Mwanamke hana thamani, akitamkiwa TALAKA TALAKA TALAKA, ndoa imeisha hapo

Utakuwa hujasoma wew ukaelewa
Hakunaga huo upuuz na mwanamke anaejua maana ya ndoa haachwi na mwanaume hawez mfukuza mkewe kwa kusema talaka hakuna Sheria hiyo

Na Kama thamani inaonekna kwa kupimwa hivo kunawanaume wanaotoa talaka kwa kudaiwa talaka na wake zao kwaiyo tusema wanaume hawana thamani??
 
Sophy mbona una busara kiasi hichi na hatujapata nafasi ya kua marafiki bado?
 
Mh yaani mfano sasa hivi nampigia simu mama Shani halafu natamka tu 'Talaka' 'Talaka' 'Talaka' nakata simu na kazi imeishia hapo?
Ndio maana yake hio.

Nadhani hata Ali Kiba kafanya hii kwa mke wake yule wa Kenya.

Talaka, Talaka, Talaka..... Sgughuli imeisha hapo
 
Utakuwa hujasoma wew ukaelewa
Hakunaga huo upuuz na mwanamke anaejua maana ya ndoa haachwi na mwanaume hawez mfukuza mkewe kwa kusema talaka hakuna Sheria hiyo

Na Kama thamani inaonekna kwa kupimwa hivo kunawanaume wanaotoa talaka kwa kudaiwa talaka na wake zao kwaiyo tusema wanaume hawana thamani??
Usipingane na maandiko matakatifu, kila kitu kipo wazi.

Mwanaume ambae yupo kwenye ndoa kapewa mamlaka kufuta ndoa pale akitamka talaka mara 3 (talaka tatu), hapo ndoa hakuna tena, mwanamke anaondoka.

Ingia hata google ucheki triple talaq
 
Modern men hampendi wanawake cause wengi wenu ni mashoga.... live your truth today!
Hasira za kupewa talaka hizi 😂😂😂

Na ukija hata kwangu ukizingua kidogo tu ntakohoa kama harmonize koh koh koh, kifuatacho ntasema talaka talaka talaka......

Shughuli imemalizika hapo
 
Kwa hiyo utamke talaka, talaka, talaka mwanamke aende kwao.......hujawajua wanawake wewe, unaweza kujikuta wewe ndo umechapa lapa yeye akaendelea kujivinjari na watoto wake.
Ni kweli kwa maneno hayo tu ndio umtoe? Wapo wengine sugu. Unaweza kukuta anakimbilia kwenye dawati la jinsia ukakuta wewe ndio unatoka kwenye nyumba mliyojenga kwenda kupanga
 
Thamani ya mwanamke haipo kwenye vitabu wala haipo kwenye sheria.
Kwa maana hayo yote yaweza kuwa yaliandikwa Kwa ubinafsi!

Thamani ya mwanamke ipo kwake mwenyewe, na Kwa watoto atakaowazaa.

Thamani ya mwanamke hutokea pale dunia nzima itakapokukataa lakini mama Yako kamwe hatakukataa!

Thamani ya mwanamke ni pale utakapozaa na Mkeo alafu ukashindwa kuwalea wanao ukamkimbja alafu utaona kile huyo mwanamke atakachokifanya.

Wanawake wanamadhaifu mengi lakini mengi ya hayo madhaifu yamesababishwa na wanaume waliowaamini
 
Kwa hakika mwanamke ana thamani ndogo mnoooo.... Ukiachana na talaka halali pale mwanamke akikosea, kuna muda mwanaume anaweza kutaka tu kumfukuza mke wake, hapo akitamka tu Talaka mara 3 basi mwanamke anarudi kwao huko ndoa imeisha
Hata Mwanamke akiomba talaka yake mara tatu hakuna ndoa
 
Kwa sheria gani? Taratibu za talaka kwa.mujibu wa sheria ya ndoa ya Tanzania haitambui huo utaratibu mbovu na wa kizamani wa kiarabu wa kuvunja ndoa. Ndoa ina utaratibu wake wa kufunga na sheria imeweka utaratibu mahususi wa kuivunja tena kupitia procedure mbalimbali ambazo ni complicated otherwise onachokiita ni ndoa cha kuvunjwa kwa matamko matatu ya upaande mmoja wa mkataba sii ndoa bali ni concubinege. Ndoa ni tendo takatifu
 
So kwako umeufunga uthamani ea mwanamke kwenye ndoa tu???
Wanawake walio na ukaribu na wewe wana hasara sana
 
Kwa sheria gani? Taratibu za talaka kwa.mujibu wa sheria ya ndoa ya Tanzania haitambui huo utaratibu mbovu na wa kizamani wa kiarabu wa kuvunja ndoa. Ndoa ina utaratibu wake wa kufunga na sheria imeweka utaratibu mahususi wa kuivunja tena kupitia procedure mbalimbali ambazo ni complicated otherwise onachokiita ni ndoa cha kuvunjwa kwa matamko matatu ya upaande mmoja wa mkataba sii ndoa bali ni concubinege. Ndoa ni tendo takatifu

Utaratibu wa kuvunja ndoa ni upi?

Kuna mtu anahitaji kujua ili apate talaka yake .
 
Usipingane na maandiko matakatifu, kila kitu kipo wazi.

Mwanaume ambae yupo kwenye ndoa kapewa mamlaka kufuta ndoa pale akitamka talaka mara 3 (talaka tatu), hapo ndoa hakuna tena, mwanamke anaondoka.

Ingia hata google ucheki triple talaq
Nani kakwambia akitamka talaka tatu ndoa hakuna na hakuna talaka tatu za hivo

Sheria ya talaka unatoa moja then ukimrudia mkeo inahesabika ulimuacha talaka moja, talaka ya pili ukitoa inahesabika mbili ukimrudia kabla ya eda kuisha inakuwa ya pili Hadi ya tatu ni hivo na ndo inakuwa ya mwisho et talaka talaka talaka wapi na haisababiki talaka Hadi kuwe na mashahidi...sio umeelewa zako ulanzi unaenda et talaka talaka

Na mwanamke bado anathamini na anastahili kupewa talaka sabbu mwanaume ndo alienda kutoa barua mahalli kwa pesa yake kwa akapiga goti kuomba idhini ya kumuoa na kumlisha na kumfanyia kilakitu kwaiyo ulitaka mwanamke ndo atoe talaka ??ndo aonekane anathamani hivo vote Hadi kufikia kuolewa ndo thamani ya mwanamke ilipo...
 
Hata Mwanamke akiomba talaka yake mara tatu hakuna ndoa
Ni Hadi mwanaume aridhie kutoa Kama akiwa hataki unaruhusiwa kushtaki mahakama ya kiislamu au baraza la kiislam Kama kutakuwa na sababu za kudai ni za wazi na hazipingiki anaitwa mumeo akupe kma hataki unapewa Kam hauna sabbu ya kudai umechoka tu kupika ugali unarudisha mahali ya watu ukapumzike
 
Mleta mada kalewa ulanzi kaja kuandika uzi.
Eti TALAKA, TALAKA, TALAKA mke huna.

Yaani ukisema tu talaka, talaka, talaka unamwambia nani sasa? Na mtu akisema tu hilo neno talaka ndo amemaanisha nn?

Nadhani umesikia mahali....mwanaume akitamka talaka mara 3.....wewe ukadhani ni kutamka neno talaka mara 3🤗🤗😃😃😃
 
Back
Top Bottom