Mwanamke jela maisha kwa kumbaka mtoto wa kiume

Wanasema hivyo kwasababu mtoto ni mdogo. Atakuwa amelazimishwa na mama mtu mzima.
Mama kabaka mtoto.
Kulazimishwa gani kwa miaka mitatu!?? Dogo alikuwa akifurahi kucheza na tope!! Hao walikuwa ni wapenzi tu. Ila sheria ndio inamuhukumu mama shafii
 
Wewe ndo hujuiii mtoto wa miaka 15 akikupa kwa hiari yakee wazazi wake wakisema umembakaaa ukakubalii kweli umelala nae ila alikubali mwenyewe unakula nyundooo 30 chap
Nikikuuliza ,mtoto wa chini ya miaka 18 anabakwa au ananajisiwa utajibuje?Ngoja nikufutie ujinga kidogo.Ili kosa la kubaka liwepo ni lazima mwathirika awe ana uwezo wa kukubali ama kukataa,ukimuingilia bila ridhaa yake ndo umembaka.Mtoto wa miaka chini ya kumi na nane sheria haitambui kama ana uwezo wa kuhiyari( assent).Mwenye uwezo wa kuhiyari ni yule mwenye miaka 18 na kuendelea.

Kwakuwa wewe ni mbishi utaendelea kupinga.Basi kwaheri Mimi Niko paleee.
 
Back
Top Bottom