Mwanamke anang'ang'ania ukajitambulishe kwao

Mwanamke anang'ang'ania ukajitambulishe kwao

Storry yako iko vice versa!iiii me naomba kuwafaham kwao na baba yake ananiambia kwenda kwetu means ndoa!!!..namwambia me bado at least 3year ananiambia we ukiwa tayari after dat 3yrs niambie twende..
 
hapo ukute ushamlala weee halafu ndio sa hivi watafuta sababu magonjwa ya kurithi

Hako sio ka sababu. Unaweza ukalala wanawake wengi au wewe ukalalwa na wanaume wengi. Lakini kulala mtu sio pasipoti ya kuoa.
 
Hii imekuwa kasumba ya wadada walio wengi mnakuwa na uhusiano let say miezi 4 au 6.

Hujamfahamu zaidi anaanza kukueleza lazima muende mkajitamburishe. Jamani unajua kwenda kwa wazazi ni hatua kubwa sana.

Anataka akupeleka haraka haraka.

Annael unataka kusema nin??


Heb wewe CYBERTEQ njoo kidogo hapa tupo njia panda
 
Last edited by a moderator:
Annael unataka kusema nin??


Heb wewe CYBERTEQ njoo kidogo hapa tupo njia panda

Ninataka kusema hivi kila kitu lazima kiende kwa utaratibu.

Ukianza kupeleka fasta fasta tunasituka tunafikiri kuwa una ajenda nyuma ya pazia.
 
Last edited by a moderator:
kwao wananifahamu karibia familia nzima tena nakunbuka ilikuwa ndo kwanza mwezi mmoja tu...lakini hata kile kituo cha kushuka ili uende kwetu sijawahi kumuelekeza huu mwaka wa pili sasa.
 
Back
Top Bottom