Mwanamke na mitandao ya kijamii!!!

Mwanamke na mitandao ya kijamii!!!

Dah! kweli mitandao noma unaweza ukakuta mkeo ana weka kwenye page yake,haya sasa gemu ndio linaanza,naanza kuchezewa naniliyu sasa.
Nalog off
 
We siafu dume tabia kama hiyo haisababishwi na uwepo wa mitandao bali ni tabia binafsi. Mtu anaweza akawahadithia majirani/work mates/ mashoga au ndugu zake mambo hayo hayo ilimradi awe amesema. Tena bora hapa watu hamjuani.

Plus, ni kila member humu unamuona akielezea kinachoendelea kwenye maisha yake?Acheni uvivu wa kufikiri. Huyo mwanamke asiyefahamu mambo ya mitandao kama anapenda kuongelea sana mambo yenu/yake atakuongelea mtaani,kwa ndugu na marafiki zenu na utaishia kufyonzwa/kunyooshewa vidole,kubezwa na kudharauliwa kama anakusema kwa mabaya na mapungufu yako.

King'asti . . .Miss sana wewe wifi. Kaka yako angekuwa hajiamini kama hawa jamaa tungehamia mars aiseee.
Mwanamke anaejitambua vzr hawezi kuja kueleza mambo yake kwenye mitandao...hawezi kuja kujiexpose hapa atongozwe kisa jamaa yake anajiamini and viceversa is true...huko sio kujiamini na kama huyo shemeji yako anaachia hayo mambo basi hamna kitu hapo...
 
Kunya kuku eehh,bata anaharisha...
We unaona heriii unavojivinjari mitandaoni ,yeye hutaki afanye hivo,Kaoe ushirombo huko ndo hawajui mambo ya 'net,wa mjini yaache mjini..tuna-sosho-lize,hatutafuti ndoa humu
ila sio siri wanaume wengine hamjui mnataka nin kwa kweli..
 
Mwanamke anaejitambua vzr hawezi kuja kueleza mambo yake kwenye mitandao...hawezi kuja kujiexpose hapa atongozwe kisa jamaa yake anajiamini and viceversa is true...huko sio kujiamini na kama huyo shemeji yako anaachia hayo mambo basi hamna kitu hapo...

nafikiri unaelewa umeme wa tanesco hauko reliable,ma-generator muhimuuu..
 
Ukifuata hivyo hutaoa ndugu huu ni ulimwengu mwingne kabisaaaa mbona kasheshe sasa hii
 
nafikiri unaelewa umeme wa tanesco hauko reliable,ma-generator muhimuuu..
Mmmm ha ha ha badiebey bana...sio lazima magenereta ukijipanga...ukipata mtu mkapendana sawa sawa, mkaelewana, ukamkubali akakukubali, ukaamua kabisa huyu ndo basi , mkaheshimiana sawa sawa na malengo yenu yenye kufanana na obvious mkiwa hivyo hata s..x itakua tamu...kutakua kuna haja ya majenereta kweli..
 
Inaelekea una penda kupm kuinbox na kudm wadada wewe si bure na unaogopa demu wako anaweza kukutega na kukukamata
 
Yeah inategemea na mtu ambae upo nae anaupeo gani pia watu wanatofautiana and anything wich is toomuch humful
 
Si wote anaweza akawa ana social network akawa muaminif pia s wote 🙄😡😡
 
Jiamini wewe!!
Utamzuia asiende hata sokoni basi ukiogopa wauza nyanya watakumegea.
 
Kwa kipindi hiki hz mambo haziepukiki vile tu umpate ambaye hayuko interested nazo
 
Back
Top Bottom