Ndiyo mkuu uko sawa kabisa,lakini kumbe from the point of yours mi naona hii mitandao yetu ya kijamii ya sasa haina manufaa kwa pande zote mbili yaani me na ke,kwani hizo topic za kufumaniwa ,kuliwa tigo na usaliti zinamfaidishaje me au zinamfundisaha nini kitakachomsaidia kwenye ndoa yake na kuijenga familia yake?
Kwa hiyo kwa ufupi hii mitandao yetu ya kijamii ya sasa sijui flicker,facebook,twitter na friendster(angalau jf japo wapo walio wachache wanaotaka kuuchafua mtandao wetu pendwa,tunaomba hilo lipitilie mabali nasi)haifai kwani hakuna la maana humo zaidi ya ujinga kwa hiyo hata mwanaume asipoituimia kwa umakini na busara ye pia haimfaidishi zaidi ya kumjaza ujinga kichwani.kwa hiyo hapa ninachoona mimi na mume na mke wanaweza kujiuliza yafuatayo kuhusu mitandao ya kijamii:
1.Je tutumie mitandao ya kijamii?ikiwa hapana sawa,ikiwa ndio jiulizeni
2.Tutatumia mitandao ya kijamii kwa makusudi gani?jst chating au kuna mambo ya maana yanayopatikana humo?
3.Kama tumeamua kutumia mitandao ya kijamii tutatumia muda kisai gani?wakati gani?
4.Ikiwa tumeamua kutumia mitandao ya kijamii tutaiitumia tukiwa pamoja au kila mtu kivyake?
Kujiuliza mambo kama hayo kunaweza kusaidia mume na mke kuitumia mitandao hii ya kijamii kwa manufaa na kwa akili,vinginevyo ni majanga tu ambayo yanaweza hata kuleta mgogoro mkubwa ndani ya nyumba kwa kuwa mraibu wa hii mitandao.
Am off mkuu na natumaini nimeeleweka kwa kiasi fualni.
mkuu unadhani wake zetu zamani walikuwa haangalii mitandao(ila sio hii ya facebook na instagram)tatizo mitandao wanayoingia now days na watoto wa dotcom na wasio na maadili!!!!siku hizi eti hata bongo wametengeneza website za ngono/AKIINGIA HAPO MMU ndio usiseme anakutana na lile janamke linalosapoti umalaya kwa wanawake kwa kigezo eti kupinga mfumo dume!!!!!afu na mijanamke kibao iliyoshindwa kuwa watu wema na bora ambao wameamua kuharibu wengine either kwa kujua au kwa kutokujua!!miatandao hata kama hana intention ya kusoma ujinga ila akiclick tuu hapo kwenye new posts kila saa anakutana na vichwa vya habari vinahusu tuuu kuliwa 0713,0714,0716 na mafumanizi hatakuwa interested but ipo siku ataona ngoja nisome(human nature sitaki mtu apinge)mara bahati mbaya akiwa mmoja wa wale watakaokuwa interested basi tena kila siku atakuwa anaosma hayo madudu mara atataka kujaribu labda baada ya kuongelea sana um,alya na kuona kitu cha kawaida mara kila cku anaona flani kafumaniwa mara flani kafumaniwa mwisho uoga unamtoka wa kufamaniwa anaanza kuamini kucheat ni lazima na kufumwa ni bahati mbaya!!!!!si unajua siku hizi watu kutoka hata kwa magazeti sio ishu tena!!!!too much of enithing is hamfulu!!!!!kwa hiyo hizi social kuna ujinga mwingi mbaya zaidi kuingia kwenye yale makundu(magroup) yao ya kiseng,e yale afu wanadiscus use.nge tuu!!sitaki kabisa kusikia wanawake wa namna hii