wako tena wengi kabisa acha kudhani kuwa wanawake wote hakuna asiye mwaminifu
hizo ni propaganda zenu wanaume na nyie ndo mna matatizo makubwa sana
Ni kweli Sio wote.....na kama sio wote hai alalishi mwanamme/mwanamke kuishi na mpenzi wake bila machale........huu usemi wanawake wengi wa mjini wanautumia sana.....ni usemi mbaya sana kumwambia mpenzi wako..........na ukiona mpenzi wako anakuambia hujiamini kuwa makini......he/she is weakening your feeling ili aendelee na mambo yake anayoyajua.......yanaweza yakawa mabaya au mazuri.