Mwanamke jela maisha kwa kumbaka mtoto wa kiume

Siungi mkono ila naona kuna ukakasi.
Kubaka maana yake ni kumwingilia mtu kimwili bila ridhaa yake, siyo?
Kwa mwanaume Ili umwingilie mwanamke kimwili ni uwezo wako tu kusimamisha, hapo asili itaruhusu mwingiliano hata kama mwanamke hakuridhia.

Tuendelee taratibu
° Mwanamume akiamua anaweza kufanya mapenzi na mwanamke hata kama mwanamke huyo hakuridhia (ubakaji)
° Mwanamke yeyote kwa maamuzi yake hawezi kufanya mapenzi na mwanaume yeyote kwa namna yoyote kama mwanaume husika hakuridhia.

Maumbile ya asili hayamruhusu mwanaume kufanya mapenzi kwa kulazimishwa bila yeye kuridhia kwanza. It means dogo aliridhia kwanza ndio akafanya. Naona kama tafsiri ya ubakaji inakosa mashiko.

Vipi hii hatuwezi kuiita kwa jina lingie lakini sio mwanamke kabaka?
Wanasema hivyo kwasababu mtoto ni mdogo. Atakuwa amelazimishwa na mama mtu mzima.
Mama kabaka mtoto.
 
Me napenda libolo kubwa kubwa sio kama ka huyo dogoo
Kwanza vhavijajua kutumia tuvitu tuvitu Mungu alivyowapati
Me wanaume naopendaga wawe kuanzia 35 ndo najiskia niko na ME
Sio unakaa na ka mtu unaanza kupigwa vizinga vya kijinga
Kwa kauli yako na fit kabisa kutafuna hilo apple
 
Dah... Basi dogo alikuwa mjanja sana. Afu mchoyo pia....
Alikuwa anavuta mkwanja kila wikeend na alikuwa handsome haswa.

Mi alinambia kwakuwa nikuwa karibu naye nikimshauri mambo ya shule na maisha hadi ndio akanifungukia hivyo

Ilikuwa ni siri yake tu na mwenzi wake.
Lakini kikubwa alikuwa anapata pesa za kutumia.
 
Back
Top Bottom