Mwanamke ni chombo cha starehe(?)

Mwanamke ni chombo cha starehe(?)

Unafananisha mwanamke na bia kweli? Bia ni chombo cha starehe kweli ila yenyewe haipati starehe wakati unaigegeda. Mwanamke anapiga bao. Hawafanani kabisa.
 
Ohhh Hallelujah Asante sana Madini yameniingia

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Elisha...huyo mwanamke unamlalamikia Sana... Ulitongoza mwenyewe ukahonga mwenyewe..lakini unalalama kila Siku. You may be finished with your past but the consequences if your past may not be finished with you.... Kama ulikua na cheti feki alafu ukahonga hela zote tukusaidiaje.

Sent using Jamii Forums mobile app
kutongoza atongoze mwenyewe na kuhonga juu sasa sijui msiba wa nini haaa haaa , maranyingi wanaume huanza wenyewe, sasa mwanamke akija huja na greda kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu huwa mnaongea bila kufikiri kuwa hao hao wanawake ndio mama zenu, mabinti zenu, dada zenu, shangazi zenu, ndugu na jamaa zenu.
Mungu alipomuumba Adam hakumwambia nenda kazae na uongezeke, neno hili aliwambia alipomuumba Eve, hawajui bila wanawake hakuna maisha hapa duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanaume ukitaka usiteseke na mapenzi usiwe unategemea demu mmoja...kuwa na mademu wawili au watatu ambao unajua wa kawaida ambao hawakuumizi kichwa yaani hupelekeshwi nao maana mwanamke akishajua unamnyenyekea lazima atakutesa tu so dawa nikumuonyesha kuwa wewe kwake ni wakawaida tu!
Unaweza ukawa huna pesa na ukaishi kiakili zaidi

Apo ndiyo unajiona mjanjaaaaa kabisa mwnyewe. Loooh!!!
 
Back
Top Bottom