Mwanamke Asset na Mwanamke Liability

Sirudii tena mwanamke anaeendekeza pesa sitaki hata kumsikia. Huyo alikuwa kausha damu haswa tukikutana inakatika kama 100K hivi na hapo bado anataka zaidi. Ogopa sana mwanamke unampa hela lakini bado anashindwa hata kununua maji ya tsh 500/=
Huyo alikuwa Hana mapenzi na wewe alikuwa anakutumia sijui kwanini ulishindwa kugunduka mapema
 
Mwanamke mzuri ni yule anaetoa Tigo.
 
Basi itakuwa mimi nina tatizo somewhere kichwani kwangu, kwasababu napenda na nafurahi kumpe mke wangu pesa hata kama sio nyingi, ila kuna furaha flani napata na huwa haniombi ombi
Wewe unasema mke sisi tunazungumzia mpenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…