ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
You will know when you have it" by plato maana ke akijua vitu vingi kubadil mawazo yake ni rahisi san ndo naama mataifa makubwa yanawatumia sana ke wanaamike wepes kubadil watu wengi zaid rifaa haki sawa leo hii kama mtashauriana na ke akutii kizembe! hata wajibu wake hataki unless anahofu nyngne ya maandko
Kathread kamewatoa wamama povu sana. Mmeshaambia inayomhusu ujumbe umfikie, naona woote wanapovuka tu.
Ukisikia paa ujue????
true tell them! mimi huwa hata siwaulizi tumekaa out story kidogo naku-observe matumizi yako ya simu na-conclude nasepa siwapendi hata kidogo saa ingine pia ni ushamba hawajui hata muda wa kutumia na mahali pa kutumia.^^
Ashinde online! Alale online! Atafute relations online! Alete principles za online ktk ndoa!..
Mwanaume akilalamika useme hajiamini?
^^
Mh shost wangu usisikilize sana ya watu hawakosagi la kusema :smile-big::smile-big::smile-big:...Wao wenyewe wapo humu humu alwayz kisha wana lakusema loh!!!!
Kwa mtazamo wako akina Fixed Point King'asti .........nakadhalika hawa siyo mawaifu matilio?
hapa kweli umejibu sahihi kabisa.....Wenye hati miliki nao hao watu waje watuthibitishie hili zaidi
inaelekea mkeo ni mchanga ndo maana unabwabwaja utumbo hapa
basi mie sintoolewa kabisaaaaa
umeonaeeHamna kitu kinachosha kama mwanaume asiejiamini aisee.
Khaaaa! No wonder wachumba hawapatikani tena siku hizi
Shosti hiyo ni ishara ya inferiority complex na kuogopa challenges.Tumuombee tu huyu mtu.
Kwani kathread kanakuhusu wewe?
Mama Mbona Umeondoka?
Utaolewa tu dada kuna wanaume wanajiamini hatujali hilo ili mradi nimeridhika nawe kwani huwezi kupata mke aliyekamilika kwa kila jambo hilo nitalichukulia kama ulivyo.
kama ndio anafikiri wanawake walio mitandaoni ni wachafu basi hata wanaume walioko mitandaoni ni wachafu pia si wachafu kwa wachafu wanajuana? ama nimekosea bestyaani shostito huyu mtoa uzi amenikatisha tamaa yaani yeye
anafikiri kuwa mitandao iliwekwa kwa ajili yao wanaume tu na
sio siye na vilevile ana mtazamo potofu juu ya wanawake
anafiikiri kila mwanamke aliyemtandaoni ni mchafu.
Mungu amsaidie sana
Miongoni mwa mambo ambayo yamekuwa yakinipa woga na hofu ni kuoa mwanamke anayetumia mitandao ya kijamii zaidi ya moja mfano MMU, SIASA (JF),FB, INSTAGRAM nk huwa naondoa 60% kuwa sitowezana naye maana ni bora m/me akawa anafahamu mambo mengi kuliko m/ke atakudharua sn maana kila mtakachozungumza lazima apeleke mtandaoni huku upo naye hapohapo na hivyo kuona huna jipya kwake, hii imenifanya mahusiano na m/ke kitu muhimu kuuliza ni kuwa anatumia mitandao gani ya kijamii ili namna ya kukabiliana naye au wadau mnasemaje watu hawa wanafaa kuwa wife material kweli!
true tell them! mimi huwa hata siwaulizi tumekaa out story kidogo naku-observe matumizi yako ya simu na-conclude nasepa siwapendi hata kidogo saa ingine pia ni ushamba hawajui hata muda wa kutumia na mahali pa kutumia.
So Heaven on earth akikutaka utamtolea nje because anashinda MMU
una matatizo ya kisaikolojia wewe