Watu huwa mnaongea bila kufikiri kuwa hao hao wanawake ndio mama zenu, mabinti zenu, dada zenu, shangazi zenu, ndugu na jamaa zenu.
Asante mkuu kwa kuligundua hilo.Tangu nilipotoswa na manzi wangu niliyekuwa nategemea kumuoa akili ilivurugika maana alianza visa mpaka ila kibishi nilizidi kumganda siku moja akanitumia text Tafuta hela kwanza using'ang'anie wanawake wazuri na hela huna.
Nilihuzunika aisee ila siku moja nikakumbuka vitabu vyangu vya kisw mwanamke amechorwa km chombo cha starehe nikajisemea ndomaana.
Ajabu nilianza kuamini kabisa usemi huo na machungu yangu yakaanza kupoa nikawaza tuu km ni chombo cha starehe hakiwezi kutoa huduma bila gharama,na kweli haiwezekani kwenda bar ukalewa bure,haiwezekani kwenda club bila hela haiwezekani kuangalia chaneli za Tv bila kulipia kweli nitafute hela nikirudishe chombo changu cha starehe niendelee kula burudani.
Ndo maana wanawake kiasili wameumbwahivyo kutoa starehe majukumu mengine nadhani wanabebeshwa tuu,na ni kweli ukiwa na hela hakuna mwanamke anaweza kukukataa.
Mondi anawazalisha anawaacha wanasema anauzalilishaji wa kijinsia lakini wakati huohuo kila mwanamke anaomba ampate Domo.
Nilichojifunza ukiwachukulia wanawake kama vyombo vya starehe utaishi bila stress,maana ukiachwa utatafuta chombo kingine maisha yanaendelea achana na mambo ya kununua gunia mbili za mkaa huko ni kukosa maarifa ya kuishi na wanawake .wao waliumbwa kwa ajili ya kumfariji mwanaume kwa starehe na kuendeleza kizazi cha mwanaume.
Usihangaike kumfanya mwanamke awe suppotive kwny maisha yako kiuchumi utakuwa dissapointed sana don't take them too serious hutajutia
Watumie tuu kama mfalme selemani alimiliki wanawake 700 pamoja na kuwa na hekima zote zile mimi ni nani sasa nimchukulie mwanamke tofauti .
King mswati anaingeza vyombo vipya kila mwaka mimi ni nani?
Cha msingi uweze kulipia gharama zao tuu wanapatikana na mimi nimdjifunza kutowachukulia serious kama zamani mpk nakuwa na stress.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimeongelea wanawake siwezi kuficha ukweli kwasababu kuna shangazi na dada zetusasa mnawatukana hao kwani ninyi mmezaliwa na wanaume tu?
nani aliyeenda LEBA
hebu waheshimuni kina mama, ukikataliwa kaa kimya labda hana mood au amekuta kibamia anatafuta mandingo lkn atatulia na kutuzaliwa Watanzani
Rais kasema mkaongezeke iwe kwa starehe au shida UKIMWI CORONA vyote ni vizazi vyetu, hebu ongezekeni
Kwani nimeongea uongo mkuu?Mzazi wako wa kike akisoma haya uliyoyaandika, anaweza kuwish angekaangia chips mayai yake kuliko kuiletea dunia upuuzi wa aina yako!
Kuwa ndugu mama aunty sister haibadilishi jamboWatu huwa mnaongea bila kufikiri kuwa hao hao wanawake ndio mama zenu, mabinti zenu, dada zenu, shangazi zenu, ndugu na jamaa zenu.
Kwn mnapotuambiaga tutafute hela nyie mpo tuu huwa mnamaanisha nini?Fikra finyu
Irrelevant.Kuwa ndugu mama aunty sister haibadilishi jambo
Nyie ndio wale kisa ni mtoto wako eti hutaki kumuita mwizi wakati niwizi... Ila mtoto wa mwenzio ndio wakwanza kumchoma moto.
Kuwa ndugu mama aunty sister haibadilishi jambo
Nyie ndio wale kisa ni mtoto wako eti hutaki kumuita mwizi wakati niwizi... Ila mtoto wa mwenzio ndio wakwanza kumchoma moto.




Wee mwaga ungenge tuu ila ndio hivyo.Irrelevant.
Asante mkuu kwa kuligundua hilo.
Sasa umekuwa mwanaume kamili. Wee kamatia mrembo burudika nae mambo ya kujidanganya sijui tujenge future waachi watoto wa chuo na hizo mentality.
Cha maingi mwanawane tafuta ndalama uwagegede kama mswati.... Anafaudu yule jamaa acha tuu.



Umemjibu kisomi sanaKuwa ndugu mama aunty sister haibadilishi jambo
Nyie ndio wale kisa ni mtoto wako eti hutaki kumuita mwizi wakati niwizi... Ila mtoto wa mwenzio ndio wakwanza kumchoma moto.
Kwn mnapotuambiaga tutafute hela nyie mpo tuu huwa mnamaanisha nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unaweza kukubali kumilikiwa na mwanaume alafu asikuhudumie? tuanzie hapoHajakupenda ndo mana ameweza kukwambia ivyo na kuondoka. Ss ww haina haja ya kumng'ang'ania, tafuta anayekupenda. Anayekupenda hawez kukuacha unalia au kuondoka kisa pesa au lah kit fulni.
Haviwezi kubisha mkuu vimekubaliana na hiloNaona vyombo vimekaa kimya,,
Lakini hata maandiko yanathibitisha Hilo.


Wewe unaweza kukubali kumilikiwa na mwanaume alafu asikuhudumie? tuanzie hapo
Sent using Jamii Forums mobile app