Mwanamke na kufika kileleni

Mwanamke na kufika kileleni

Good question, but kuna zaidi ya G spot au vipi....kale kajamaa kana umuhimu wake aiseee
Kama anavyouliza Sherrif, kama hako kajamaa kamenyofolewa ama kukatwa na hakapo basi hilo likakuwa kama kuwasha moto na kuni mbichi tena zilizolowa maji
 
Dada ukileta mambo ya mfumo dume hadi 6x6 unatuonea bureee..sasa mambo yamekuwa bayana mno,wanaume tu wasikivu kuliko enzi hizoo...,shida iko kwenye kuandaana na wewe ukiwa mhusika...kumbuka mwanaume husisimka kwa kuona..vilevile huwa na nguvu zaidi kadiri unavyojitoa kwake...Nanyi husisimka kwa hisia...na mambo huwa mazuri mkiandaliwa mapema..


Unasema 6/6 haina mfumo dume... Sorry sijaelewa kama wewe Ke/Me
ningeuliza kwa kukulenga BUT Zingatia haya...

Nani anamaamuzi makubwa ya sehemu ya kufanyia Sex?
Nani anachukua nafasi kubwa kuamua kuvaa Condom?
Nani ambae akifanya Sex ni lazima afike kileleni?
Ni nani yupo huru zaidi kuenda extrems... Yani nani anasuggest?

Kuhusu kuandaliwa... wanawake tumepishana... kuna me unaenda nae sambamba
mwingine unamuandaaa mpaka wewe mwanaume hamu inaisha... hutaki tena
na kuishiwa kupitiwa usingizi... Na ni vigumu saaana kuweza mwanaume kujua
mwenza wako kafika kwasababu katika hilo tendo wanawake we are GREAT Actresses...
 
incompatibility
haimfanyi mmoja kuitwa mdhaifu
....
ukiwa unavaa kiatu no 9 huwezi sema viatu no 8 au no 10 sio viatu
ni viatu sema wewe havi fit


Nakubaliana nawee... Na nimejibu hilo post # 13

Mfumo dume upo hadi kwenye ngono.... Kama kuna alie wahi mfikisha bila kuelekezwa
anaona wewe umeshindwa... na kama umeshindwa why bring it up? ambayo sio kweli
maana siku za mwanzo za mahusiano mnakua hamjazoeana hivyo lazima kwanza mjuane
jinsi ya kuridhishana.... However kama mmefanya mara tatu na zooote ni failures, Then their
is no Compactibility hapo...

Na pia we love saaaana - hivo it is in our nature kua kama wewe umeridhika na roho yangu imeridhika...
na wanawake weeengi huwachukua mda mrefu mno kufika kileleni, ivo unakuta anakutana na kaka
zetu wasasa ambao majority ni wavivu mno, akishamaliza yeye hana kabisa nguvu ya kwenda mbele..

 
Unasema 6/6 haina mfumo dume... Sorry sijaelewa kama wewe Ke/Me ningeuliza kwa kukulenga BUT Zingatia haya...Nani anamaamuzi makubwa ya sehemu ya kufanyia Sex?Nani anachukua nafasi kubwa kuamua kuvaa Condom?Nani ambae akifanya Sex ni lazima afike kileleni?Ni nani yupo huru zaidi kuenda extrems... Yani nani anasuggest?Kuhusu kuandaliwa... wanawake tumepishana... kuna me unaenda nae sambambamwingine unamuandaaa mpaka wewe mwanaume hamu inaisha... hutaki tenana kuishiwa kupitiwa usingizi... Na ni vigumu saaana kuweza mwanaume kujuamwenza wako kafika kwasababu katika hilo tendo wanawake we are GREAT Actresses...
Unajua sex ni ushirikiano kwani jukumu likiwa la mmoja siku zote starehe itabaki kuwa ya mwanaume2 habari ndio hiyo
 
Unajua sex ni ushirikiano kwani jukumu likiwa la mmoja siku zote starehe itabaki kuwa ya mwanaume2 habari ndio hiyo


Jamani Chavka soma post zangu zoooote kwenye huu uzi... inajibu na kukubaliana na hio...
 
Ni wanawake wachache saaana wana guts za kuongea kwa uhuru kwa wenza wao
kua wapi yupo sensitive, wapi anaona raha... namna gani awe handled, na ni mda gani
inamchukua kusikia ashiki ya kutaka kufanya hilo tendo lenyewe....

Ni wanaume wachache hupenda kusikia madhaifu toka kwa wanawake wao, au kutaka
kujua kua kweli hamfikishi... aweza hisi kua hukufikishi but ile ukitamka ndio umemmaliza kabisa
basi kuepusha hii anaziba kabisa ubongo wake kutaka jiuliza kweli kama anatenda haki...

Hapo ndo penye shida. Wanawake wengi wanakuwa too secretive, hawapendi kuwa wazi kueleza ni vipi wafanywe ili nao wafaidi. Wanafanya assumption tu kwamba all men know everything about women. Na wengi ukimuuliza sana sana utapewa majibu rahisi rahisi km; "kwani wewe hujui?", au "wewe fanya tu". Kisa cha yote hayo ni kwa sababu wanaogopa kuitwa malaya.
Ladies, msiachie wanaume kufanya assumption juu ya miili yenu. Mwili wako ni wako, mwili wako ni tofauti na wa Lizzy, Husninyo, AshaDii nk. Physiological composition ni tofauti kabisa. Anavyonogewa Neggirl ni tofauti kabisa na anavyonogewa Shosti au mwanamke mwingine. Mnapaswa kuwa na ujasiri wa kusema nini mnataka, sehemu gani za nje zishughulikiwe kwanza kabla ya kuruhusu jamaa kuingia vyumbani, na huko ndani ni vyumba gani viguswe, nk. Kwa ujumla, muwe wawazi.
 
Bi Faiza, Shukran kwa kitabu. Nitakisoma.
Lakini hicho ni kitabu na maoni ni ya mwandishi. Mie nataka kusikia maoni yako juu ya habari hii nyeti. Hebu tuhabarishe na japo dondoo

Badili ya kutoa maoni yangu ambayo yanafanana sana na yalioandikwa kwenye hicho kitabu, naona ni bora mkisome hicho kitabu, tena huko utapata details ambazo ni vigumu kuzichangia hapa, ban nje nje.
 

...duuhhh, taratibuni mnachochangia hapa wengine tunakula! yukkkkk!
 
Mfumo dume upo hadi kwenye ngono.... Kama kuna alie wahi mfikisha bila kuelekezwa
anaona wewe umeshindwa... na kama umeshindwa why bring it up? ambayo sio kweli
maana siku za mwanzo za mahusiano mnakua hamjazoeana hivyo lazima kwanza mjuane
jinsi ya kuridhishana.... However kama mmefanya mara tatu na zooote ni failures, Then their
is no Compactibility hapo...

Na pia we love saaaana - hivo it is in our nature kua kama wewe umeridhika na roho yangu imeridhika...
na wanawake weeengi huwachukua mda mrefu mno kufika kileleni, ivo unakuta anakutana na kaka
zetu wasasa ambao majority ni wavivu mno, akishamaliza yeye hana kabisa nguvu ya kwenda mbele..

...mimi bado mwanafunzi hapa, mara tatu siku ya kwanza, au siku tofauti, ..maana mnh?!
 
Back
Top Bottom