Mwanamke na kufika kileleni

Mwanamke na kufika kileleni

Ni kweli kuwa kina dada wengi huwa tunaitumia njia hii lakini mara nyingi si vizuri kuishia hapa. Especially unapoona mwenzi wako amejitahidi mpaka anataka kukata tamaa, njia ekee ni hii ya kufake!! (Kama mpenzio si mwelewa maana mwingine waweza tu kumwambia kuwa Baby we endelea, just come, its ok, huku ukimpa company- nadhani naeleweka). But kwa sababu lengo na madhumuni ya tendo hili ni kufurahia wote ni vema akishaenda akafika, unamweleza (kama ni mwelewa) kuwa wewe bado. LAKINI kama si mwelewa, fanya kama umefika kisha ukishaona amepumzika vya kutosha..........piga hodi tena!! haikatazwi!

mmmh....
 
appetite ya wanawake wengi siku hizi imeongezeka

mko above normal ya standard......
hili nalo ni tatizo

fikiria binti ana miaka 15 anaanza ni mishedede ya inch 9 ya midume ya above 30

ukija kuolewa baadae utaridhika vipi?????????/
 
Hivi wanaume huwa wanajiuliza au kufikiri wapenzi/wake zao huwa wanajisikiaje (hisia zao zinakuaje) wasiporidhishwa (fikishwa kileleni)?
Duh kaazi kweli kweli...
kama wewe unajiona una stamina ya marathon kuliko mwenzako basi mnaweza mkafanya foreplay (warm-up) na kuhakikisha kwamba wewe unaanza safari kabla ya yeye kukujoin na kumaliza mashindano.
 
Ni kweli kuwa kina dada wengi huwa tunaitumia njia hii lakini mara nyingi si vizuri kuishia hapa. Especially unapoona mwenzi wako amejitahidi mpaka anataka kukata tamaa, njia ekee ni hii ya kufake!! (Kama mpenzio si mwelewa maana mwingine waweza tu kumwambia kuwa Baby we endelea, just come, its ok, huku ukimpa company- nadhani naeleweka). But kwa sababu lengo na madhumuni ya tendo hili ni kufurahia wote ni vema akishaenda akafika, unamweleza (kama ni mwelewa) kuwa wewe bado. LAKINI kama si mwelewa, fanya kama umefika kisha ukishaona amepumzika vya kutosha..........piga hodi tena!! haikatazwi!

Kumbe eeeh? Haya bana...ila umenichekesha sana. Umegusa wengi sana hapo....
 
Hivi wanaume huwa wanajiuliza au kufikiri wapenzi/wake zao huwa wanajisikiaje (hisia zao zinakuaje) wasiporidhishwa (fikishwa kileleni)?
Jamani hizi thread nyingine vipi?Are we really great thinkers.Yaani haya mambo ya chumbani kabisa.
 
Mimi ni mmama thus nitazungumzia from an assumption....

Naamini saana kua moja ya kigezo ya kipimo au sifa ya kuitwa mwanaume ni
ile uwezo wa kuweza mfikisha mwanamke kileleni... For na dhahiri kabisa kama kweli
anafikishwa ni mara chache saana huyo me atataka kutafuta watu wengine, labda iwe
for factors kama extra mpunga and the like... Hivyo basi hakuna kitu mwanaume wa
kweli na rijali inamfanya ajisikie mwanaume wa kweli kama kuweza kufikisha... hasa
ukizingatia majority wanawake ni kazi saana kufika kileleni - hivyo huitaji mwanume hasa!

Ndio maana moja ya technique ya wadada ni kujifanya kafika kiileleni hata kama bado - hasa
akihisi mpenziwe kaelemewa na wala hana ujanja wa kumfikisha; Thus the confused/misunderstanding
of men... anashindwa kuelewa kweli umefika au ni swagger tu! Na akiwa na hakika umefika,
it makes him feel strong and Man..... And of course it makes a woman feel like a woman.

incompatibility
haimfanyi mmoja kuitwa mdhaifu....
ukiwa unavaa kiatu no 9 huwezi sema viatu no 8 au no 10 sio viatu
ni viatu sema wewe havi fit
 
Ni kesi ambayo mara nyingi ushitakiwa na marafiki zangu wa kike, ishu c speed wala kuwa na maumbile makubwa au madogo kikubwa ni maandaliz kwani ha kula wa2 hujianda hunawa mikono kisha hula, ninachotaka kuwaambia tenagers wenzangu hasa cc wanaume tuwe na tamaduni za kujianda kisha kutenda, kwanini madem zetu, dada ze2 na wanawake wengine kila cku waumie na hili plz 2cwe wabinafc napenda sana pale mwanamke anaponiambia kua jamaa yangu hunifikisha zaid ya mara 1 msichana wangu kwa kawaida umfikisha zaid ya mara moja.. So unaweza kua km mm.
 
