Lengo langu,,,Normal dating,,ya kutengeneza seriously relationship,,,Kwan adhma yako kwake ni nini?
Kwa sababu kama ni ngono mimi naona she's made it easier for you, kama ni normal dating amershisisha pia, kama ni kumtongoza amesema yupo available kwa ajili ya mtongozo, kukubaliwa is another case.
Mkuu, wewe unataka nini?
Mkuu nilikua nasubiri uje na zile picha za kusindikizia uzi.Mtombe
Basi achana nae huyo,Angenishangaa ..nilitegemea angeniwekea vizuizi kidogo,ili kidogo nihangaike
If she gives you her number and then ignores your call,Mademu wa siku hizi wanakupa Namba, unaishia Kuona status za mikoba na Viatu anauza. Mzigo sio kizembe kupata.
Ndio huyo umempata stand mtu serious akitaka kudandia gari kupitia dirishani......Lengo langu,,,Normal dating,,ya kutengeneza seriously relationship,,,
Kinachonishangaza naona kila ninachoomba kwake inakuwa haraka,,hata Siku Moja haijapita yangu amenipa namba
Bro pokea simu.Ndio huyo umempata stand mtu serious akitaka kudandia gari kupitia dirishani......
Bro oa huyo tule ubwabwa
Bro nitakupigia nitakupigiaaaaa.....subiri kidogo napika ugali hapa nisije kuunguzaBro pokea simu.
Hawa ndio wale wanao amini kua hakuna Mwanaume malaya bali malaya ni Mwanamke tu.Lakini we haujajishangaa kukutana nae tu mara moja na kumuomba namba hapo hapo? mna utofauti gani?
Wanawake mna kazi sana.
Kama na wewe umeanza kula Ugali tusijuane bro.Bro nitakupigia nitakupigiaaaaa.....subiri kidogo napika ugali hapa nisije kuunguza
Nenda kakutane nae, usiwe na matarajio yoyote, piga story, kula, kunywa...kama ni wa kwako mbona utajua tu!!Lengo langu,,,Normal dating,,ya kutengeneza seriously relationship,,,
Kinachonishangaza naona kila ninachoomba kwake inakuwa haraka,,hata Siku Moja haijapita yangu amenipa namba
Tuna kazi huku bongo we acha tu!Hawa ndio wale wanao amini kua hakuna Mwanaume malaya bali malaya ni Mwanamke tu.
Na mjeda umuachie nani?Tuna kazi huku bongo we acha tu!
Unitumie tu nauli nije itigi yaishe 😅
Jamaa mlalamishi sana wewe!Strike the iron while hot.Supu ya mbwa hunywewa ya moto.Ngoja ngoja huumiza macho.Chelewachelewa utakuta sherehe imefinito.Habari ndugu?...
Kuna Mwanamke Nilikutana nae Stendi ya Magari,, wakati Yuko kwenye harakati za kudandia gari..
Nilimpa hi...then nikamuomba namba ya Simu,,akaniuliza namba ya Nini huku akiwa kama anataka Simu yangu aniandikie namba,,sikumjibu nikampa Simu akandika namba yake.....
Then tukuapanda gari tayari kwa safari...
-Kesho yake nikampigia Simu nikajitambulisha akanikumbuka,,
Nikamuambia hiyo namba yangu akasema sawa..
-Baadae nikachomekea kama ninaweza kuonana nae ,akaniuliza lini??...nikimuambia vipi leo inawezekana??,,akaniuliza Muda gani??,, Nikamuuliza kwani Muda Upi utakuwa na nafasi..?,,Akanijibu MUDA WOWOTE ANAPATIKANA
.. ,nikamuambia Sawa,,ngoja nipange ratiba zangu..
Kinachonipa Shaka ndugu zangu Mbona imekuwa haraka kwa kilA kitu ninachomwambia?
-Namba kanipa haraka
-Appointment ya kuonana ,amekubali haraka,,na anasemauda wowote ANAPATIKANA,
Wakati ni siku tu Moja tu haijaisha amenipa namba yake,,Wala hajanijua vizuri..hii Imekaaje ndugu??