Mwanamke na kufika kileleni

Mwanamke na kufika kileleni

Ni wanawake wachache saaana wana guts za kuongea kwa uhuru kwa wenza wao
kua wapi yupo sensitive, wapi anaona raha... namna gani awe handled, na ni mda gani
inamchukua kusikia ashiki ya kutaka kufanya hilo tendo lenyewe....

Ni wanaume wachache hupenda kusikia madhaifu toka kwa wanawake wao, au kutaka
kujua kua kweli hamfikishi... aweza hisi kua hukufikishi but ile ukitamka ndio umemmaliza kabisa
basi kuepusha hii anaziba kabisa ubongo wake kutaka jiuliza kweli kama anatenda haki...

Na hilo tatizo likiendelea miezi kadhaa ni hatari kwa afya ya wapenzi hasa kama ni ndoa...

Hilo ndio kosa kubwa sana wanalofanya akina mama kutotaka kuwaeleza wenzi wao ni lipi kati ya hayo ambalo linamrahisishia sana kufika kule mahala. Wengine hata kuijua miili yao hawaijui kwa hiyo ukimuuliza wapi ambapo unaenjoy zaidi nikikushika au nikikuchezea naanza kung'aa macho, "Wee nichezee popote tu unapopenda mwenyewe" hahahahaha lol!

Kuna haja ya akina mama kuwa wazi na pia kufanya bidii ili waifahamu miili yao na hivyo kuweza kuwapa miongozo wenzi wao wa kufikishwa kule kwenye maraha ya ajabu...kwenye dunia ya kupaa pamoja na kuwa huna mbawa 🙂 za kuweza kufanya hivyo.
 
...duuhhh, taratibuni mnachochangia hapa wengine tunakula! yukkkkk!

Hahahahahah lol! Mkuu Mbu kwani kufika kileleni ni uchafu? Mie naona kama ni maraha ya dunia hivyo hata kama unakula hakuna sababu ya kusikia kiny......🙂 Mbona siku hizi kupeleka hata ndimi ni jambo la kawaida kabisa..... au ni aje? 🙂

Asubuhi njema
 
mbona mnazunguka zunguka tu, Hizi dawa za penzi ndizo chanzo, i mean zinapoteza radha yote hence tendo zima linakosa maana / mvuto.

Unafanya - Umalize - Ulipe - usepe.

Kwa wana ndoa - ubunifu hafifu kwa Mwanaume ndiyo kiini cha tatizo, lazima ujue kugusa weak points za mkeo kabla na wakati wa tendo.

Je tutangaze hili ni janga la kitaifa? lol
 
Ni kweli kuwa kina dada wengi huwa tunaitumia njia hii lakini mara nyingi si vizuri kuishia hapa. Especially unapoona mwenzi wako amejitahidi mpaka anataka kukata tamaa, njia ekee ni hii ya kufake!! (Kama mpenzio si mwelewa maana mwingine waweza tu kumwambia kuwa Baby we endelea, just come, its ok, huku ukimpa company- nadhani naeleweka). But kwa sababu lengo na madhumuni ya tendo hili ni kufurahia wote ni vema akishaenda akafika, unamweleza (kama ni mwelewa) kuwa wewe bado. LAKINI kama si mwelewa, fanya kama umefika kisha ukishaona amepumzika vya kutosha..........piga hodi tena!! haikatazwi!

thanks MJ1, experience is always the bet teacher................................
thanks for sharing this.........lol.....
 
Ni vizuri kwa wanawake kuwa wazi wakati wa tendo la ndoa kama:
a) Kuwaambia wapenzi wao sehemu gani ya kugusa na kwa namna gani?
b) Style zipi za kutumia na kwa namna gani kitu kizame ndani, je ni juu juu kwanza, ndani moja kwa moja au nusu nusu nk
c) Kichocheo gani kiitumike kabla ya tendo ili kuvuta hisia kabla ya kumegana nk.

Tatizo ni kwetu wanaume, utasikia Dume linang'aka " Wewe umejuaje mambo haya kama si malaya? Huu ndiyo mfumo dume kama mchangiaji alivyosema.

Wanawake wanaogopa sana during to funk ing - hata kumwambia mwenzi wake tayari baba nimekaribia sugua sugua juu juu hapo nitue mzigo fasta - wanaogopa. kazi ipo

Ndo maana nasema tutangaze na hili liwe janga la taifa kwa sababu Maana ndoa zinavunjia na mahusiano yanakuwa dhaifu.
 
