Mwanamke jitambue kama wewe ni mbaya

Mwanamke jitambue kama wewe ni mbaya

NA AKATOA MABINTI WAREMBO TU...

aziza-ongala.jpg

Loohh! Huyu Mdada namkumbuka. Nilikuwa namuona pindi akiwa kigori pale IST Upanga
 
KWAKO MBAYA WENGINE WANAWEKA NDANI....
1239796_435642519879401_1594486838_n.jpg

Mkuu umetoa wapi picha yangu?Wife akiingia saluni alafu akatupia za kimodel wengi udenda utawatoka!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Heee! Kumbe kulipiwa nauli huwa tunaangaliwa eeh!! Aisee!!
 
1.Wa tag watu 100 picha yako kwa facebook, ukipata likes mbili tena kutoka kwa ndugu zako ujue wewe ni mbaya.

2 Mwanaume atajisikia na uhuru pindi akiongea na wewe, sababu atakuona
kama wewe ni mmoja wa mwanaume mwenzao. Wenginge watapenda kusikia ushauri wako wa jinsi ya kumuingia msichana mwingine.

3.
Kama ujawahi kulipiwa nauli katika daladala au usafiri wowote. Unatakiwa kufanya kitu fulani katika muonekano wako.

4.
Kama katika maonyesho ya sanaa shuleni, kanisani. Siku zote wanakupanga ucheze nafasi ya Uchawi, Zimwi au shetani. Tambuwa wewe ni mbaya

5. Wasichana wengi wenye majina mazuri kwenye facebook au jamii forums
kama
Cute, Diva na yanma hiyo. Ki kawaida ni wabaya.

6. Wasichana wabaya hawataipenda hii post na wataweza kukoment kwa hasira.

Hii kitu ingefaa sana jukwaa la ucheshi kama limo humu.... mbavu zangu hoi kwa kweli! Hata sijui cha kuamini
 
... Naona uwezo wa mwanadam umeaongezeka, hadi kukosoa kazi ya Mungu.

Lakini ndo hali halisi tuionayo hata huku kitaa. Watu wanapenda sana kunanga wenzao.....hasa wakaka now days sijui wameingiwa na nini!

Cha ajabu ukimuangalia mtu mwenyewe anaemsema mwenzie mbaya, ye ndo anachekesha zaidi! (Mwenyezi Mungu anisamehe)
 
Ukioa mmoja kati ya hao wanawake unajihakikishia usalama wa mali yako popote pale hapo hakuna mulika mwizi

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Ila huyo mwanamke alie vaa hijab hiyo ni picha ya kuchorwa

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
sijajua hasa maana ya hii...

mimi nimepangwa kucheza kama CID katika movie fulani hapa street kwangu...

hii ina maana gani??

wakati nikiwa primary, nilicheza sana maigizo kama afande... sijajua waalimu wangu walimaanisha nini kuniweka km character wa hivyo...

Ukiona hivyo sura Kavu sana hahaaaaa
 
Lakini ndo hali halisi tuionayo hata huku kitaa. Watu wanapenda sana kunanga wenzao.....hasa wakaka now days sijui wameingiwa na nini!

Cha ajabu ukimuangalia mtu mwenyewe anaemsema mwenzie mbaya, ye ndo anachekesha zaidi! (Mwenyezi Mungu anisamehe)

Unachosema ni kweli best!! Hii hali ya kukosoa kazi ya Mungu walikuwa nayo wanawake, siku hizi naona wanaume nao hukaa "vijiweni" kazi kusema muonekano wa wengine!
Ila ni dhambi, ufinyu wa kufikiri kukaa Na kuwasema wengine ati ni WABAYA...wewe ni nani kukosia usichokuwa Na uwezo wa kukitengeneza?

Lakini unavyopotea hivyo sio vizuri!!!
 
Wenye sura zetu mbaya tukimbilie wapi??
Manake sidhani kama nilimwandikia Mungu barua aniumbe nilivyo..

Hivi wewe ni mzuri?
 
Wenye sura zetu mbaya tukimbilie wapi??
Manake sidhani kama nilimwandikia Mungu barua aniumbe nilivyo..

Hivi wewe ni mzuri?

usilie sana tian!! njoo japo nikufariji kidooogo!!

usizingue sasa....!!
 
Last edited by a moderator:
na smartphone na camera 360 ni shida. kila mtu ana rangi kama ndizi za mlimani city.
lakini wanasema~USISEME MTU NI MBAYA KAMA HUSHIRIKI KWENYE KUUMBA
 
Back
Top Bottom