Mwanamke hawezi kumsahau mwanamume aliyemleta katika dunia ya mapenzi?

Bourgeoisie

JF-Expert Member
Mar 26, 2009
656
162
Hivi ni kweli kuwa mwanamke hawezi kumsahau mwanamume aliyemleta katika dunia ya mapenzi kumbikiri. Hata kama mwanamke huyo atakuja kuolewa na mwanamume mwingine hapo baadaye.
 
Hii topic wanaume wengine wanaipenda sijui kwa kuwa wanataka kujipa moyo kuwa watapendwa na hao wanawake maisha,sijui ila sidhani.
 
hii topic wanaume wengine wanaipenda sijui kwa kuwa wanataka kujipa moyo kuwa watapendwa na hao wanawake maisha,sijui ila sidhani

Mimi sijui lakini sidhani kama kuna ukweli wowote. Hii dhana inaangukia kwenye kundi la dhana potofu.
 
ni dhana potofu ambayo unaweza kusema imetungwa na wale vijana wa miaka 16 na sasa watu wazima wengine wametokea kuiamini.....aggr
 
Ya kale hayo hayanuki tena na mwanume anafikir hivo nahis anajidanganya tu.
 
hakuna kitu kama hicho, kupenda kunatofautiana, sio 7bu kuwa kakubikiri ndio usimsahaukuna wakati mwingine huwa mtu anasema huyu wa sasa alikuwa wapi asinibikiri yeye nilipoteza bikira yangu kwa bure
 
hakuna kitu kama hicho, kupenda kunatofautiana, sio 7bu kuwa kakubikiri ndio usimsahau...kuna wakati mwingine huwa mtu anasema huyu wa sasa alikuwa wapi asinibikiri yeye nilipoteza bikira yangu kwa **** bure

hapo sasa
mi huwa hata haniingia akili wala sina cha kujutia eti nilimkosa or anything
I simply dont have any memories to cherish juu yake but regrets!!!!!

Preta mamii................ikawaje sasa....
 
hapo sasa
mi huwa hata haniingia akili wala sina cha kujutia eti nilimkosa or anything
I simply dont have any memories to cherish juu yake but regrets!!!!!

Preta mamii................ikawaje sasa....

nilikosa tiketi kwenye buibui na unajua huku Yaeda bus ni hilo tu likiondoka ndio imetoka....next time my dear nitakata tikiti siku mbili kabla usihofu
 
nilikosa tiketi kwenye buibui na unajua huku Yaeda bus ni hilo tu likiondoka ndio imetoka....next time my dear nitakata tikiti siku mbili kabla usihofu

hahaaaaaa umeanza tena...............yule tolu ungemwambia angekuwekea siti

yaani hii mada..........eti siwezi kumsahau, hivi ujue ndo imenifany animerecalu ule upuuzi, eeh wakwetu
 
hakuna kitu kama hicho, kupenda kunatofautiana, sio 7bu kuwa kakubikiri ndio usimsahau...kuna wakati mwingine huwa mtu anasema huyu wa sasa alikuwa wapi asinibikiri yeye nilipoteza bikira yangu kwa **** bure
Laahaulah!. Umekaribia kusema ukweli hapo!.
 
hahaaaaaa umeanza tena...............yule tolu ungemwambia angekuwekea siti

yaani hii mada..........eti siwezi kumsahau, hivi ujue ndo imenifany animerecalu ule upuuzi, eeh wakwetu

hivi unaweza kuta kuna wanaume wanajifariji kuwa hawajasahaulika?....mbona watakuwa wanajidanganya.....kuna mambo ya kutokusahau lakini sio hilo
 
Hivi kwanza kubikiri au kubikiriwa kuna raha gani? Manake sielewi kabisa watu kufanya hiki kitu kuwa big deal. Nimeshagawahi kuambiwa eti huwaga inauma...sasa kama inauma hicho nacho ni kitu cha kukikumbuka kwa nostalgia? Inavyosemekana wengine hutokwa hadi na damu which leads me to think it hurts...sasa what is so special or enjoyable about that? It's lunacy.
 
hivi unaweza kuta kuna wanaume wanajifariji kuwa hawajasahaulika?....mbona watakuwa wanajidanganya.....kuna mambo ya kutokusahau lakini sio hilo

hahaaaaa wape mama..............

why should I???? me all I do ni majuto tu.............waaaaaaaaayi!!!
 
hahaaaaa wape mama..............

why should I???? me all I do ni majuto tu.............waaaaaaaaayi!!!

sio wewe tu wengi tunajuta....na huyu sijui bugwasie ndio kanifungua ubongo kuwa majamaa yanajipa matumaini huko yalipo kuwa yanakumbukwa...he he he
 
sio wewe tu wengi tunajuta....na huyu sijui bugwasie ndio kanifungua ubongo kuwa majamaa yanajipa matumaini huko yalipo kuwa yanakumbukwa...he he he
Leo mshatuharibia week-end yetu~sisi tunajua mnatukumbuka kumbe hola, walaah nabada ushungu wa moyo!.
 
Back
Top Bottom