kuwa na wake wengi.
Kama ambavyo unaruhusiwa kula machungwa zaidi ya moja kwa sababu linakupa raha basi pia ndo kuna ruhusa ya kuwa na mke zaidi ya mmoja.
Mwanamke ni chombo cha kuitustarehesha na kutupa raha na wala sio chombo cha kutuudhi na kutupa dhiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilitaka nitoe like lakini nimejishtukia mi kidume. Naunga mkono hoja kabisa. Mimi kama kuna vitu vimenifanya nisiwe na maendeleo ni nyinyi viumbe daah!Too bad...tunawaudhi,tunawapa dhiki na kuwagaragaza kama kambale(refer case ya Hamida)
Kiufupi sisi ndio weakness point yenu kubwa
Alaaa ?Kiumbe ambae tumeambiwa tukifanyie wema na tumpe kati ya yale tuliyoruzukiwa mara tatu zaidi ya baba unakiita chombo cha Starehe ?
Nani alikutangulia katika kauli hizi za kifedhuli ?
Kumbe na wewe ni mzuri ivyo eeh..!Mkuu huyo wa kwenye avatar mbona anafanana na mimi aseeee!
Na kuanzia leo mtuite chombo au vyombo!
Huyo ndio wa kulaumiwa sio wewe, msingekuwa hivi mlivyo kama si yeyeAlaaa ?
Mtume wa Allah anasema
"Dunia ni starehe na bora ya starehe ni mwanamke. Mwema "
Kwa nini hapa starehe ya dunia bwana Mtume kaiambatanisha na mwanamke ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilitaka nitoe like lakini nimejishtukia mi kidume. Naunga mkono hoja kabisa. Mimi kama kuna vitu vimenifanya nisiwe na maendeleo ni nyinyi viumbe daah!
Ubabe wote na ujanja nauzika mfuko wa nyuma wa kalio na kuukalia ujanja wote kwishnei *****.
Mkuu jaribu kuangalia vizuri wanawake tunavyowaita sisi kwa majina ya burudani na kupendeza.
Basi ako ka avatar kako kakukondeana na kununa, nikajua haka kamwanamke katakua kanakula Ganja..!
Sent using Jamii Forums mobile app
Too bad...tunawaudhi,tunawapa dhiki na kuwagaragaza kama kambale(refer case ya Hamida)
Kiufupi sisi ndio weakness point yenu kubwa
Kiumbe ambae tumeambiwa tukifanyie wema na tumpe kati ya yale tuliyoruzukiwa mara tatu zaidi ya baba unakiita chombo cha Starehe ?
Nani alikutangulia katika kauli hizi za kifedhuli ?