Mwanamke ni chombo cha starehe(?)

Una busara sana Pujo [emoji1547][emoji1547][emoji1547]
 
[emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547]
 
Umeshapata hizo hela au umeishia tu kuwachukulia kama chombo cha starehe halafu unawala kwa macho
 
Kweli kabisa mkuu, nashangaa mwanamme analalamika kumuhudumia mwanamke wake kweli?, je km yupo mpnz tu hataki kumuhudumia akiwa mke ndy ataweza kumuhudumia?
Yaani mpenzi unataka kuhudumiwa kama mke wa ndoa.

Si ajabu wengi wanaliwa kimasihara kwa kuendekeza uyatima.

Kama na wewe unafanya hiyo biashara nakushauri uiache mara moja.

Mpenzi ni mpenzi na mke ni mke. Wawili hawa hawawezi kufanana hata kidogo
 
Sidhani kama umeelewa nilichokimaanisha. Fuatilia comments vizuri uone ni kitu gani tulichokuwa tunakiongelea na huyo mkuu. Usijibu tu bila kuelewa.
 
Kama kuhudumia mpnz ambaye anahtj kuhudumiwa kdg tu lkn mtu analalamika, je akiwa mke ambaye anahitaji huduma nyingi zaid km mke, na ana mambo meng ya familia ataweza?
 
Nimejibu kutokana na pale uliposema

Mwanaume anakuwaje na kazi lakini anashindwa kumnunulia mpenzi wake hata vocha tu.
 
Kama kuhudumia mpnz ambaye anahtj kuhudumiwa kdg tu lkn mtu analalamika, je akiwa mke ambaye anahitaji huduma nyingi zaid km mke, na ana mambo meng ya familia ataweza?
Kuhudumiwa kidogo ndio kupoje mkuu ?

Mimi naamini huduma ni huduma , hakuna kubwa wala ndogo
 
Ndo mana unaambiwa usijikweze, kama huna kazi sema sina kazi alafu mwanamke mwnyw ndiyo atajua kuwa akupende au lah.

Sasa hapo atakuwa ananipenda Mimi au kazi yangu?

Na nikifukuzwa kazi je?

Hivi kwa mwanamke kuna unconditional love kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…