Mwanamke ni chombo cha starehe(?)

Mwanamke ni chombo cha starehe(?)

Tangu nilipotoswa na manzi wangu niliyekuwa nategemea kumuoa akili ilivurugika maana alianza visa mpaka ila kibishi nilizidi kumganda siku moja akanitumia text Tafuta hela kwanza using'ang'anie wanawake wazuri na hela huna.

Nilihuzunika aisee ila siku moja nikakumbuka vitabu vyangu vya kisw mwanamke amechorwa km chombo cha starehe nikajisemea ndomaana.

Ajabu nilianza kuamini kabisa usemi huo na machungu yangu yakaanza kupoa nikawaza tuu km ni chombo cha starehe hakiwezi kutoa huduma bila gharama,na kweli haiwezekani kwenda bar ukalewa bure,haiwezekani kwenda club bila hela haiwezekani kuangalia chaneli za Tv bila kulipia kweli nitafute hela nikirudishe chombo changu cha starehe niendelee kula burudani.
Ndo maana wanawake kiasili wameumbwahivyo kutoa starehe majukumu mengine nadhani wanabebeshwa tuu,na ni kweli ukiwa na hela hakuna mwanamke anaweza kukukataa.
Mondi anawazalisha anawaacha wanasema anauzalilishaji wa kijinsia lakini wakati huohuo kila mwanamke anaomba ampate Domo.

Nilichojifunza ukiwachukulia wanawake kama vyombo vya starehe utaishi bila stress,maana ukiachwa utatafuta chombo kingine maisha yanaendelea achana na mambo ya kununua gunia mbili za mkaa huko ni kukosa maarifa ya kuishi na wanawake .wao waliumbwa kwa ajili ya kumfariji mwanaume kwa starehe na kuendeleza kizazi cha mwanaume.
Usihangaike kumfanya mwanamke awe suppotive kwny maisha yako kiuchumi utakuwa dissapointed sana don't take them too serious hutajutia
Watumie tuu kama mfalme selemani alimiliki wanawake 700 pamoja na kuwa na hekima zote zile mimi ni nani sasa nimchukulie mwanamke tofauti .
King mswati anaingeza vyombo vipya kila mwaka mimi ni nani?
Cha msingi uweze kulipia gharama zao tuu wanapatikana na mimi nimdjifunza kutowachukulia serious kama zamani mpk nakuwa na stress.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes. Nirikua nawaheshimu saana but kwa huyu Malaya wa Moro alichonjfanyiaga sitakaa nimusahau! Mazee ngastuka huyu manzi atamaliza mazee. Take it from me

"My pain may be the reason for somebody's laugh,but my laugh must never be the reason for somebody's pain"

Charlie Chaplin
 
Elisha...huyo mwanamke unamlalamikia Sana... Ulitongoza mwenyewe ukahonga mwenyewe..lakini unalalama kila Siku. You may be finished with your past but the consequences if your past may not be finished with you.... Kama ulikua na cheti feki alafu ukahonga hela zote tukusaidiaje.

Duu! Take her easy,then tafuta chombo kingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elisha...huyo mwanamke unamlalamikia Sana... Ulitongoza mwenyewe ukahonga mwenyewe..lakini unalalama kila Siku. You may be finished with your past but the consequences if your past may not be finished with you.... Kama ulikua na cheti feki alafu ukahonga hela zote tukusaidiaje.

Sent using Jamii Forums mobile app
Anahitaji faraja yako km mwanamke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maybe I will save some life some days. Maybe kuna mutu ataweza kuokokamo, who knows??
Elisha...huyo mwanamke unamlalamikia Sana... Ulitongoza mwenyewe ukahonga mwenyewe..lakini unalalama kila Siku. You may be finished with your past but the consequences if your past may not be finished with you.... Kama ulikua na cheti feki alafu ukahonga hela zote tukusaidiaje.

Sent using Jamii Forums mobile app

"My pain may be the reason for somebody's laugh,but my laugh must never be the reason for somebody's pain"

Charlie Chaplin
 
sasa mnawatukana hao kwani ninyi mmezaliwa na wanaume tu?
nani aliyeenda LEBA
hebu waheshimuni kina mama, ukikataliwa kaa kimya labda hana mood au amekuta kibamia anatafuta mandingo lkn atatulia na kutuzaliwa Watanzani
Rais kasema mkaongezeke iwe kwa starehe au shida UKIMWI CORONA vyote ni vizazi vyetu, hebu ongezekeni
 
Back
Top Bottom