Mwanamke na mitandao ya kijamii!!!

Mwanamke na mitandao ya kijamii!!!

halafu wewe kama ujawahi ku:frusty::frusty:
endelea kumpa bichwa huyo kichaa mwenzio


dont urgue with a fool people may fail to notice the difference" kama mi kichaa nawe pia kwanin povu likutoke
 
mmh mtu anajaaje gesi. au hoja zimeeisha tufunge mjadala jameni.


Ukichoka unafunga hujalazimisha kujibu kila comment kama una ample time fanya au ndo nyie mnaoshindaa mmu ili kutokuwa kiguu na njia na umbeya
 
Hiv kumbe mkiondolewa tu kweny mitandao mbadala wake kwenda kuuza sura bar hakuna mahala pengne kwanin usiseme kanisani au msikitini

Mkuu huko kanisani kuna utaratibu wa kwenda, sio kila muda unaojisikia unakwenda church....
 
Ukichoka unafunga hujalazimisha kujibu kila comment kama una ample time fanya au ndo nyie mnaoshindaa mmu ili kutokuwa kiguu na njia na umbeya

mie nashinda humuhumu ndio kujibu komment kwa raha zangu. kwani unatatizo na hilo?
 
sasa utakimbia wangapi mkuu? umri ukifika utatulia tu na utagundua kwamba running away from problems is not the right way of solving problem. kabiliana nalo na ulitatue na huo ndio uanamume.
mi huwa natumia njia fupi kusolve matatizo kwahiyo kama huyo ataniusu ki-sex tu mengine asahau...au nakua kazi yangu ni kuchukua simu pale unapoitumia vibaya natupa kwenye maji basi....kwahiyo likizo kama hizo za lazima zitakuhusu so naona ni bora nimuache apate wenzake ambao ni addicted kama yeye labda wanaweza kuendana kitu ambacho nimeona hawawezi maana nimeshajiribu kama mara kadhaa kujifanya niko busy na internet duh lawama zinakua nyingi ila nyie mkiwa busy na mitandao hiyo ya jamii mnajifanya si tatizo.
 
mmmh majibu haya mitandao ya kijamii inapunguza watu kuwa kiguu na njia na umbeya kweli ndoa cku hz hazidumu ndo yaleyale kwanini umeoa/olewa kwa sababu nimeona umri unaenda majibu mepesi kweny maswali magumu

Akianza kwenda church / msikiti unamzuia eti anaonana na mabwana zake huko... Ninyi wanaume Mwenyezi Mungu awasamehe tu.

Hujaona mwanamke anazuiwa kwenda church / msikitini???
 
best huyu mutu saizi kapata mihasira mara gesi mara sijui nini mweeh!!!!!!!!!!


Nipate hasira za nin na maneno yako kaa maji ya kilimanjaro ukiona unahasira jiondoe maana utaharibu cku yako bure
 
Akianza kwenda church / msikiti unamzuia eti anaonana na mabwana zake huko... Ninyi wanaume Mwenyezi Mungu awasamehe tu.

Hujaona mwanamke anazuiwa kwenda church / msikitini???


Kama kuna mazingra ya namna hiyo basi yapaswa kuishi kwa tahadhari lisemwalo lipo kama halipo basi linakuja
 
Back
Top Bottom