tian
JF-Expert Member
- Jul 27, 2007
- 1,770
- 538
Na aliyempa heko kuwa yeye mzuri ni nani?
Tabia mbaya sana kudisvalue wengine ati ni wabaya
Mie mwenyewe nimemshangaa mwili mzima,
Nkajua wazuri wanauzwa dukani kwa bei ya ghali
Na aliyempa heko kuwa yeye mzuri ni nani?
Tabia mbaya sana kudisvalue wengine ati ni wabaya
Mleta mada aliweka kipengele namba sita bila shaka alijitafutia kinga. Ila yanapokuwepo mashindano ya uzuri, uoni tusi la moja kwa moja kwa wasiyo wazuri. Je unaamini kuna wazuri na wabaya?
hahahahahahahah!!!!!! watu hamuishiwi vituko.
Kijijini kwetu kuna mmama mmoja yeye alikuwa ameota meno kwenye lips za juu, na ana makengeza. Watu wengi walikuwa wanamuona kama kituko ila alikuwa na shape nzuri ajabu. Baba mmoja akampenda akamuoa yule mama na wakazaa veeeery beautiful kids. So Msandawe Halisi ukisema mtu mbaya wewe wengine wanamuona mzuri. Pia hata bible inasema'tumeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu' so kama utasema mtu mbaya inamaana na Mungu nae mbaya? No, naamini binaadam wote ni wazuri ila mazingira na hali ngumu ya maisha huwafanya watu waonekane wabaya, na nikusahihishe tu ndugu yangu SIO MTU MBAYA SEMA HAVUTII AU HANA MVUTO
Hiyo point ya mwisho imeshepu sana comments kwenye huu uzi. Watu wamekuwa na adabu ghafla. ..
Hahaaaaaa kweli lakini.
Kila mdada anaanza comment yake kwa kucheka hahaaa ili asionekane ana hasira...lol