Mwanamke ni chombo cha starehe(?)

Mwanamke ni chombo cha starehe(?)

ngoja!! kwanza mkuu, huyo mwanamke labda ni chombo cha starehe kwa maoni yako, sawa.
lakini usiwajumrishe wote kwamba ni vyombo vya starehe.[joke]

kila mtu aamini anachoamini, lakini usijaribu kuaminisha wengine.
Mkuu chukua ushauri wangu ,ukipuuzia sawa ila ipo siku utakuja kukumbuka maneno yangu, ukiwachukulia serious kwny maisha yako utakufa mapema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo mana unaambiwa usijikweze, kama huna kazi sema sina kazi alafu mwanamke mwnyw ndiyo atajua kuwa akupende au lah. Lkn sio useme una kazi kumbe hauna kazi, na haiwezekani uwe na kazi alafu ata vocha unashndw mtumia mpnz wako uki vyombo unakula, haiwzkn kwa ilo jambo.
Hahaha mlemle yaani haiwekani kuwa na mwanaume ukunyandue bure utamvumilia wiki tuu then kifatacho ni...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu nilipotoswa na manzi wangu niliyekuwa nategemea kumuoa akili ilivurugika maana alianza visa mpaka ila kibishi nilizidi kumganda siku moja akanitumia text Tafuta hela kwanza using'ang'anie wanawake wazuri na hela huna.

Nilihuzunika aisee ila siku moja nikakumbuka vitabu vyangu vya kisw mwanamke amechorwa km chombo cha starehe nikajisemea ndomaana.

Ajabu nilianza kuamini kabisa usemi huo na machungu yangu yakaanza kupoa nikawaza tuu km ni chombo cha starehe hakiwezi kutoa huduma bila gharama,na kweli haiwezekani kwenda bar ukalewa bure,haiwezekani kwenda club bila hela haiwezekani kuangalia chaneli za Tv bila kulipia kweli nitafute hela nikirudishe chombo changu cha starehe niendelee kula burudani.
Ndo maana wanawake kiasili wameumbwahivyo kutoa starehe majukumu mengine nadhani wanabebeshwa tuu,na ni kweli ukiwa na hela hakuna mwanamke anaweza kukukataa.
Mondi anawazalisha anawaacha wanasema anauzalilishaji wa kijinsia lakini wakati huohuo kila mwanamke anaomba ampate Domo.

Nilichojifunza ukiwachukulia wanawake kama vyombo vya starehe utaishi bila stress,maana ukiachwa utatafuta chombo kingine maisha yanaendelea achana na mambo ya kununua gunia mbili za mkaa huko ni kukosa maarifa ya kuishi na wanawake .wao waliumbwa kwa ajili ya kumfariji mwanaume kwa starehe na kuendeleza kizazi cha mwanaume.
Usihangaike kumfanya mwanamke awe suppotive kwny maisha yako kiuchumi utakuwa dissapointed sana don't take them too serious hutajutia
Watumie tuu kama mfalme selemani alimiliki wanawake 700 pamoja na kuwa na hekima zote zile mimi ni nani sasa nimchukulie mwanamke tofauti .
King mswati anaingeza vyombo vipya kila mwaka mimi ni nani?
Cha msingi uweze kulipia gharama zao tuu wanapatikana na mimi nimdjifunza kutowachukulia serious kama zamani mpk nakuwa na stress.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndio Thread yangu bora kabisa kwa mwaka 2020 sidhani kama kuna thread nyingine bora itakayokuja mpaka mwaka unaisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo mana unaambiwa usijikweze, kama huna kazi sema sina kazi alafu mwanamke mwnyw ndiyo atajua kuwa akupende au lah. Lkn sio useme una kazi kumbe hauna kazi, na haiwezekani uwe na kazi alafu ata vocha unashndw mtumia mpnz wako uki vyombo unakula, haiwzkn kwa ilo jambo.
Hizi ndiyo mentality zinafanya muliwe tuu baaaas

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mods mmebadilisha heading ya uzi wangu,kwn ilikuwa inashida gani? Ilikuwa NI KWELI MWANAMKE NI CHOMBO CHA STAREHE

Nyie mmeipunguza makali
Mimi nimeamini kauli yangu hiyo maana ndo fact

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dunia na raha zake
tapatalk_1585120124968.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom