Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
best huyu mutu saizi kapata mihasira mara gesi mara sijui nini mweeh!!!!!!!!!!
he cant argue wisely.......tunabishana kwa hoja......
chezea wanawake wa mitandaoni
best huyu mutu saizi kapata mihasira mara gesi mara sijui nini mweeh!!!!!!!!!!
Kama kuna mazingra ya namna hiyo basi yapaswa kuishi kwa tahadhari lisemwalo lipo kama halipo basi linakuja
mi huwa natumia njia fupi kusolve matatizo kwahiyo kama huyo ataniusu ki-sex tu mengine asahau...au nakua kazi yangu ni kuchukua simu pale unapoitumia vibaya natupa kwenye maji basi....kwahiyo likizo kama hizo za lazima zitakuhusu so naona ni bora nimuache apate wenzake ambao ni addicted kama yeye labda wanaweza kuendana kitu ambacho nimeona hawawezi maana nimeshajiribu kama mara kadhaa kujifanya niko busy na internet duh lawama zinakua nyingi ila nyie mkiwa busy na mitandao hiyo ya jamii mnajifanya si tatizo.
Hamna kitu kinachosha kama mwanaume asiejiamini aisee.
Khaaaa! No wonder wachumba hawapatikani tena siku hizi
thubutu siku yangu ipo poa. tubishane kwa hoja. ukiniharibia yangu hata yako itaharibika tu.Nipate hasira za nin na maneno yako kaa maji ya kilimanjaro ukiona unahasira jiondoe maana utaharibu cku yako bure
mie nashinda humuhumu ndio kujibu komment kwa raha zangu. kwani unatatizo na hilo?
Nipate hasira za nin na maneno yako kaa maji ya kilimanjaro ukiona unahasira jiondoe maana utaharibu cku yako bure
haya ni maneno hata kwenye kanga yapo.......
Cna tatizo we c ushajipatia mwanaume pesa sura tutavumilia
he cant argue wisely.......tunabishana kwa hoja......
chezea wanawake wa mitandaoni
bathi thawa maana yakikupata ucje muanzishia thread mmu
sasa si unaona argument zako................kama haya ndio mawazo yako basi pole
Hoja zenyewe zko wapi maana mara kichaa wako mara bichwa ndo hoja hzo
Saa mkuu CALMAN unataka mkeo asiwe updated na mambo yanayoendelea ulimwenguni?au kwa kiswahili kingine unataka mkeo awe old fashioned?kupata mke mwelewa ni faida kwako na kwa kizazi chenu kijacho kwani mama akiwa na ufahamu mkubwa uwezekanao wa watoto kuwa na ufahamu mkubwa pia ni mkubwa,sasa kama unataka mke awe kilaza jiandae kuwa na kizazi kilaza pia,so kwa ufupi mi sioni tatizo mwanamke kujihusisha na mitnadao ya kijamii ilimradi tu anajiheshimu na haperuzi mambo yasiyofaa,na wala hilo halimfanyi mwanamke kukosa kigezo cha kuwa wife material.
Na hii sasa kaisoma...ha ha ha ha ha,lazima avimbe bichwa kua kakuweza hapa