Leo naona mmeamua kusema karibia na ukweli, nasi tutaendelea kujipa moyo kwamba tunakumbukwa sana!.
Utakumbukwa kama kweli ulimpa raha siyo kufungua milango tu..sasa fikiria milango mingapi umeifungua na ilikuwaje!!!..ha ha
naomba nikupinge kidogo.... hii topic inaonyesha upuzi wa baadhi yetu wanaume... ukimsoma preta na BHT, wamemaliza kabisa kila kituhii topic ni ya mfumo dume zaidi
tena rahisi kweli mazee, it all depends on how you started haya mambo!!!je...na wanaume huwa wanawasahau wanawake wao 'waliowaonjesha' utamu kwa mara ya kwanza???
De novo
kuna mambo mengi sana sisi wanaume
tunafanya kwa sababu ya big ego.....
Mfano mtu anasimulia watu wanawake aliowapitia kwenye bar..
Ni ujinga sometimes....
Wewe aitha bado hujakutana na mtu full mapigo au hao jamaa zako huwa unaachana nao kwa mabifu ya kufa mtu. Asikwambie mtu mamii mtu akikupa malavi davi ya ukweli lazima umkumbuke na hii ni both ways wanaume na wanawake.dah wa kwetu mimi haijalisha alikuwa mtaalamu kiasi gani......tukifunga ukurasa tumefunga, even his name has nothing to do with me and he goes to hell!!
Mama Brian inaonekana jamaa walikata utepe ukiwa bado mtoto sanaNa wengine husema eti mkionana mnaweza kukumbushana, Hakuna kitu kama hicho wanaume msijidanganye, yaani there is nothing like that hakuna kabisaaaaaa yakipita yamepita, kwanza huwa ni utoto tupu.Ni fikra potofu na za kizamani kabisa.
What's the big deal with popping a girl's cherry?
je...na wanaume huwa wanawasahau wanawake wao 'waliowaonjesha' utamu kwa mara ya kwanza???
Pole yake huyo.........mie alivyonibikiri ndio cku hiyo hiyo nilimuacha.....
Naogopa kucomment nisije nikamkwaza nimpendaye,bure..Ngoja nibaki najibu langu moyoni...