Ni wanawake wachache saaana wana guts za kuongea kwa uhuru kwa wenza wao
kua wapi yupo sensitive, wapi anaona raha... namna gani awe handled, na ni mda gani
inamchukua kusikia ashiki ya kutaka kufanya hilo tendo lenyewe....
Ni wanaume wachache hupenda kusikia madhaifu toka kwa wanawake wao, au kutaka
kujua kua kweli hamfikishi... aweza hisi kua hukufikishi but ile ukitamka ndio umemmaliza kabisa
basi kuepusha hii anaziba kabisa ubongo wake kutaka jiuliza kweli kama anatenda haki...
Na hilo tatizo likiendelea miezi kadhaa ni hatari kwa afya ya wapenzi hasa kama ni ndoa...
...duuhhh, taratibuni mnachochangia hapa wengine tunakula! yukkkkk!
Ni kweli kuwa kina dada wengi huwa tunaitumia njia hii lakini mara nyingi si vizuri kuishia hapa. Especially unapoona mwenzi wako amejitahidi mpaka anataka kukata tamaa, njia ekee ni hii ya kufake!! (Kama mpenzio si mwelewa maana mwingine waweza tu kumwambia kuwa Baby we endelea, just come, its ok, huku ukimpa company- nadhani naeleweka). But kwa sababu lengo na madhumuni ya tendo hili ni kufurahia wote ni vema akishaenda akafika, unamweleza (kama ni mwelewa) kuwa wewe bado. LAKINI kama si mwelewa, fanya kama umefika kisha ukishaona amepumzika vya kutosha..........piga hodi tena!! haikatazwi!
Unasema 6/6 haina mfumo dume... Sorry sijaelewa kama wewe Ke/Me
ningeuliza kwa kukulenga BUT Zingatia haya...
Nani anamaamuzi makubwa ya sehemu ya kufanyia Sex?
Nani anachukua nafasi kubwa kuamua kuvaa Condom?
Nani ambae akifanya Sex ni lazima afike kileleni?
Ni nani yupo huru zaidi kuenda extrems... Yani nani anasuggest?
Kuhusu kuandaliwa... wanawake tumepishana... kuna me unaenda nae sambamba
mwingine unamuandaaa mpaka wewe mwanaume hamu inaisha... hutaki tena
na kuishiwa kupitiwa usingizi... Na ni vigumu saaana kuweza mwanaume kujua
mwenza wako kafika kwasababu katika hilo tendo wanawake we are GREAT Actresses...
Balanced coment anyway.Mimi ni mmama thus nitazungumzia from an assumption....Naamini saana kua moja ya kigezo ya kipimo au sifa ya kuitwa mwanaume niile uwezo wa kuweza mfikisha mwanamke kileleni... For na dhahiri kabisa kama kwelianafikishwa ni mara chache saana huyo me atataka kutafuta watu wengine, labda iwefor factors kama extra mpunga and the like... Hivyo basi hakuna kitu mwanaume wa kweli na rijali inamfanya ajisikie mwanaume wa kweli kama kuweza kufikisha... hasaukizingatia majority wanawake ni kazi saana kufika kileleni - hivyo huitaji mwanume hasa!Ndio maana moja ya technique ya wadada ni kujifanya kafika kiileleni hata kama bado - hasa akihisi mpenziwe kaelemewa na wala hana ujanja wa kumfikisha; Thus the confused/misunderstanding of men... anashindwa kuelewa kweli umefika au ni swagger tu! Na akiwa na hakika umefika, it makes him feel strong and Man..... And of course it makes a woman feel like a woman.
Mimi ni mmama thus nitazungumzia from an assumption....
Naamini saana kua moja ya kigezo ya kipimo au sifa ya kuitwa mwanaume ni
ile uwezo wa kuweza mfikisha mwanamke kileleni... For na dhahiri kabisa kama kweli
anafikishwa ni mara chache saana huyo me atataka kutafuta watu wengine, labda iwe
for factors kama extra mpunga and the like... Hivyo basi hakuna kitu mwanaume wa
kweli na rijali inamfanya ajisikie mwanaume wa kweli kama kuweza kufikisha... hasa
ukizingatia majority wanawake ni kazi saana kufika kileleni - hivyo huitaji mwanume hasa!
