Hiyo point ya mwisho imeshepu sana comments kwenye huu uzi. Watu wamekuwa na adabu ghafla. ..
msiogope ongeeni toa ya moyoni
usivunge
Hiyo point ya mwisho imeshepu sana comments kwenye huu uzi. Watu wamekuwa na adabu ghafla. ..
Ni JB na Yerusalem yake au producer tofauti? Inatoka lini hiyo cd ndugu? Inaitwaje? 'Excel Akamata Jambazi' au?
1.Wa tag watu 100 picha yako kwa facebook, ukipata likes mbili tena kutoka kwa ndugu zako ujue wewe ni mbaya.
2 Mwanaume atajisikia na uhuru pindi akiongea na wewe, sababu atakuona kama wewe ni mmoja wa mwanaume mwenzao. Wenginge watapenda kusikia ushauri wako wa jinsi ya kumuingia msichana mwingine.
3. Kama ujawahi kulipiwa nauli katika daladala au usafiri wowote. Unatakiwa kufanya kitu fulani katika muonekano wako.
4. Kama katika maonyesho ya sanaa shuleni, kanisani. Siku zote wanakupanga ucheze nafasi ya Uchawi, Zimwi au shetani. Tambuwa wewe ni mbaya
5. Wasichana wengi wenye majina mazuri kwenye facebook au jamii forums kama Cute, Diva na yanma hiyo. Ki kawaida ni wabaya.
6. Wasichana wabaya hawataipenda hii post na wataweza kukoment kwa hasira.
Hebu wacha hizo... Mbona wanaume ni wabaya ila tunawavumilia??
Unachosema ni kweli best!! Hii hali ya kukosoa kazi ya Mungu walikuwa nayo wanawake, siku hizi naona wanaume nao hukaa "vijiweni" kazi kusema muonekano wa wengine!
Ila ni dhambi, ufinyu wa kufikiri kukaa Na kuwasema wengine ati ni WABAYA...wewe ni nani kukosia usichokuwa Na uwezo wa kukitengeneza?
Lakini unavyopotea hivyo sio vizuri!!!