Nawaombeeni kwa mungu wanawake wote wasio na ujasiri..............hasa ndani ya ndoa mmepelekea sisi kutojimini na kutafuta nyumba ndogo ambazo ziko wazi na hitilafu ikitokea zinajituma kusaidi an akuwa wabunifu kuhakikisha unamfikisha! kazi ni kwenu!
 
Unasema 6/6 haina mfumo dume... Sorry sijaelewa kama wewe Ke/Me
ningeuliza kwa kukulenga BUT Zingatia haya...

Nani anamaamuzi makubwa ya sehemu ya kufanyia Sex?
Nani anachukua nafasi kubwa kuamua kuvaa Condom?
Nani ambae akifanya Sex ni lazima afike kileleni?
Ni nani yupo huru zaidi kuenda extrems... Yani nani anasuggest?

Kuhusu kuandaliwa... wanawake tumepishana... kuna me unaenda nae sambamba
mwingine unamuandaaa mpaka wewe mwanaume hamu inaisha... hutaki tena
na kuishiwa kupitiwa usingizi... Na ni vigumu saaana kuweza mwanaume kujua
mwenza wako kafika kwasababu katika hilo tendo wanawake we are GREAT Actresses...

nimepaona hapo kwa umakini wa hali ya juu,
na bora umelisema weye mwanadada......asante mamito
 
Mimi ni mmama thus nitazungumzia from an assumption....Naamini saana kua moja ya kigezo ya kipimo au sifa ya kuitwa mwanaume niile uwezo wa kuweza mfikisha mwanamke kileleni... For na dhahiri kabisa kama kwelianafikishwa ni mara chache saana huyo me atataka kutafuta watu wengine, labda iwefor factors kama extra mpunga and the like... Hivyo basi hakuna kitu mwanaume wa kweli na rijali inamfanya ajisikie mwanaume wa kweli kama kuweza kufikisha... hasaukizingatia majority wanawake ni kazi saana kufika kileleni - hivyo huitaji mwanume hasa!Ndio maana moja ya technique ya wadada ni kujifanya kafika kiileleni hata kama bado - hasa akihisi mpenziwe kaelemewa na wala hana ujanja wa kumfikisha; Thus the confused/misunderstanding of men... anashindwa kuelewa kweli umefika au ni swagger tu! Na akiwa na hakika umefika, it makes him feel strong and Man..... And of course it makes a woman feel like a woman.
Balanced coment anyway.
 
Katika kitabu nilichowawekea mkisome kwenye post yangu huko juu, kuna vigezo ambavyo vimewekwa vya kujuwa kabisa kuwa huyu mwanamme na mimi nilivyo ndio anenifaa, si kila mwanamme ni kwa kila mwanamke na si kila mwanamke ni kwa kila mwanamme.

Sikubaliani na mwanammke yeyote asemae kuwa ana fake au hafikishwi kileleni na mwanamme fulani kwa hiyo inambidi anajifanyisha kuwa kafika, sikatai wapo na ni wegi sana tu, lakini sio solution na inapelekea kutoridhiswa na sex phsychologically na kama haijafanyiwa remedy ya haraka haraka huwa ni tatizo la kudumu. Hii ni funika kombe mwanaharamu apite, si uungwana wala wajib kwako na kwa mwenzako, take time to know yourself and your partner and you'll never go wrong. Naamini kabisa mwanamke anaemndanganya mumewe sexually anaweza mndanganya kingine chochote kile na si sawa.

Wanawake by nature, tuko very sensitive, unaweza ukafika kileleni kwa sauti ya mwanamme hata bila ya kuguswa. Kuna mada niliisoma humu JF, kuna mwanamke anafika kileleni kwa kumnyonyesha tu maziwa mwanae. Hiyo inatokea nami binafsi imeshantokea si mara moja na hakuna tatizo kabisa katika hilo.

Na at the time-being, culture inachangia psychologically inapokubalika kuwa mwanamke yuko kwa ajili ya kumridhisha mwanamme tu. Kitu ambacho mimi sikubaliani nacho, mimi naamini kuwa "it takes two to tango".