Ndio maana moja ya technique ya wadada ni kujifanya kafika kiileleni hata kama bado - hasa
akihisi mpenziwe kaelemewa na wala hana ujanja wa kumfikisha; Thus the confused/misunderstanding
of men... anashindwa kuelewa kweli umefika au ni swagger tu! Na akiwa na hakika umefika,
it makes him feel strong and Man..... And of course it makes a woman feel like a woman.
I am a woman of 31 years old. Nilibikiriwa when I was 24 yrs old. So am afraid i dont know orgasm.
AshaDii hapo kwenye nyekundu natofautina nawe sana tu....Si kweli kwamba ni jukumu la mwanaume tuu kumfikisha kileleni mwanamke. Mwanaume hata awe mtaalamu wa 'ng*n*' vipi, kama mwanamke hana utayari wa 'kisaikolojia' hawezi kumfikisha kileleni. Inaonekana ni rahisi kwa mwanaume kufika killeleni kwa sababu kutokana na maumbile yetu (uume), kama sijajiandaa kisaikolojia kushiriki tendo uume hautasimama, au hata ukinakshiwa usimame basi hautadumu...kitu ambachi kwa mwanamke ni tofauti (kimaumbile wanawake wana tundu), kwa hiyo anaweza fanyiwa hata kama kisaikolojia hajajiandaa.
Sasa kwenye maandalizi ya kisaikolojia ndio penye tatizo. Wengi huwa tunadhani maandalizi ni wakati tukishakuwa faragha tu wakati wa 'foreplay', si kweli...maandalizi ya kisaikolojia yanaweza kuwa siku nzima, tangu asubuhi, mchana, mpaka jioni...mnachoongea, mnachofanya..kinawaweka katika hali ya kutakana hata kabla hamjaingia faragha. Faragha inakuwa ni hitimisho tu la process nzima.
Kuna chance kubwa sana ya mwanamke ambaye amejiandaa kisaikolojia kwa tendo kuwa na ashki siku nzima and looking forward to a great sex/make love to his partner/lover akafika kileleni tena sio mara moja..multiply! Zaidi ya mwanamke ambaye ye yupo tu akitegemea kuwa kufikishwa ni haki yake (anaidai kama sheria vile) na ni wajibu wa mwanaume, naye hana wajibu wowote ili mradi anaweza kukata kiuno na partner/lover wake akakojoa...
It takes more than that to have a great sex and a woman reach orgasm...it is more of a women side that make them not to cum, rather than a man side.
...dahh ya nini tena yarabi?
AshaDii, do you also suffer from orgasmic dysfunction?
....mimi bado mwanafunzi hapa, mara tatu siku ya kwanza, au siku tofauti, ..maana mnh?!
...Hilo ndio kosa kubwa sana wanalofanya akina mama kutotaka kuwaeleza wenzi wao ni lipi kati ya hayo ambalo linamrahisishia sana kufika kule mahala. Wengine hata kuijua miili yao hawaijui kwa hiyo ukimuuliza wapi ambapo unaenjoy zaidi nikikushika au nikikuchezea naanza kung'aa macho, "Wee nichezee popote tu unapopenda mwenyewe" hahahahaha lol!
Kuna haja ya akina mama kuwa wazi na pia kufanya bidii ili waifahamu miili yao na hivyo kuweza kuwapa miongozo wenzi wao wa kufikishwa kule kwenye maraha ya ajabu...kwenye dunia ya kupaa pamoja na kuwa huna mbawa 🙂 za kuweza kufanya hivyo. ?
nimepaona hapo kwa umakini wa hali ya juu,
na bora umelisema weye mwanadada......asante mamito ?
.Balanced coment anyway.