Mwanamke ni chombo cha starehe(?)

Mwanamke ni chombo cha starehe(?)

Nashukuru mkuu kwa kuliona ilo jambo. Sie wanawake nakwambia ni watu wa ajabu. Tukipenda tunapenda vibaya mno.
Mkuu Pujo kwa kuwa uneongea na wewe ni mwanamke nakubaliana na maneno yako yako dhahili na hakika kabisa. Mwanamke anakupenda hata siku moja huwezi kusikia anakusonya, wala huwezi kuona anakukasirikia au kukukashifu kwa lolote. Siku zote anakuona wewe ndiye nguzo yake. Na huduma zote atakufanyia kwa upendo na hata ona kama ni kero. Hata sasa ukiona mwanamke anaona kero hata kukufulia nguo mwanamme wake. Basi ujue uliingia cha kike. Huna mpenzi hapo.
 
Apart from my Mom, naweza kura demu yoyote!

"My pain may be the reason for somebody's laugh,but my laugh must never be the reason for somebody's pain"

Charlie Chaplin
Hata dada yako mama ako mdogo mdogo wako unaweza.

121.
 
Ww ujajibu swali
Ndo mana unaambiwa usijikweze, kama huna kazi sema sina kazi alafu mwanamke mwnyw ndiyo atajua kuwa akupende au lah. Lkn sio useme una kazi kumbe hauna kazi, na haiwezekani uwe na kazi alafu ata vocha unashndw mtumia mpnz wako uki vyombo unakula, haiwzkn kwa ilo jambo.

121.
 
Naunga mkono hoja wanaopinga ni wapumbavu

Asili ya dunia iko ivo.

Hongera mkuu
 
Ndo ukweli huo hajampenda. Mkuu mi nakwambia wanawake sisi akili zetu tunazijua wenyewe, akikupenda sana ww ata usipomuhonga sawa tu kwake, anaweza ata akajilipia mahari ili tu aolewe na wewe,na anaweza ata akaiba pesa kwa baba ake ili tu akupe ww kwasbb ya upendo tu. Anaweza beba chakula kwa poti kutoka mbezi mpk tandale ili tu akuletee chakula ule, usicheze na mtu anayeitwa mwanamke ndg yng. Ukiona anakukashfu kwa maneno machungu ujue kuwa huyo hakupendi narudia tena hakupendi bali anapenda kitu fulani toka kwako,ata ukiondoka haoni tabu wala kuhs amepungukiwa na kitu. Dah!! Wanawake sisi mpk tunajiogopa ahahaha
Wewe ushawahi kupenda wanaume wangapi bila kugharamiwa? Sema..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa nimekubaliana na wewe kabisa,,,

Mtihani unabaki kumpata mwanamke mwenye Mapenzi,

Mambo mengine si kwa akili zetu inabidi tumkabidhi Mungu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom