Mwanamke na kufika kileleni

I am a woman of 31 years old. Nilibikiriwa when I was 24 yrs old. So am afraid i dont know orgasm.

Sio kuwa hujui, nafikiri unajua unachokiongea, sema tu hujawahi kupanda hiyo milima, may be wataka uelekezwe wanakweaje.

Uwe na subira wataalamu wamekuelekeza kidato utakachopelekwa kwa ajili ya hilo somo. Hapa syllabus / muhtasali hauruhusu,.
 
...true that, hapo nime jump gun... inabidi kumpelekesha polepole... step by step, lol

----------------**-----------------------

NN, seriously on this: Kwanini lakini unambugudhi Mama kiaina hiyo?!

Nambugudhi kivipi wakati nimwambia "I lo u"....how is that kumbugudhi?
 
sidhani kama ana access, asingeuliza... ngoja tusubirie ajibu swali lako la mwanzo ndiyo tumwekee hapa. Sidhani kama inahitaji explanation ndeefu kimaandishi wakati maelezo kwa vision yanatosheleza.

Jamani natakiwa kuwa na sifa gani kuwa na access kwenye mambo ya kikubwa??. ni elimu ambayo kwa umri wangu naomba niipate, tafadhali wahusika nijibuni.
 
Jamani natakiwa kuwa na sifa gani kuwa na access kwenye mambo ya kikubwa??. ni elimu ambayo kwa umri wangu naomba niipate, tafadhali wahusika nijibuni.

We mtwangie Robot pm, ukimwomba funguo wa chumba kile, labda utapata ufunguo
 
Kweli Lorain hujafika huko kileleni ungekuwa umeshafika basi wala usingeuliza. Katika kuuliza uliza kwangu ;) nikashangazwa na wanawake wote wanasema kitu kile kile ni kwamba hujisikia kama 'wanapaa' na kuwa katika dunia nyingine kabisa halafu wako wale ambao wenye bahati ambao wanapata multiple orgasm ambayo huchukua kati ya 90 seconds na 120 seconds hawa huwa kama wanapagawa kabisa. Masexiologists baada ya kuangalia live na kwenye camera wanaume na wanawake walipokuwa wanafika kileleni walihitimisha kwamba wanawake wanaenjoy zaidi tendo la ndoa kuliko wanaume, sijui hili lina ukweli kiasi gani.
....Hivi na wale wanaopiga kelele na kuongeaongea na wao ndio wanakuwa wanapandisha bendera kileleni au inakuwaje?

***Mama - naomba uzoefu wako hapa nyie mnapofika kileleni kuna kinachotoka kama mwanaume anavyotoa sperms wakati wa kupiga mshindo au inakuwakeje. Mod- Niwie radhi kama nitakuwa nimeingia ndani sana!!!
 
Za leo wandugu, hivi nini maana ya mtu kufika kileleni (orgasm) na hisi kama vile sijaipata au siielewi.

...iwapo kwenye makuzi, 'nyeti' zako mwenyewe unaambiwa ni mwiko kuzigusa, matokeo yake maishani panaishia ni sehemu ya kutolea haja ndogo, na kumpa mumeo/mkeo ili mpate mtoto.

...Self actualization ni muhimu, jifanyie 'exploration' ujue ukichimba wapi utapata 'gesi tupu, au mafuta', jifanyie utafiti ili jue ni sehemu gani katika mwili wako pana mvuto wa hisia tamu tamu kuliko kwingine, na nini hatma ya kuguswa sehemu hiyo mpaka 'kilele' chake.

Usipoweza jifikisha kileleni mwenyewe, utamuwezeshaje mwenzako?

....Hivi na wale wanaopiga kelele na kuongeaongea na wao ndio wanakuwa wanapandisha bendera kileleni au inakuwaje?

...hapo kuna wanaopanda kileleni nawe, na kuna wanao kuwahisha umuondolee bughudha!
 
Za leo wandugu, hivi nini maana ya mtu kufika kileleni (orgasm) na hisi kama vile sijaipata au siielewi.

