Mwanamke hawezi kumsahau mwanamume aliyemleta katika dunia ya mapenzi?

Mwanamke hawezi kumsahau mwanamume aliyemleta katika dunia ya mapenzi?

Haya ni mawazo yako Unjegele kuna jamii Intelligent kule ,siasa ,na uchaguzi 2010
Ushaona habari za hayo majukwaa zinajadiliwa kwenye mapenzi na mapendo ??

11802824.gif
 
Ndio maana hapa pakaitwa jukwaa la mapenzi na mahusiano...! Au mlitaka bikira ikajadiliwe kwenye jukwaa la dini?

Wewe uliyekuwa mwanachama nambari one kule zeutamu hadi kudai kwamba ilikuwa inatoa burudani ya hali ya juu na kuomba irudi hewani wakati ilikuwa inadhalilisha Watanzania wala sikushangai.
 
Vijana si kwamba wana kumbukwa, ila wanahofu na mademu, wake zao kuwa wana wakumbuka wanaume walio wabikiri. huo ni woga wao tu wapendeni wenza wenu kwa dhati nao watawapenda. Palipo pita masumari hapa achi kuacha kovu.
 
Mama Brian inaonekana jamaa walikata utepe ukiwa bado mtoto sana

Hapana Da Womenizer,tena huwezi amini kwa upande wangu nilichelewa sana haya mambo, nilikuwa serious sana na kitabu na nilikuwaga naogopa sana kupata mimba kabla ya kutimiza malengo yangu.utotoni yalikuwa mambo ya kutumiana vikadi kadi tu lakini si kuingia deep kiasi hicho, nilikuwa muoga sana! teh teh!
Hongera basi:embarrassed1:
 
Wewe uliyekuwa mwanachama nambari one kule zeutamu hadi kudai kwamba ilikuwa inatoa burudani ya hali ya juu na kuomba irudi hewani wakati ilikuwa inadhalilisha Watanzania wala sikushangai.

Yanakuwa haya tena.???this is name calling!
Lakini tatizo ninaloliona hapa ni unafiki.Eti mambo yanayohusiana na sex yasijadiliwe kwa vile sio 'maadili' Jamani Elimu ya Sex na mahusiano ni muhimu ili kujua nini kinaendelea na kujua jinsi ya kujilinda.........
 
Usisahau humu ndani kuna wengine ni matowashi.................:closed_2:
 
kiswahili kinanipa tabu siku hizi ...........matowashi ndio nani?
 
Hivi hapa kwa kifupi tulikuwa tunadiscuss nn?
 
Sijamwelewa kabisa! Kwanza hiyo ''mentalite'' ya kuoa mwanamke bikira wala sina! Nina wasiwasi hata King Mswati wa Swaziland naye hana hiyo ''mentalite'' isipokuwa kwa kuwe yeye ni mfalme, basi lazima aoe bikira.

Ila nina wasiwasi pamoja na kwamba ana wake zaidi ya kumi, anapiga kazi za nje pia (off topic au hii nayo inahitaji thread inayojitegemea?)

Soma ndani ya Mistari!

Weye kuna sehemu umeshabikia uhusiano unaoendelea kuwa nao na hao/ huyo uliyembikiri ambaye ni mke wa mtu! The same will be applied to you!
 
Vijana si kwamba wana kumbukwa, ila wanahofu na mademu, wake zao kuwa wana wakumbuka wanaume walio wabikiri. huo ni woga wao tu wapendeni wenza wenu kwa dhati nao watawapenda. Palipo pita masumari hapa achi kuacha kovu.

you have said it all and so well!!
 
Vijana si kwamba wana kumbukwa, ila wanahofu na mademu, wake zao kuwa wana wakumbuka wanaume walio wabikiri. huo ni woga wao tu wapendeni wenza wenu kwa dhati nao watawapenda. Palipo pita masumari hapa achi kuacha kovu.

Kwani akina dada hawana sababu ya kuhofia huko mlikochongea penseli zenu?:A S tongue:
 
Wewe uliyekuwa mwanachama nambari one kule zeutamu hadi kudai kwamba ilikuwa inatoa burudani ya hali ya juu na kuomba irudi hewani wakati ilikuwa inadhalilisha Watanzania wala sikushangai.

mkuu naona hapa umeingia kwa makosa, pole sana unaweza kuondoka kimya kimya ukaenda kwenye jukwaa la dini,
 
Mleta mada Bushwaziiii inaonekana unapenda kujifariji sana
Siyo kama napenda kujifariji. Majigambo haya yamekuwepo kwa watu wengi mno sasa nilitaka nipate mtazamo wa wana JFR. Pia kuna watu wanaishi na wake zao ambao hawakuwakuta wakiwa "sealed" so wangependa kuwa na uhakika je, wake zao hao wanawakubali waume zao au wanawakumbuka waliowabikiri? Kwa maoni yenu haya, natumaini majibu kwa wengi yatakuwa yamepatikana. Well done 'n' thats how we help others.
 
sasa mie nichangie nini humu? huwezi kumsahau kwasababu kakuwekea record au? mie naona wanaume ndio hamumsahau binti mlie mbkr.... ndio mnajiona ma man zaidi mkifanya hivyo eehh... haya bana...
 
Hivi ni kweli kuwa mwanamke hawezi kumsahau mwanamume aliyemleta katika dunia ya mapenzi (kumbikiri) hata kama mwanamke huyo atakuja kuolewa na mwanamume mwingine hapo baadaye?

Ni mtizamo tu
Inategemea waliachana vipi
Huenda kwanza yeye alimleta kwenye dunia ya ngono
Wewe ndo ukamleta kwenye dunia ya mapenzi
 
Uko kwenye zilipendwa mode nini? Maana hizi za tokea kitambo na since then wengine washakufa na kujizaa upya
 
Back
Top Bottom