Sasa kama mwanamke mwenyewe ametahiriwa ndio inakuwaje? Manake hata ufanyeje hapati charge labada mara moja in 10 years!
Mila hizi!!
 
Duh kaazi kweli kweli...
kama wewe unajiona una stamina ya marathon kuliko mwenzako basi mnaweza mkafanya foreplay (warm-up) na kuhakikisha kwamba wewe unaanza safari kabla ya yeye kukujoin na kumaliza mashindano.
Sawa kabisa.......ingawa malalamiko mengi ni kuwa muda wa mchezo wa mbele (foreplay) siku hizi umefupishwa sana huku wengine hawana huo muda.......nadhani pia kuna umuhimu wa kutathmini wakati wa shughuli na si kusubiri baada....... kuna wengine (natanguliza samahani iwapo hii itahamishiwa chumbani) wao akishaona ardhi mbichi juu basi, kama kakeremu vile, ni mbinu ile ile....anapima kwa kidole, akihisi dalili ya mafuta basi anasimika drilling machine!!.......saa ingine huwa ni dalili tu kuwa hapa kuna mafuta ....ukiamua kuchimba unaambulia gesi tu ya songosongo!!
 
hahaha, issue sio mwathirika, MJ1, issue ni kwamba siwezi amini kama na wewe umeshawahi kutumia hiyo mbinu? Umekosa nini?

Kaizer hebu fafanua......kutofikishwa does it have to do with kukosa kitu?? Unless unambie kuna wanaume ambao yaani wao ni experts.....never miss!! au kufika au kutokufika nikunahusiana na maamuzi ya mwanamke!!
 
mi nimeuliza tu, umekosa nini sio lazima iwe kitu lol

kuna wanaume wanajua kuwa mwanamke anahitaji nini kunako 6x6, ila bahati mbaya sio wengi....
 
Good question, but kuna zaidi ya G spot au vipi....kale kajamaa kana umuhimu wake aiseee

Nakubaliana na wewe kabisa ................afu we unataka niwe blamed eh??
Unanifanya nijiulize maswali mengi...........ntajikagua mie nafika mwisho wa safari nikipita njia gani......... uchochoro au main road?? mwe
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Haya mazungumzo sasa yanaelekea kuwa X-rated. Ni bora yakaenda kule kwa wakubwa
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mimi ni mmama thus nitazungumzia from an assumption....

Naamini saana kua moja ya kigezo ya kipimo au sifa ya kuitwa mwanaume ni
ile uwezo wa kuweza mfikisha mwanamke kileleni... For na dhahiri kabisa kama kweli
anafikishwa ni mara chache saana huyo me atataka kutafuta watu wengine, labda iwe
for factors kama extra mpunga and the like... Hivyo basi hakuna kitu mwanaume wa
kweli na rijali inamfanya ajisikie mwanaume wa kweli kama kuweza kufikisha... hasa
ukizingatia majority wanawake ni kazi saana kufika kileleni - hivyo huitaji mwanume hasa!

Ndio maana moja ya technique ya wadada ni kujifanya kafika kiileleni hata kama bado - hasa
akihisi mpenziwe kaelemewa na wala hana ujanja wa kumfikisha
; Thus the confused/misunderstanding
of men... anashindwa kuelewa kweli umefika au ni swagger tu! Na akiwa na hakika umefika,
it makes him feel strong and Man..... And of course it makes a woman feel like a woman.

Ashadii weweeee umenichekesha kweli maana hayo yliyoandika ni kweli kabisa smtymz inabidi tu kwa kweli kuokoa jahazi ujitie kuhema na kulalamika as if umefika ili kumridhisha mwanamume maana kwa kweli ukiwa amefanya biidii zote hizo halafu umekomaa tu mwanaume anajuisikia vibaya sana... mmmh nimecheka sana sana
 
Back
Top Bottom