Mwanamke na mitandao ya kijamii!!!

Mwanamke na mitandao ya kijamii!!!

inaelekea mkeo ni mchanga ndo maana unabwabwaja utumbo hapa
You will know when you have it" by plato maana ke akijua vitu vingi kubadil mawazo yake ni rahisi san ndo naama mataifa makubwa yanawatumia sana ke wanaamike wepes kubadil watu wengi zaid rifaa haki sawa leo hii kama mtashauriana na ke akutii kizembe! hata wajibu wake hataki unless anahofu nyngne ya maandko
 
halafu wewe kama ujawahi ku:frusty::frusty:
endelea kumpa bichwa huyo kichaa mwenzio
Kathread kamewatoa wamama povu sana. Mmeshaambia inayomhusu ujumbe umfikie, naona woote wanapovuka tu.

Ukisikia paa ujue????
 
^^
Ashinde online! Alale online! Atafute relations online! Alete principles za online ktk ndoa!..
Mwanaume akilalamika useme hajiamini?
^^
true tell them! mimi huwa hata siwaulizi tumekaa out story kidogo naku-observe matumizi yako ya simu na-conclude nasepa siwapendi hata kidogo saa ingine pia ni ushamba hawajui hata muda wa kutumia na mahali pa kutumia.
 
Mh shost wangu usisikilize sana ya watu hawakosagi la kusema :smile-big::smile-big::smile-big:...Wao wenyewe wapo humu humu alwayz kisha wana lakusema loh!!!!

nakasirika siku hizi sion notification on time................

na mie hapo ndo nachoka......watuache tu.kama ipo ipo
 
Kwa mtazamo wako akina Fixed Point King'asti .........nakadhalika hawa siyo mawaifu matilio?

Wenye hati miliki nao hao watu waje watuthibitishie hili zaidi
hapa kweli umejibu sahihi kabisa.....
Mume wangu pekee anaweza thibitisha kuwa mimi ni wife material au la......
bahati mbaya sana sina uhakika kama ana ID huku ndani, ingawa najua anasoma sana tu....
mpaka hapo tutakapohakikishiwa, tuendelee kubaki na maswali yetu na conclusion tulizojitungia
 
Mara kumi ya hao wanotumia hiyo mitanda fresh kuliko wale wanaotumia ule wa express yourself
 
Ukiona hivyo ujue hata mtoto atatengenezwa online...

funny-cartoon-how-babies-will-be-born-in-future.jpg


cc: Heaven on earth

hahaaaaaaaaaaa u made my day lol.......

na huyo baba utakuwa wewe
 
yaani shostito huyu mtoa uzi amenikatisha tamaa yaani yeye
anafikiri kuwa mitandao iliwekwa kwa ajili yao wanaume tu na
sio siye na vilevile ana mtazamo potofu juu ya wanawake
anafiikiri kila mwanamke aliyemtandaoni ni mchafu.
Mungu amsaidie sana
kama ndio anafikiri wanawake walio mitandaoni ni wachafu basi hata wanaume walioko mitandaoni ni wachafu pia si wachafu kwa wachafu wanajuana? ama nimekosea best
 
Miongoni mwa mambo ambayo yamekuwa yakinipa woga na hofu ni kuoa mwanamke anayetumia mitandao ya kijamii zaidi ya moja mfano MMU, SIASA (JF),FB, INSTAGRAM nk huwa naondoa 60% kuwa sitowezana naye maana ni bora m/me akawa anafahamu mambo mengi kuliko m/ke atakudharua sn maana kila mtakachozungumza lazima apeleke mtandaoni huku upo naye hapohapo na hivyo kuona huna jipya kwake, hii imenifanya mahusiano na m/ke kitu muhimu kuuliza ni kuwa anatumia mitandao gani ya kijamii ili namna ya kukabiliana naye au wadau mnasemaje watu hawa wanafaa kuwa wife material kweli!

So Heaven on earth akikutaka utamtolea nje because anashinda MMU
 
Last edited by a moderator:
true tell them! mimi huwa hata siwaulizi tumekaa out story kidogo naku-observe matumizi yako ya simu na-conclude nasepa siwapendi hata kidogo saa ingine pia ni ushamba hawajui hata muda wa kutumia na mahali pa kutumia.

sasa utakimbia wangapi mkuu? umri ukifika utatulia tu na utagundua kwamba running away from problems is not the right way of solving problem. kabiliana nalo na ulitatue na huo ndio uanamume.
 
Back
Top Bottom