Me nahisi ni kwamba kwa hapa chini ya jua, yenye mwanzo huwa haya kosi mwisho. Labda kwa mbinguni na m0t0ni ndo vya huko havina mwisho ni milele...Blög Sicä | Welcome to Blog Sica!!!
kuna bht na preta huku wanaelekea wana hasira sana. Hata hivyo mnakumbuka upuuzi huo sivyo. Swali je wanawakumbuka? Huyo mwanaume alovunja mlango huyo! I we kwa uzuri au ubaya alokutendea! Unamkumbuka?
was thinking of the same thing darlioje...na wanaume huwa wanawasahau wanawake wao 'waliowaonjesha' utamu kwa mara ya kwanza???
Kama ni kukumbuskwa basi mi ntkumbukwa na wengi maana nimepasua bikira nyingi mno na ninaendelea kuzisaka.....ndio maana..now i understand ni kwa nini mke wa nanihii bado ananing'ang'ania..
It reeked and u were still goin back for some..Mimi ninachokumbuka kutoka wangu wa kwanza ni harufu!! That coooch reeked. She must have had a yeast infection or something. The odor still lingers to this day
Siku hizi hapa A town wasichana wakimzungumzia msichana mwenzao kama bado ni bikira utawasikia wanasema 'Huyu bado anayo wenge' na anachukuliwa kama mshamba flani. Na hakuna msichana anataka kusemwa kuwa anayo wenge.
utafungwa, arabuni utanyongwa
Kama ni kukumbuskwa basi mi ntkumbukwa na wengi maana nimepasua bikira nyingi mno na ninaendelea kuzisaka.....ndio maana..now i understand ni kwa nini mke wa nanihii bado ananing'ang'ania..
Hamuishi kujipa moyo!Poleni ila hakumbukwi mtu!