Kweli umekosa raha ya mapenzi kwa muda mrefu, mwambie jamaa yako akupige katerero kwanza kabla ya kuingiza, hapo utaweza kujua maana ya kufika kileleni.
 
Jamani natakiwa kuwa na sifa gani kuwa na access kwenye mambo ya kikubwa??. ni elimu ambayo kwa umri wangu naomba niipate, tafadhali wahusika nijibuni.

Freetown, Mimi ni mtu mzima, nina mke na familia kubwa tu lakini ilifika mahali nilimwomba Mod aniondole access ya hilo jukwaa. Muulize Md, atakwambia nlivyomwandikia.

Nadhani hata kule kwenye mambo ya kikubwa Mod anatakiwa kuchuja na kuondoa baadhi ya picha. Utakuta heading nzuri sana ambayo unadhani yaweza kukupa elimu ukifungua tu unajuta na kutoka mbio!

Kama wewe ni adult, mwandikie Mod atakupa access lakini ukiona mambo magumu mwambie akuondoe vinginevyo utajikuta unakuwa mlevi wa pono.
 
you are daym sicko you!!!! :D :D

mpatie link ya ile thread ya 'kutoa mashetani' kwa mkono kule ukumbini....

Waswahili wa Pemba Hujuana Kwa Vilemba!
Aombe Access ajue maana ya kufika kileleni!
 
I am a woman of 31 years old. Nilibikiriwa when I was 24 yrs old. So am afraid i dont know orgasm.

Hongera kwa kutunza bikira kwa muda wote huo.
Vp umeolewa lakini mimi naona mate yananitoka kabisaaaa hapa ila samahani kama nimekukwaza.
 
Hongera kwa kutunza bikira kwa muda wote huo.
Vp umeolewa lakini mimi naona mate yananitoka kabisaaaa hapa ila samahani kama nimekukwaza.

Fidel,
Msaidie mwenzio kwanza then katika kusaidiana utajua kama ameolewa au la!
 
Kweli umekosa raha ya mapenzi kwa muda mrefu, mwambie jamaa yako akupige katerero kwanza kabla ya kuingiza, hapo utaweza kujua maana ya kufika kileleni.

Kufika kileleni siyo lazima upite njia za Katerero (sijui huyu ndiye mnyama gani tena!) ;)
 
oragsm ni **** hadi unaita jina la mzazi wako

uh!? :confused: mzazi wako yupi!? Na kama usipoita jina la huyo mzazi ina maana hujafika kileleni!? kazi kweli kweli!!!!
 
Last edited by a moderator:
....Hivi na wale wanaopiga kelele na kuongeaongea na wao ndio wanakuwa wanapandisha bendera kileleni au inakuwaje?

***Mama - naomba uzoefu wako hapa nyie mnapofika kileleni kuna kinachotoka kama mwanaume anavyotoa sperms wakati wa kupiga mshindo au inakuwakeje. Mod- Niwie radhi kama nitakuwa nimeingia ndani sana!!!

Kutokana na sababu za kifamilia, siwezi kuzungumzia suala hili hapa. Najua utaniona wa zamani lakini naomba unisamehe.
 
Kweli Lorain hujafika huko kileleni ungekuwa umeshafika basi wala usingeuliza. Katika kuuliza uliza kwangu ;) nikashangazwa na wanawake wote wanasema kitu kile kile ni kwamba hujisikia kama 'wanapaa' na kuwa katika dunia nyingine kabisa halafu wako wale ambao wenye bahati ambao wanapata multiple orgasm ambayo huchukua kati ya 90 seconds na 120 seconds hawa huwa kama wanapagawa kabisa. Masexiologists baada ya kuangalia live na kwenye camera wanaume na wanawake walipokuwa wanafika kileleni walihitimisha kwamba wanawake wanaenjoy zaidi tendo la ndoa kuliko wanaume, sijui hili lina ukweli kiasi gani.

Inaweza kuwa kweli ila kuthibitisha huo ukweli ndio kazi.
 
Back
Top Bottom