Mwanamke na kufika kileleni

oragsm ni ku**** hadi unaita jina la mzazi wako

Wewe mbona umejisahau hivyo?
Mod hebu kafute hako kaujumbe maana kanachafua mazingira kabisa!
 
Last edited by a moderator:
Kutokana na sababu za kifamilia, siwezi kuzungumzia suala hili hapa. Najua utaniona wa zamani lakini naomba unisamehe.

Nimeamini wewe ni mama wa kweli na si mapepe! Kama vipi mwenye kuuliza atume private msg kuomba uzoefu. Huwezi kuanika mambo muhimu ya maisha yako humu jamvini. Vinginevyo unaweza kuzua balaa na mzazi mwenzio!
 
Achana na huyo sie tu watu wazima. Tatizo kubwa nina wanangu hapa. Sitegemei kudiscuss hii kitu na Steve au wanangu wengine hata siku moja, ndio kubwa hili.
 
Nashauri hawa wanao uliowataja tuwaombee kwa Mod. awawekee "chumba cha kungwi" kama vile sisi wazazi tulivyoomba "chumba cha wazazi" ili waliuze maswali yao. Hata hivyo wasiwe na tabia ya kuchimba mambo personal, waridhike na majibu ya jumla wanayopata.
 
Huu mjadala hauendi kwenyewe.....
Mods please do the needful.
 
Dc nakubaliana na wewe. Nataka sana wayajue haya mambo, ila sitaki kudiscuss nao personally.
 
Katerero ni muhimu mkuu. Labda jamaa wa Lorain huwa anaikwepa hii njia ndio maana hajawahi kufika kileleni.

Wanaoifahamu Katerero duniani ni wachache sana lakini bado wengi wao wanawafikisha wapenzi wao huko kileleni na huo ni ukweli usiofichika hivyo katerero ni aina moja tu ya kufika huko lakini ziko nyingi.
 
Huu mjadala hauendi kwenyewe.....
Mods please do the needful.

Kweli kabisa Roya, ndiyo maana nami niliuliza kama aliyeuliza swali ana access na ule ukumbi wa mashetani-shetani...alio achiwa Kibunango auongoze na Brazameni. maana kadiri watu watakavyozidi kudiscuss hili jambo ndipo hapo watakuwa wana cross the line na pahala wanaweza kujikuta wako kwenye mifarakano na ma mods.
 
Naomba mtu ani PM maana halisi ya katerero na akanungulusi hizi jamani zinanichanganya sana nimetafuta kwenye kamusi holaaaaaaaa msaada jamani.
 
Katerero ni sehemu mojawapo ya mauzo, yaani gulio/gulilo au soko mjinga, au market square, au car boot sale, huko Bukoba. Ref. Kitabu cha Kiswahili darasa la tatu.
 
True Steve, waupeleke kule ambako tafsida sio muhimu sana....the way i see it ni ngumu kuongolea hili jambo bila kutumia maneno 'mbofumbofu'.
Ila kama wanataka busara za Mama wawe na displine (kwa Mama) kidogo.
Binafsi namuunga mkono Mama (na wenzake) kutaka pawepo na jukwaa la faragha la kuongolea mambo kama haya...sababu lile jukwaa la kina Brazameni yataka moyo kuingia!
 
Fidel,
Msaidie mwenzio kwanza then katika kusaidiana utajua kama ameolewa au la!

Mkuu yaani huyu inaonyesha bado mwanafunzi kwenye hilo zoezi kwa hiyo ajui utamu wala uchungu ndo maana mimi mate yamenijaa na hamu saana nimfundishe kwa kutumia partcipatory method ataelewa vizuri hizi theory haelewi kabisa.
 
Katerero ni sehemu mojawapo ya mauzo, yaani gulio/gulilo au soko mjinga, au market square, au car boot sale, huko Bukoba. Ref. Kitabu cha Kiswahili darasa la tatu.

Mkuu nashukuru lakini hili neno lina maana ingine kwenye maswala haya ya kikubwa lina maana ingine tofauti hiyo ya kwanza.
 
... kadiri watu watakavyozidi kudiscuss hili jambo ndipo hapo watakuwa wana cross the line na pahala wanaweza kujikuta wako kwenye mifarakano na ma mods.

...midadi ndugu yangu, midadi ikizidi, :D

Mahusiano, mapenzi, urafiki (60 Viewing)
Tubadilishane mawazo kuhusu mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana. TAFADHALI: Hii si sehemu ya kuweka picha chafu ama kutumia lugha kali sana. Zitafutwa!

...kukumbushana kumo!

Naomba mtu ani PM maana halisi ya katerero na akanungulusi hizi jamani zinanichanganya sana nimetafuta kwenye kamusi holaaaaaaaa msaada jamani.

...katerero maana yake 'kupiga mswaki!'
 
This thread will shortly be moved to "Mambo ya Kikubwa" forum. Please raise your objections if you have, and for those with no access to that forum but intend to participate in the debate please send PM request to Invisible or Farida for authorization. Have a nice day !
 
Kweli kabisa Roya, ndiyo maana nami niliuliza kama aliyeuliza swali ana access na ule ukumbi wa mashetani-shetani...alio achiwa Kibunango auongoze na Brazameni. maana kadiri watu watakavyozidi kudiscuss hili jambo ndipo hapo watakuwa wana cross the line na pahala wanaweza kujikuta wako kwenye mifarakano na ma mods.

Astaghafiruuuu!!!...hawa ndo wenyewe sio?
Mzee Kibunango umeniacha hoi....Siri inafichuka Firauni Mkuu,
wa Jamvi la kibomachakusaga...ashok balaa!....:):):)
 
Back
Top Bottom