Mwanamke lazima awe prepared sexually ikiwa anataka kufika kileleni kila anapofanya mapenzi, na inawezekana 100%. Awe prepared psychologically na physically. Kuna mambo na mazingira ambayo inabidi yawepo na yatayarishe (consciously and conspicuously) na wahusika wote ikiwa wanataka ku enjoy sex na wakafikishana ipasavyo, na hayo mambo, yako yaliyo common na yako ambayo ni unique kwa mwanamme fulani au kwa mwanamke fulani lakini yote yakijulikana hutimiza lengo.

Narudia tena, someni kitabu nilichowabandikia kwa faida yenu, wake kwa waume.
 
Mimi ni mmama thus nitazungumzia from an assumption....

Naamini saana kua moja ya kigezo ya kipimo au sifa ya kuitwa mwanaume ni
ile uwezo wa kuweza mfikisha mwanamke kileleni...
For na dhahiri kabisa kama kweli
anafikishwa ni mara chache saana huyo me atataka kutafuta watu wengine, labda iwe
for factors kama extra mpunga and the like... Hivyo basi hakuna kitu mwanaume wa
kweli na rijali inamfanya ajisikie mwanaume wa kweli kama kuweza kufikisha... hasa
ukizingatia majority wanawake ni kazi saana kufika kileleni - hivyo huitaji mwanume hasa!

Ndio maana moja ya technique ya wadada ni kujifanya kafika kiileleni hata kama bado - hasa
akihisi mpenziwe kaelemewa na wala hana ujanja wa kumfikisha; Thus the confused/misunderstanding
of men... anashindwa kuelewa kweli umefika au ni swagger tu! Na akiwa na hakika umefika,
it makes him feel strong and Man..... And of course it makes a woman feel like a woman.

AshaDii hapo kwenye nyekundu natofautina nawe sana tu....Si kweli kwamba ni jukumu la mwanaume tuu kumfikisha kileleni mwanamke. Mwanaume hata awe mtaalamu wa 'ng*n*' vipi, kama mwanamke hana utayari wa 'kisaikolojia' hawezi kumfikisha kileleni. Inaonekana ni rahisi kwa mwanaume kufika killeleni kwa sababu kutokana na maumbile yetu (uume), kama sijajiandaa kisaikolojia kushiriki tendo uume hautasimama, au hata ukinakshiwa usimame basi hautadumu...kitu ambachi kwa mwanamke ni tofauti (kimaumbile wanawake wana tundu), kwa hiyo anaweza fanyiwa hata kama kisaikolojia hajajiandaa.

Sasa kwenye maandalizi ya kisaikolojia ndio penye tatizo. Wengi huwa tunadhani maandalizi ni wakati tukishakuwa faragha tu wakati wa 'foreplay', si kweli...maandalizi ya kisaikolojia yanaweza kuwa siku nzima, tangu asubuhi, mchana, mpaka jioni...mnachoongea, mnachofanya..kinawaweka katika hali ya kutakana hata kabla hamjaingia faragha. Faragha inakuwa ni hitimisho tu la process nzima.

Kuna chance kubwa sana ya mwanamke ambaye amejiandaa kisaikolojia kwa tendo kuwa na ashki siku nzima and looking forward to a great sex/make love to his partner/lover akafika kileleni tena sio mara moja..multiply! Zaidi ya mwanamke ambaye ye yupo tu akitegemea kuwa kufikishwa ni haki yake (anaidai kama sheria vile) na ni wajibu wa mwanaume, naye hana wajibu wowote ili mradi anaweza kukata kiuno na partner/lover wake akakojoa...

It takes more than that to have a great sex and a woman reach orgasm...it is more of a women side that make them not to cum, rather than a man side.
 
Nafurahi kukuona tena Dr Riwa, karibu nianzishe thread ya kukutafuta maana sijaona michango yako hivi karibuni.

Nakutakia Weekend njema 🙂
 
Discussions za hivi naona zinashika kasi. Mnapenda kula vyakula vya kileo sana, kuleni ugali wa mtama mtakuwa kama mimi
 
Daaah...another blast from the past. Where did Mama go? She was one hell of a tough cookie.
 
I am a woman of 31 years old. Nilibikiriwa when I was 24 yrs old. So am afraid i dont know orgasm.

