Mwanamke hawezi kumsahau mwanamume aliyemleta katika dunia ya mapenzi?

WanaJF wanawake mliokwisha bikiriwa toeni jibu! Hivi wewe unafahamu nini kubikiri? Na je tofauti yake na kuvunja ungo unaifahamu? Au hivi vyote unafikiri ni kitu kimoja?
 
Wewe aitha bado hujakutana na mtu full mapigo au hao jamaa zako huwa unaachana nao kwa mabifu ya kufa mtu. Asikwambie mtu mamii mtu akikupa malavi davi ya ukweli lazima umkumbuke na hii ni both ways wanaume na wanawake.

yaani hamna cha bifu la kufa mtu wala nini.....na nikwambie wakati wa mahusiano mapenzi yanakuwa moto moto sana lakini bwana mapenzi ni kama maji yakiingia sumu basi umekwisha kabisaa.

sasa nakwambia ilipewa mapenzi niliyoyataka but siku ya siku mambo yakawa siyo na hivyo ndivyo nilivyo. when am done with u am done even with ur f****ng name!!! ndo maana huwa nashangaa hata suala zima la kukumbushia na ex..........why should I ??
 
PRET,BHT,Brasil Issue iko hivi yani kwanza nikitu nadra sana maana mkishwa bikiriwa hupaki na kovu moyoni kwani hubaki ukikumbuka jinsi ulivyopata maumivu,no mater how!!hata kama ulibakwa ila unachomkumbuka huyo jamaa nihivyo alivyokujeruhi basi hivyo huwa tunafahamu mnatukumbuka japo kwa mabaya lakini mnakumbuka for the first time ni li do na jamaa fulani maana hata katika mahusiano yenu yasasa mnasimliana jinsi ulivyobikiriwa!!!!Ndokumbukumbu yenyewe!!!LOL!
 
kwani bikra kitu gani jamani mpaka kinifanye nimkumbuke huyo mtu, wanaume hebu acheni kuota kwa nguvu lol.... hamkumbukwi kabisa
 
WanaJF wanawake mliokwisha bikiriwa toeni jibu! Hivi wewe unafahamu nini kubikiri? Na je tofauti yake na kuvunja ungo unaifahamu? Au hivi vyote unafikiri ni kitu kimoja?

Mbona hakuna kumbukumbu yoyote kwani aliacha nini?
 
Jamani mimi namkumbuka mwanamke wan.gu wa kwanza ila hata sura haiji vizuri kwani muda umeshaenda sana.nilisikia kipindi flani alikuwa huko mpwapwa dodoma ,kidogo nianze kumsakanya.du mmenikumbusha mbali sana enzi za school.sio wanawake tu wanaowakumbuka wanaume
 
Mimi ninachokumbuka kutoka wangu wa kwanza ni harufu!! That coooch reeked. She must have had a yeast infection or something. The odor still lingers to this day
 
We kiboko ina maana ni miaka mingi imepita ? au una list kubwa ya ladies :tsk:
 
PRET,BHT,Brasil Issue iko hivi yani kwanza nikitu nadra sana maana mkishwa bikiriwa hupaki na kovu moyoni kwani hubaki ukikumbuka jinsi ulivyopata maumivu,no mater how!!hata kama ulibakwa ila unachomkumbuka huyo jamaa nihivyo alivyokujeruhi basi hivyo huwa tunafahamu mnatukumbuka japo kwa mabaya lakini mnakumbuka for the first time ni li do na jamaa fulani maana hata katika mahusiano yenu yasasa mnasimliana jinsi ulivyobikiriwa!!!!Ndokumbukumbu yenyewe!!!LOL!

Wanavunga tu hawa! Haiwezekani umsahau mwanaume aliyekuwa wa kwanza kufanya naye kitendo hiki, labda kama alikugusa gusa tu hakukupa kichapo kinachostahili, vinginevyo haiwezekani kabisa umsahau.
 
Hivi ni kweli kuwa mwanamke hawezi kumsahau mwanamume aliyemleta katika dunia ya mapenzi (kumbikiri) hata kama mwanamke huyo atakuja kuolewa na mwanamume mwingine hapo baadaye?

Mkuu Bujwazii,

Naona wajumbe wengi wamejibu kwa haraka na wengine kwa hasiri e.t.c:

Jibu la swali lako : Ni kweli kwamba mwanamke hawezi kumsahau mwanamme aliye-mbikiri. Ni kweli (narudia tena).

The only difference ni either "sweet memories" or "nightmares". Kuna mwingine hatasahau kwa sababu "alibakwa" na kuna mwingine hatasahau kwasababu ilikuwa ndiyo siku yake ya kwanza kutenda tendo na ilikuwa ni siku ya harusi.
 
:biggrin1::A S 103::dance:
 
Thats not true, at least in my case. i dont even remember anything about hime lol. The memory about him is closed totally.
 
Mimi ninachokumbuka kutoka wangu wa kwanza ni harufu!! That coooch reeked. She must have had a yeast infection or something. The odor still lingers to this day

Dah, why didnt you run away?
 
Dah, why didnt you run away?

Shit...I did but not literary. She never saw me ever again. To be quiet honest, the smell scared the bejesus out of me. I thought maybe she had some kind of a venereal disease but I wasn't sure. So when I got home, I doused my johnson with spirit thinking that it might kill whatever bacteria or germs I had gotten from dipping it in. Yeah I know, I didn't know any better then but that was my experience and it will forever be etched in my memory.
 
Back
Top Bottom