CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,997
basi mie sintoolewa kabisaaaaa
Shost wala usitie shaka.... Tutaolewa sana na Jamii Forum!!!
basi mie sintoolewa kabisaaaaa
Binafsi sioni kama ni tatizo,mitandao ya kijamii ina faida nyng na hasara kwa mtu ambae anashndwa kuitumia vizuri...
Kila mtu ana tabia zake na hivo ivo kama ni chafu atatumia mitandao kwa kufanya uchafu wake na pia huyo mwanamke ambae ukifanya kitu anaenda kukuanika huko katk mitandao ya jamii hakika hakupendi hata kidogo ujitoe mapema tu.
Kuna baadhi wanapenda mauzo huko kwenye mitandao ya kijamii anataka kila afanyacho apost,yani lazima mjue kavaa nini kuanzia jumatatu mpaka jumatatu,ikatokea huyo ndo mpenzio na wew haupend hyo tabia,ukimwambia haupend na anakupenda atakusikiliza.
Wengine si watu wa mitandaoni lakini tabia zao ni chafu balaa so kama wahtaj wife material muombe Mungu atakupa
....Kujiamini ni kumwacha mwanamke ...awe anapost kila kitu kinachotokea kwenye ndoa mmu...kama yule kapigwa kibao tu kakimbila mmu kupost...alafu wakatii mwingine ni ushamba kuliko ujanja zaidi kama mnavyo fikiria......angalia definition ya KUJIAMINI vizuri
Miongoni mwa mambo ambayo yamekuwa yakinipa woga na hofu ni kuoa mwanamke anayetumia mitandao ya kijamii zaidi ya moja mfano MMU, SIASA (JF),FB, INSTAGRAM nk huwa naondoa 60% kuwa sitowezana naye maana ni bora m/me akawa anafahamu mambo mengi kuliko m/ke atakudharua sn maana kila mtakachozungumza lazima apeleke mtandaoni huku upo naye hapohapo na hivyo kuona huna jipya kwake, hii imenifanya mahusiano na m/ke kitu muhimu kuuliza ni kuwa anatumia mitandao gani ya kijamii ili namna ya kukabiliana naye au wadau mnasemaje watu hawa wanafaa kuwa wife material kweli!
Ke akiwa kiburi ni kiburi tu!
Tena afadhali hicho kiburi chake kiwe na ukweli huo alioutoa mitandaoni inaweza kukupa challenge kidogo na kukusaidia baadhi ya vitu! Si unajua mwenyewe sio mkamilifu! kuliko ke mwenye kiburi, kiburi chenyewe pumba tupu!!!!
...
Nadhani mleta mada haujiamini na haupendi kuchallenjiwa!
Haya bhana tafuta kilaza umpeleke kwa rimote! But kumbuka mtoto wa njoka ni nyoka!!!
basi mie sintoolewa kabisaaaaa
Hamna kitu kinachosha kama mwanaume asiejiamini aisee.
Khaaaa! No wonder wachumba hawapatikani tena siku hizi
basi mie sintoolewa kabisaaaaa
...Umeandika vizuri sana....lakini yale mambo ya kuandika kila kitu kinachotokea kwenye ndoa au mahusiana ni mbaya sana...na face bookhua nashanga mwanamke km ameolewa au na mchumba wanaheshimiana -huwa wanapost picha wamekaaa uchi kwa nini..?
Ingia utumie soma comment za watu utajua nin kinajadiliwa huenda we hupo instagram mwenz wako yupo huko hatua moja mbele
Naomba unijuze kirefu cha MMU
Miongoni mwa mambo ambayo yamekuwa yakinipa woga na hofu ni kuoa mwanamke anayetumia mitandao ya kijamii zaidi ya moja mfano MMU, SIASA (JF),FB, INSTAGRAM nk huwa naondoa 60% kuwa sitowezana naye maana ni bora m/me akawa anafahamu mambo mengi kuliko m/ke atakudharua sn maana kila mtakachozungumza lazima apeleke mtandaoni huku upo naye hapohapo na hivyo kuona huna jipya kwake, hii imenifanya mahusiano na m/ke kitu muhimu kuuliza ni kuwa anatumia mitandao gani ya kijamii ili namna ya kukabiliana naye au wadau mnasemaje watu hawa wanafaa kuwa wife material kweli!
Naomba unijuze kirefu cha MMU
hupo ndiyo nini.
Sina mwenza.
Kwa mtazamo wako akina Fixed Point King'asti .........nakadhalika hawa siyo mawaifu matilio?
Miongoni mwa mambo ambayo yamekuwa yakinipa woga na hofu ni kuoa mwanamke anayetumia mitandao ya kijamii zaidi ya moja mfano MMU, SIASA (JF),FB, INSTAGRAM nk huwa naondoa 60% kuwa sitowezana naye maana ni bora m/me akawa anafahamu mambo mengi kuliko m/ke atakudharua sn maana kila mtakachozungumza lazima apeleke mtandaoni huku upo naye hapohapo na hivyo kuona huna jipya kwake, hii imenifanya mahusiano na m/ke kitu muhimu kuuliza ni kuwa anatumia mitandao gani ya kijamii ili namna ya kukabiliana naye au wadau mnasemaje watu hawa wanafaa kuwa wife material kweli!
Mh shost wangu usisikilize sana ya watu hawakosagi la kusema :smile-big::smile-big::smile-big:...Wao wenyewe wapo humu humu alwayz kisha wana lakusema loh!!!!basi mie sintoolewa kabisaaaaa