31 years old mbona mkubwa sana upo uzeeni sasa inawezekana kweli hujawai kupata hiyo raha
 
AshaDii hapo kwenye nyekundu natofautina nawe sana tu....Si kweli kwamba ni jukumu la mwanaume tuu kumfikisha kileleni mwanamke. Mwanaume hata awe mtaalamu wa 'ng*n*' vipi, kama mwanamke hana utayari wa 'kisaikolojia' hawezi kumfikisha kileleni. Inaonekana ni rahisi kwa mwanaume kufika killeleni kwa sababu kutokana na maumbile yetu (uume), kama sijajiandaa kisaikolojia kushiriki tendo uume hautasimama, au hata ukinakshiwa usimame basi hautadumu...kitu ambachi kwa mwanamke ni tofauti (kimaumbile wanawake wana tundu), kwa hiyo anaweza fanyiwa hata kama kisaikolojia hajajiandaa.

Sasa kwenye maandalizi ya kisaikolojia ndio penye tatizo. Wengi huwa tunadhani maandalizi ni wakati tukishakuwa faragha tu wakati wa 'foreplay', si kweli...maandalizi ya kisaikolojia yanaweza kuwa siku nzima, tangu asubuhi, mchana, mpaka jioni...mnachoongea, mnachofanya..kinawaweka katika hali ya kutakana hata kabla hamjaingia faragha. Faragha inakuwa ni hitimisho tu la process nzima.

Kuna chance kubwa sana ya mwanamke ambaye amejiandaa kisaikolojia kwa tendo kuwa na ashki siku nzima and looking forward to a great sex/make love to his partner/lover akafika kileleni tena sio mara moja..multiply! Zaidi ya mwanamke ambaye ye yupo tu akitegemea kuwa kufikishwa ni haki yake (anaidai kama sheria vile) na ni wajibu wa mwanaume, naye hana wajibu wowote ili mradi anaweza kukata kiuno na partner/lover wake akakojoa...

It takes more than that to have a great sex and a woman reach orgasm...it is more of a women side that make them not to cum, rather than a man side.

Riwa naona una-degree ya kitu kweli kabisa nakubaliana nawe 100%, ndio maana wanawake wangi wanaokosa hii ni wale wa ndani ya ndo kwasababu ya kukosa nafasi au wakati wa kuandaa saikolojia yao dhidi ya mwenzi wao hasa kama mme anafanya kazi na kuchelewa kurudi home au kupitia kwenye masanga na hivyo kumwacha mama katika mawazo mabaya zaidi kuliko mawazo ya kimapenzi dhidi yake.

Kama mke na mume wangeishi kama wapya kila siku na kama watu wanaotongozana kila wakikutana hakika kila wanapofanya mambo yange kuwa mambo ila sasa tatizo moja waswahili wanasema ukiolewa uruhusiwi kulala na chupi! ajabu sana hii.
 
Kumbe ndio maana Nyani Ngabu haonekani jukwaa la siasa! kumbe patamu huku,.....
 
Hili laweza kuwa tatizo kwa wapenzi wapya lakini from my experience huwezi ku fake kwa mume mliyeekaa muda mrefu na anayejali feelings zako. My hubby doesn't need me to tell himkuwa nimefika anajua kabisa kama nimefika au la he feels it angekuwa humu labda angefafanua. Sasa nashangaa nyie wanaume mnaowaambia wanawake wawe wawazi wasi fake kuweni makini mtajua pale wenza wenu wanapofika au la na si kuwapiga maswali kama mko polisi.
 
Wakuu did not see kua mlini qoute due to lack of access which i see sasa
ninayo and funny enough nimeikuta as an update in my mail...

...dahh ya nini tena yarabi?

Was just thinking aloud...lol... as in Mbu does not use any kind of food katika Sector...

AshaDii, do you also suffer from orgasmic dysfunction?

I am all in in the act... Do your maths (so dissapointed kuhusu Ban yako)
And NN... Stop being naughty bana, swali gani hilo?

.
...mimi bado mwanafunzi hapa, mara tatu siku ya kwanza, au siku tofauti, ..maana mnh?!

It was more of mara tatu as in three different meetings... Siku ya kwanza tu
IMO does not count for in most cases woote woga fulani hasa the lady..

...
Hilo ndio kosa kubwa sana wanalofanya akina mama kutotaka kuwaeleza wenzi wao ni lipi kati ya hayo ambalo linamrahisishia sana kufika kule mahala. Wengine hata kuijua miili yao hawaijui kwa hiyo ukimuuliza wapi ambapo unaenjoy zaidi nikikushika au nikikuchezea naanza kung'aa macho, "Wee nichezee popote tu unapopenda mwenyewe" hahahahaha lol!

