Mwanamke jitambue kama wewe ni mbaya

Mwanamke jitambue kama wewe ni mbaya

Kama we ni mbaya usiquote hii post yangu wala usinigongee like. Sie wenye sura kama ya Mzee Jangala tuna allergy na mabinti wenye sura kama ngumi ya mwizi mzoefu.

ahahaaaaaaaaaaah
 
kuna mdada juzi alinisimanga nina makanyagio mabaya, wakati yeye sura yake chachu kama ndimu. afadhali mie makanyagio yangu nitayaziba na viatu yeye sura yake ngumu sijui ataifunika na rambo!
 
Mungu ndio muumbaji kama wewe umeumbwa mnzuri basi mshukuru mungu wako kila siku akuepushe na majanga asiubadilishe huo uzuri wako, ila kwa mimi nalingia bahati ya kuzaliwa uzuri hata dukani upo
 
kuna mdada juzi alinisimanga nina makanyagio mabaya, wakati yeye sura yake chachu kama ndimu. afadhali mie makanyagio yangu nitayaziba na viatu yeye sura yake ngumu sijui ataifunika na rambo!

Hahahahahah ,umeniua mbavu zangu
 
sijajua hasa maana ya hii...

mimi nimepangwa kucheza kama CID katika movie fulani hapa street kwangu...

hii ina maana gani??

wakati nikiwa primary, nilicheza sana maigizo kama afande... sijajua waalimu wangu walimaanisha nini kuniweka km character wa hivyo...
Yawezekana complexion yako iko kwenye uweusi zaidi halafu uko mkimya na serious muda mwingi. Yote hayo ni haiba/taswira ya kipolisi polisi.
 
Yawezekana complexion yako iko kwenye uweusi zaidi halafu uko mkimya na serious muda mwingi. Yote hayo ni haiba/taswira ya kipolisi polisi.

hapo mkuu umenikamata... seriousness ninayo japo napenda sana kuwa charmful..

actually, i thank almighty GOD, i did my first scene yesterday... duh! it was tough.. siku nzima niko location
 
hapo mkuu umenikamata... seriousness ninayo japo napenda sana kuwa charmful..

actually, i thank almighty GOD, i did my first scene yesterday... duh! it was tough.. siku nzima niko location
Ni JB na Yerusalem yake au producer tofauti? Inatoka lini hiyo cd ndugu? Inaitwaje? 'Excel Akamata Jambazi' au?
 
Back
Top Bottom