Usawa wa mwanamke na mwanaume kwenye ndoa za kikristo ndio huwapa viburi wanawake kuanza kuwashushia vipigo waume zao

R-K-O

JF-Expert Member
Jun 27, 2023
482
2,138
1691431773258.png

Vitendo vya unyanyasaji kwa wanaume wa kikristo kupigwa na wake zao vimeshamiri kiasi kwamba wanaume wameamua kuweka aibu pembeni na kuililia serikali ifungue dawati la unyanyasaji kwa wanaume, licha ya hivi bado msaada unakuwa mdogo maana wakikimbilia polisi ama ustawi wa jamii wanachekwa.

Si vipigo tu, pia kuna unyanyasaji kwa wanaume wa kikristo kufanyiwa visa vya kunyimwa unyumba na wake zao, mtu unakuta hadi yamemfika shingoni inabidi aweke wazi kwamba kanyimwa unyumba mwaka mzima.

Nachoona ni kwamba ndoa za kikristo mwanamke akiolewa tu anaridhika anajua ndio mwisho wa safari hapo, mwanaume hawezi kuongeza mke na anaogopa kuvunja ndoa ili kuzilinda mali zake zisipigwe pasu kwa pasu, hapa ndio kiburi kinaanza sasa inafikia kipindi mwanamke anaanza kumdunda hata mme wake ama kumnyima unyumba maksudi, anajua tayari huyo mwanaume hana ujanja.

upande wa ndoa za kiislam na za kitamaduni ni nadra sana maana mwanamke anajua kabisa talaka inaweza kuwa muda wowote na kuhusu mali hakuna pasu kwa pasu, atapewa tu mgao wa mali alizochangia lasivyo mwanaume atampa chochote cha kuanzia maisha kadiri ya uwezo wake, pia mwanamke anajua wazi kabisa kwamba hata kama yupo peke yake miaka 20 bado mme wake anaweza kuongeza mke.
 
Hii thread mbona wakristo mmenywea, michango mbona michache jamani
 
Asante na kweli mimi ni mmoja wapo ninae pinga mwanaume kuwa na Mke mmoja.

Pia kuwepo usawa kwa mwanaume na mwanamke hicho kitu hakipo kabisa.

Na ndomaana asaivi ndoa zimekuwa shida mpaka imefika wakati mtu ukitaka kuoa watu.

wanakushangaa na kukuuliza maswali mara kadhaa kama kweli umeamua kua.
 
kwamba kuna usawa gani?

yaani ni ruksa mwanamke kumpiga mumewe?

ni ruksa mwanamke kuwa jeuri?

ni ruksa mwanamke kujiamulia mambo ndani ya ndoa?

ndoa ya kikristo imechukulia watu katika ndoa kama binaadam kamili wenye utashi na uwezo wa kujua nini kibaya na kipi chema, haimbebi mmoja kati ya wanandoa kama ng’ombe ama punda ama mtumwa,Na lengo kuu ni kuifanya kuwa takatifu sio kijiwe cha kuchukulia uzoefu wa kuoa wengine baadae.
 
biblia nmesoma yotee.. hakuna sehemu imeandikwa usawa wa kijinsia. ila waume wapende wake zao na wake watii waume zao.

Hizo ni ndoa za kikristo zenye changamoto, ila sio wa kimfumo ni wanandoa wenyewe.
 
Asante na kweli mimi ni mmoja wapo ninae pinga mwanaume kuwa na Mke mmoja.
Pia kuwepo usawa kwa mwanaume na mwanamke hicho kitu hakipo kabisa.
Na ndomaana asaivi ndoa zimekuwa shida mpaka imefika wakati mtu ukitaka kuoa watu wanakushangaa na kukuuliza maswali mara kadhaa kama kweli umeamua kua.

kama unapinga oa 5 dunia ni yako hii nani akupangie.

ukikua utagundua ni utoto tu unakuchanganya.
 
Mhh nipigwe na wife, ninyimwe papuchi,

Kwanza ndo siku nitaenda fukiwa makabulini mwanaume unapigwa na mke how come?
 
Hadi meanamke kupiga mumewe huyo mwanaume atakuwa mtata sana mpk apigwe kama mtt.

Ila navuta picha mwanamke kumpiga mwanamme libaba na miguvu yake, akikugeuka!!!!? Kisa cha kutolewa ngeu
 
kama unapinga oa 5 dunia ni yako hii nani akupangie.

ukikua utagundua ni utoto tu unakuchanganya.
Basi wewe ndo huelewii..

Hapa nilipo nina ndoa ina miaka 8.

Nimegundua wazee wetu walikuwa na hekima sana kuamua kuoa mke zaidi ya mmoja.

Ila kwakuwa wewe kizazi chako cha Digital na ukichangia na Western ideology utaniona mimi kama mtoto.
 
Basi wewe ndo huelewii...
Hapa nilipo nina ndoa ina miaka 8.
Nimegundua wazee wetu walikuwa na hekima sana kuamua kuoa mke zaidi ya mmoja.
Ila kwakuwa wewe kizazi chako cha Digital na ukichangia na Western ideology utaniona mimi kama mtoto.

ndoa ina miaka 8 ya wake wangapi??kama ni mmoja fulsa ndio hii ongeza hata wafike 7 hivi.
 
Mapema sana kuangalia dini mbona pande zote hayo matatizo ni common.
Huo ndio uhalisia

Kwenye uislam mwanamke akunyime unyumba hata wiki tu unaweza kumtishia kwa maksudi unaongeza mke ama utampa talaka anarudi kwenye mstari, akikaza fuvu unafanya kweli 🤣 🤣

Huku sio ukristo wa wazungu eti unyimwe unyumba mwaka mzima, wachungaji wanawaambia eti mvumiliane, kiwanda kikijaa hapa ndio mtu anaanza kuwa na kuzini nje ya ndoa kununua malaya mtaani na kufuga michepuko.
 
Nina mpango wawe wawili tuu.
Naamini utanielewaaa

wawili hawatoshi fanya 4 utafurahia maisha sana.

si unakumbuka enzi zile ukiwa unasoma ulikuwa unajisemea ukioa utakuwa unashinda uchi na mkeo ndani,na saa zote unainamisha tu

bila shaka ndipo unagundua ulikuwa unawaza upupu,oa hata hao 2 uone kama yaliyomo ni kweli yapo au ni muendelezo wa fikra za disney.
 
Back
Top Bottom