Kuna haja ya akina mama kuwa wazi na pia kufanya bidii ili waifahamu miili yao na hivyo kuweza kuwapa miongozo wenzi wao wa kufikishwa kule kwenye maraha ya ajabu...kwenye dunia ya kupaa pamoja na kuwa huna mbawa 🙂 za kuweza kufanya hivyo.
?

Bak what you say is so true... But sasa inaenda ina change... Naona hiio pia
imetokana na cultures zetu ambazo mara nyingi mwanamke hogopa kusomwa
vibaya i.e. malaya or hajatulia....

nimepaona hapo kwa umakini wa hali ya juu,
na bora umelisema weye mwanadada......asante mamito ?

ha ha ha... Bacha comments zako kuhusu 6/6 itanifanya ni conclude
negatively... otherwise i hope ni ladies sio wa mhimu and not wifi yangu...lol

You are welcome...

.
Balanced coment anyway.

This came out as if you are not satisfied...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
AshaDii hapo kwenye nyekundu natofautina nawe sana tu....Si kweli kwamba ni jukumu la mwanaume tuu kumfikisha kileleni mwanamke. Mwanaume hata awe mtaalamu wa 'ng*n*' vipi, kama mwanamke hana utayari wa 'kisaikolojia' hawezi kumfikisha kileleni. Inaonekana ni rahisi kwa mwanaume kufika killeleni kwa sababu kutokana na maumbile yetu (uume), kama sijajiandaa kisaikolojia kushiriki tendo uume hautasimama, au hata ukinakshiwa usimame basi hautadumu...kitu ambachi kwa mwanamke ni tofauti (kimaumbile wanawake wana tundu), kwa hiyo anaweza fanyiwa hata kama kisaikolojia hajajiandaa.

Sasa kwenye maandalizi ya kisaikolojia ndio penye tatizo. Wengi huwa tunadhani maandalizi ni wakati tukishakuwa faragha tu wakati wa 'foreplay', si kweli...maandalizi ya kisaikolojia yanaweza kuwa siku nzima, tangu asubuhi, mchana, mpaka jioni...mnachoongea, mnachofanya..kinawaweka katika hali ya kutakana hata kabla hamjaingia faragha. Faragha inakuwa ni hitimisho tu la process nzima.

Kuna chance kubwa sana ya mwanamke ambaye amejiandaa kisaikolojia kwa tendo kuwa na ashki siku nzima and looking forward to a great sex/make love to his partner/lover akafika kileleni tena sio mara moja..multiply! Zaidi ya mwanamke ambaye ye yupo tu akitegemea kuwa kufikishwa ni haki yake (anaidai kama sheria vile) na ni wajibu wa mwanaume, naye hana wajibu wowote ili mradi anaweza kukata kiuno na partner/lover wake akakojoa...

It takes more than that to have a great sex and a woman reach orgasm...it is more of a women side that make them not to cum, rather than a man side.

In red nakubaliana na wewe - But jua kwamba hapa nililenga saana mwanamke ambae yuko tayari kufanya hilo tendo lakini tokana na uchovu tu wa mwenza wake akashindwa kufika.... Na if the lady hataki hata umchezee vipi, belive me you utatoka kapa! Alafu kitu kingine ni kwamba ni wanawake wachache saana huipa sex kipao mbele for mara nyingi is about feelings sio lust - ndio maana weeengi saaana hufake orgarsims au interest akijua kabisa kua hata mufanye vipi she is not in to it...

Hapo katika Blue ni kweli kabisa... But naomba Riwa tukubaliane kua ni wanaume wachache waweza muandaa mwanamke kuweza kua in the mood ya kufanya tendo... From experience naaamini/najua kua kuna wakati unachoka wala mtu huna kabisa hamu, but tokana na the fact kua mpenzi wako anakujua in the sector ya 6/6 and all your sensitive sides, anaweza kuchokoza wewe mwenyewe ukakuta umeeingia line... na kutaka kuliko hata yeye sometimes... Kitu kikubwa ni kujuana nyie wapenzi husika - Yaani best remedy, ndio maana mimi naamini kwa wale woote wapendanao wanapozidi kufanya hilo tendo na woote waka enjoy... Siku zinapozidi kwenda it gets better and better and better...

I love your last sentence.... For any woman amabae anapenda hasa sex na anajitambua mwili wake... From imagination pekee she can Cum...
 
Back
Top Bottom